Search results

  1. serengo

    Je, Wakristo wanajua Kiebrania kama Waislamu wanavyojua Quran/Kiarabu?

    Wanafundishwa Qur - an( Kiarabu) ili iwe rahisi kwao kujumuika na wenzao katika ibada zao mahali popote Duniani.
  2. serengo

    Watanzania wakamatwa Kenya wakiwa njiani kwenda kujiunga na Al Shabaab

    Magaidi siyo waislam , Bali Gaidi ni mtu yeyote mwenye nia ya kutawala kwa kutumia vitisho( Mabavu), kuna nchi zinapigana wenyewe kwa wenyewe dhumuni likiwa kutwaa madaraka pia nao ni ugaidi.
  3. serengo

    Watanzania wakamatwa Kenya wakiwa njiani kwenda kujiunga na Al Shabaab

    Hawa tayari wana baadhi ya mafunzo, ndo maana hata mawasiliano yao wanatumia Daftari (ramani ) , hawatumii mawasiliano ya simu , hivyo wana A,B,c za ugaidi. Na kufikia hiyo hatua ya kwenda huko tayari wameshajazwa sumu kwenye mioyo yao.
  4. serengo

    Rushwa NSSF Ilala imekithiri mnooo, Msaada wa Takukuru unahitajika

    Bora haTa huko Ilala Mwanza ndo kumeoza kabisaa,wafanyakazi wanakiburi sana, hawajali wateja NSSF inahitaji kufumuliwa.
  5. serengo

    Huu Mgao wa Umeme shida ni nini?

    HaTa Mwanza ni mgao kila kukicha
  6. serengo

    Kuna Mgao mkubwa wa umeme Jiji la Mwanza

    Umeme na maji ndani ya Jiji hili ni changamoto Mamlaka zitatue haya matatizo
  7. serengo

    Lake Oil Group of Companies utapeli mnaoufanya kwa waomba ajira kwenu una faida gani?

    Huu ni utapeli Mkubwa sana, serikali inatakiwa ifuatilie suala hili ikishirikiana na lake oil , maana pa kuanzia papo , Huyo mhasibu ndo wa kuanza naye.
  8. serengo

    Kaini alipata wapi mke wake?

    Kabla ya uumbaji was mwanadamu walikwepo viumbe wengine waliitwa wanefli, walikuwa watu wenye nguvu sana, Hivyo kaini alijipatia Mke kutoka kwa viumbe hao,soma kitabu cha Mwanz 6:1 na kuendelea utaelewa kuwa kulikuwa na viumbe wengine,
  9. serengo

    Kaini alipata wapi mke wake?

    Kaini alipata Mke kutoka kwenye viumbe waliokuwepo waliitwa Wanefli , walikuwa na maumbo makubwaila walifanana nawanadam,Kabla ya uumbaji wabinadamu walikuwepo viumbe wengine,
  10. serengo

    Ombi la kurejeshewa Internet

    ukifungua kesi juu ya haTa makamuni inakuwaje?maana same had in in mambo ya watu sana,
  11. serengo

    Uchaguzi 2020 Magufuli atakosa kura za wana CCM toka familia hizi

    Wadai wote Wa NSSF nao hawatoi kura, maana FAO LA kukosa ajira nalo limekuwa mwiba , MTU anamiaka 3 hana kazi ila ananyimwa pesa yake NSSf
  12. serengo

    Minara ya Simu

    Habari wana JF, Mnara wa simu mfano Vodacom unapofungwa mtaani kwenu lakini kwenye eneo linalomilikiwa na MTU binafsi, Mtaa nao unapaswa upate percent fulani kutokana na huo mnara au mtaa haupati malipo yoyote kutoka kwenye kampuni iliyoweka mnara huo? Mwenye ufahamu juu ya hilo tufahamishane.
  13. serengo

    Ni vitabu gani vimepigwa marufuku Tanzania?

    Njama, kikosi kisasi,vinapatikana wapi?
  14. serengo

    Bei ya maji Mwanza(mwauwasa) yapanda.

    Mamalaka ya maji mwanza (mwauwasa) ipunguze bei za maji, kama sisi tuliokaribu na ziwa bei zinapanda harafu huduma zenu zaa mgao , kunahaja gani ya kupandisha being.
  15. serengo

    Rais Magufuli alipokuta abiria wa daladala wakichimba dawa akaongea nao.

    Ukweli ni kuwa mh alikuwa umeenda kwake kwenye Ranchi ya mifugo kitengule karagwe , nyumba yake anayofikia ukokaribu na barabara check point ya zamani ,alikuwa barabarani kutoka kwake kuna kusalimiana na abiria siyo kwamba ulikuwa msafara.
  16. serengo

    Kwanini nchi za Congo DRC, Rwanda na Burundi zilitwaliwana Belgium lakini zinazungumza French badala ya Belgian?

    Marekani sababu alitawaliwa na mwingereza, brazili Naye lilikuwa koloni LA ureno, wengi wanafuata lugha za watawala wao
  17. serengo

    Kwanini nchi za Congo DRC, Rwanda na Burundi zilitwaliwana Belgium lakini zinazungumza French badala ya Belgian?

    Belgium yenyewe lilikuwa koloni LA wafaransa, belgium hawana lugha yao official
  18. serengo

    BOT achaneni na noti ya 10,000/-

    Wakipunguza sifuri 1au 2 thamani ya pesa itaongezeka pia
  19. serengo

    Washikaji tafuteni marafiki wa kike

    Marafiki wa kike wengi hawaaminiki unampa namba yako ya simu Leo kesho anaanza kukupeleleza unamke, unawatoto,unafanya kazi gani? Mara anaanza kuomba elfu 10 anashida,Siku 2tu anaanza kukupa shida zake, Mimi siwaamini marafiki wa kike vibomu vingi mno
Back
Top Bottom