Search results

  1. W

    Amini usiamini leo ni birthday ya Kalapina

    Hivi hiyo miwani ya jicho moja ni fasheni au ana tatizo?
  2. W

    Yoga Pranayama Cures 140Diseases

    Yoga Pranayama Cures 140 Diseases - Swami Ramdev Ji on Indian TV Channels Creating a "Disease Free Society - Medicines Free World" Swami Ram Dev Ji has been daily declaring on Indian TV Channels, since the year 2002 that Patients of so called incurable diseases like Diabetes, AIDS, Cancer...
  3. W

    Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Hao sio wanaume, ni wanawake tu wenye jinsia ya kiume.
  4. W

    Kitunguu swaumu; Kinga ya saratani, malaria

    Mkuu unajua kwamba hata msongo wa mawazo unasababisha ukosefu wa choo?
  5. W

    Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Kumbe povu linakutoka kwa sababu wewe ni wale wa"hela ya kubrush" hahaha.
  6. W

    Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Yaani umegonga kwenyewe. Siku hizi wanaiga kubeba back pack kama wajeda na kuna magari yao wameanza kuyakoleza rangi ya kaki iliyoiva ili yaonekane yanafanana na magari ya wajeda hahaha.
  7. W

    Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Watakameshwa na nani wakati wanajeshi ndo wenye kauli ya mwisho?
  8. W

    Afande Sele amlipua Zitto Kabwe kuhusu tuhuma za Ufisadi wa NSSF

    Jamaa ameanza kuwageuka wenzake.
  9. W

    Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Jifunze kuelewa maana ya jeshi. Wanajeshi wana sheria zao, wanaweza kumkamata mtu yeyote na kumfungulia mashtaka na kumhukumu bila kufikishwa unakojua wewe. Jeshi ni serikali kamili na ukivunja kanuni zao ukiwa kwenye maeneo yao ya kazi huna pa kwenda kulalamika kwa sababu wanaweza kukukamata...
  10. W

    Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Mkuu kumbuka wengine wameshaolewa tayari.
  11. W

    Polisi feki adakwa Mwanza

    Ukishikwa umevaa uniform za jeshi umejiroga.
  12. W

    Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Sasa kuna mabinti wazuri kweli, wapo natural, sijui wakiamua kujivika hayo makitu sijui kama kutakalika. Hebu mlinganishe Jokate Mwegelo na Wema sepetu utaona tofauti. Jokate hata akiamka asubuhi na kuoga kisha kupaka mafuta ya nazi bado uzuri wake utabaki vile vile.
  13. W

    Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Ni kweli. Kamwe usidanganyike kwa kuiona picha tu. Unajua mtu hadi anakubaliana na halmashauri ya kichwa chake ku-post picha fulani anakuwa ameshachagua picha moja miongoni mwa elfu moja ile inayoonekana kumtoa vizuri hapo bado hajaongezea na editing ya camera 360.
  14. W

    Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Kwa mfano tazama mabinti wa bongo movie, kila siku unakuta anatoka na sura nyingine, matokeo yake uhalisi wao haujulikani.
  15. W

    Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Sijui unatumia logic gani kufananisha nyumba na binadamu. Nyumba kabla ya ujenzi inakuwa tayari imechorwa picha jinsi itakavyotakiwa kuwa, kwahiyo tv, umeme, jiko, vikombe ni sehemu ya ukamilifu wa nyumba ile, mbunifu wake alishavipigia hesabu kwamba vitakuwepo hata kama ujenzi wa nyumba...
  16. W

    Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Hayo yote uliyoyataja ni sehemu ya ukamilifu wa nyuma tofauti na binadamu ambaye tangu anazaliwa tayari anakuwa na ukamilifu wake. Unatakiwa ujifunze kutofautisha kati ya uzuri na urembo. Wengi wanaotafuta wanawake wazuri wanajikuta wanaangukia kwa wanawake warembo ambao kimsingi urembo wao...
  17. W

    Wanaume tusidanganyike, make-ups, mawigi na lip sticks ni uongo mtupu.

    Hichi kinachoitwa urembo/lujiremba kwa tafsiri nyepesi ni uongo au udanganyifu. Hakuna kitu kinachoweza kuwa kizuri kwa kukifanyia ukarabati nje ya chenyewe. Kitendo cha mtu kupeleka nguo yake kwa fundi inatafsirika kama dalili ya nguo hiyo kupoteza uzuri wake wa mwanzo. Kwahiyo hata wale...
  18. W

    Car4Sale Brevis sokoni, inauzwaaa

    Brevis mpya!!! Ni-pm namba yako ya whatsapp tuongee bei.
Back
Top Bottom