Search results

  1. J

    Msaada kwa wale wa mzumbe

    coz izo slip znakua submitted kwa watu tofaut tofaut cku ya registration..unaeza uka weka zote kwa slip moja ila ni vzur zaid ukaztofautisha...n yes km unayo bima ya afya unalipa 30 000.
  2. J

    Msaada kwa wale wa mzumbe

    km umepata meals n accomodation frm heslb then hostels hulipii..af ni vizuri ukalipa kila moja kwny pay sleep yake..yaan health fee.coution.muso etc kla moja kwny pay slip yake ili kupunguza usumbusu siku ya registration.
  3. J

    Msaada kwa wanafunzi wa mzumbe

    yea semrster ya pil kuna kupangwa upya.
  4. J

    Msaada kwa wanafunzi wa mzumbe

    km unaweza toa yote...ila iktokea semestr ya pil umekosa campus za ndan utapata shida ku claim ela yako..
  5. J

    Msaada kwa wanafunzi wa mzumbe

    kama una bima ya afya unalipa 30 000 n kama huna unalipa 75 000
  6. J

    Sikujua kwa nini vijana wengi wanaichukia ccm.

    no usihairishe mwaka.nenda ka apeal coz una vigezo vyote vya kupata mkopo
  7. J

    ndo nimekosa mkopo au?

    kwa waliokosa hadi boom hawatapewa kabisa?
  8. J

    Loan board

    yani huyu oil sumu huwa ananichosha jaman..hahaha
  9. J

    ubakaji jkt

    no comment hapo
  10. J

    ubakaji jkt

    hahahahahaha jamaa gani tena?
  11. J

    ubakaji jkt

    ivi wanarudi lini?
  12. J

    jkt kwa form six na vyuo vikuu

    "kiingereza utata" sio majungu hayo!? au ndo uhakika ulio nao kuhusu mimi
  13. J

    jkt kwa form six na vyuo vikuu

    iyo hapo nmeiattach hujaiona?....sehemu ya hostel ipo.information za off campas on the last page
  14. J

    jkt kwa form six na vyuo vikuu

    ivi thread haiwezi kuisha bila majungu eeeh!!!.
Back
Top Bottom