Search results

  1. Gold Digger

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Please post % as well, hamna muda wa kupiga on the road
  2. Gold Digger

    Mukama: Mbio za Urais CCM, sasa ni zamu ya nyanda za Juu Kusini, Kati na Kaskazini

    Nashindwa kuelewa why he would even entertain questions about the 2015 Presidential race, at a time when the CCM government is struggling to shore up the economy and deliver on its numerous promises. Nilidhani kama Katibu Mkuu angeelekeza nguvu katika jitihada za kuwaleta pamoja wana-CCM kabla...
  3. Gold Digger

    Maneno ya Ujumbe wa Mh. Zitto kwa Viongozi Maswi na Prof. Muhongo hauna maadili ya Uongozi!

    Chief Mbona huu ujumbe haupo kwenye Majira la leo?
  4. Gold Digger

    Maneno ya Ujumbe wa Mh. Zitto kwa Viongozi Maswi na Prof. Muhongo hauna maadili ya Uongozi!

    nimecheki gazeti la Majira leo mbona huu ujumbe haupo?
  5. Gold Digger

    JF EXCLUSIVE: Sababu ya Kuachishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

    Too many problems, too little time! Tunachoona hapa ni watendaji wa serikali wakichukua hatua ambazo zinatokana na msukumo wa kisiasa, ndani na nje ya chama tawala. Hatua hizi hazina tija kwa taifa wala hazileti manufaa kwa wananchi, mpango mazima ni kukwepa hoja nzito bungeni na kupitishwa...
  6. Gold Digger

    When JF becomes source of information for BBC-It is encouraging!

    Pat on the back is well deserved, but lest we forget that the biggest room in the world is room for improvement. Let's collaborate to make JF better and even more relevant for all.
  7. Gold Digger

    Membe awavaa wanasiasa wanaojisafisha masikitini, mkanisani

    Huyu jamaa na mnafiki kweli, anazungukia kwenye Harlan za dini kuonya wale wanaotumia dini...what a joker!
  8. Gold Digger

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    A very intelligent and convincing response, keep it up! Nyie ndio wanamapinduzi tunaowategemea...lol
  9. Gold Digger

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Another balant mistake ni kwamba migodi yote ya Barrick ilitenfanishwa under the new company name of African Barrick Gold (ABG) since Feb 2010. Na baadaye email za watumishi wote zilibadilishwa to xxxxx@africanbarrickgold.com I repeat this is utter rubbish, moderator when will this forum...
  10. Gold Digger

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    This is utter rubbish! How come the paper is crumpled but the typeface is not distorted? Yani siamini kwanza moderator anaruhusu this forum to be used to launch such filthy personal attacks. Kweli Kama ali yodels Mkapa, Watanzania tumekuwa wavivu kufikiri
  11. Gold Digger

    Dhahabu imefikia USD 1,800 leo, tuendelee kulipwa asilimia 3 ya USD 400?

    Hapa naona baadhi ya watu wanaongea pumba tupu, bila hata kujali. Hizo bei pamoja na mrahaba uliwekwa na serikali yetu. Wachimbaji hawana uwezo wa kututungia sheria na bungeni. Tunapofanya makosa tuwe tayari kutakubali na kurekebisha.&lt;br /&gt;<br /> &lt;br /&gt;<br /> Hamna mkataba wenye...
  12. Gold Digger

    Do MPS represent ‘wananchi’ or themselves?; The African Newpaper Opinion on Zitto Kabwe

    Do you guys think Zitto is honest with his current fuss attitude on posho? I am not sorry to say that he is nothing but just a wity politician who understands the game of grabbing...........................
  13. Gold Digger

    Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

    He's a very gifted politician
  14. Gold Digger

    Kumbe Barrick wataanza kulipa kodi 2014? Mungu wangu tumerogwa au?

    Cheif umeme unaotumika Buly ni extention ya national grid iliyogharamiwa na Barrick 100%. Hamna mgodi wenye exemption ya bili ya umeme, as a matter of fact Barrick is TANESCO's biggest client. Swali la kuuliza ni hili; kama hawa mabwana wametumia zaidi ya dola milioni 100 kati ya 2006-10...
  15. Gold Digger

    More Gold in Tanzania... People remain poor!

    Jamani tunapoiwaza Tanzania ya kesho naomba tuwe na mawazo kiulimwengu. Enzi za kujifungia mpaka upate uwezo ulishapitwa na wakati. We have wasted a lot of time waiting to be ready, we are ready and we need to get moving right now. The world economy is in the midst of a transformative change...
  16. Gold Digger

    North mara. . . .

    The Don, Please check your facts and your sources, kwa sababu hii story haina ukweli wowote. Its factually wrong and the only intention is to tarnish the image of Barrick and of the MP. This story is ludicrous and even the 'facts' contained in it prove it to be fictitious. Why! Because: I...
  17. Gold Digger

    Nigeria underrated Tanzania - Igiebor

    Nice to know that we are capable of inflicting a painful loss, even if its because it was not expected!
  18. Gold Digger

    Black Panther Leader Geronimo Pratt dies in Tanzania

    RIP Geronimo, may your spirit live on in the youth of today!
  19. Gold Digger

    Tusidanganyike na siasa za CHADEMA au CCM!

    In a situation like ours, we should be looking at the civil society to intervene and through advocacy they could provide the platform to mobilize the people in the interest of the country and speak for those with no voice or political affiliation. Unfortunately, our civil society has also...
  20. Gold Digger

    Tusidanganyike na siasa za CHADEMA au CCM!

    In a democracy, political parties are supposed to be the instrument to finding solutions to political crises and other problems of the country. In the case of Tanzania, the political parties are the source of all problems, from which we cannot expect any solution. The way the CCM and CHADEMA...
Back
Top Bottom