Wow! nimekumbuka mbali sana, nilizaliwa lushoto, nimekulia huko, nimesoma mazinde juu, though familia yetu ilihama miaka ya 1998, nakumbuka jegestal, Majirani zetu wakina Kusaga, Frank Humplick, Mbelwa, Said Matagi, na wengine wengi. Nakumbuka matunda mazuri ambayo hayapatikani kwingineko kama...
Mimi nimeshuhudia watu wangu wa karibu sana wamepona kwa dawa ya babu nawashauri watu waende Mimi pia nilifika kule jumamosi asubuhi, jumapili usiku wa saa moja nilifanikiwa kunywa dawa na kuondoka kurudi arusha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.