Search results

  1. DVT

    Waziri kivuli wa Utumishi ongelea swala la maslahi ya watumishi wa umma

    Aisee,, ndo 2020 mfanye maamuzi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. DVT

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Inbox ndo wapi? Naitaka hii Sent using Jamii Forums mobile app
  3. DVT

    Je unaijua AMANA Bank, Inayokopesha bila Riba?

    Hadi leo hamna riba?
  4. DVT

    Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

    Duh na mm nataka cha mil 2 karibu na bahari
  5. DVT

    Namshukuru Mungu zoezi la kuhakiki watumishi ni vyeti vya secondary tu

    Uhuni kivp ww hebu tujuze vzur maana inaonekana unajua zaidi
  6. DVT

    Tetesi: Zari Ana mtoto wa 1988

    Hahaha kashakufa moyoni mwake bado tuu mwili utulie, yaani ana wivu na chuki kwa waliomzidi maisha,, what a looser
  7. DVT

    Wanafunzi wa Stashahda ya ualimu masomo ya Sayansi, Hesabu na Teknolojia UDOM warudishwa nyumbani

    Ni form four waliopata FOUR wanaotokea mazingira magumu au kama una connections unapata, hawa wanasoma miaka 3 diploma
  8. DVT

    Wanafunzi wa Stashahda ya ualimu masomo ya Sayansi, Hesabu na Teknolojia UDOM warudishwa nyumbani

    Inaumiza sana jmn,, kupotezeana muda huko, yaani JK aliharibu hii nchi sana
  9. DVT

    Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

    Mimi nataka ya Mil 4 used Vits au Passo ya foleni za mjini tuu
  10. DVT

    Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

    Familia hapa inahusikaje? Sasa kilaza ni ww unayekataa hoja bila kutoa ushahd na kuishia kutukana,, wasomi wanabisha kwa hoja, hujielewi ww nna wasiwasi na akili yako
  11. DVT

    Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

    Huwezi kusema ni takwimu feki kama hujaprent takwimu sahihi, kama ni feki leta vithibitisho sio kukurupuka tuu kupinga bila hoja
  12. DVT

    Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

    Wewe ndo unipe, unaonekana unajua zaidi
  13. DVT

    Baadhi ya Vyuo Vikuu vinazalisha Wasomi bomu

    Vyuo ni UDSM na SUA tuu,, quality education, hata vilaza wanajua ndo maana wanatumia nguvu kuviponda, vyuo vinavyotambulika duniani na viko top ten Africa.. Hata uumie kiasi gani huwezi kuvishushia thamani,, ulifeli ndo maana hukufika huko,, jitahdi watoto wako waje kusoma huko
  14. DVT

    Makato ya HESLB ni kiasi gani?

    8% ya take home yako, ukienda pale mwenge kwenye ofc zao watakuelekeza, wanakataa boom, stationery, fees nk hela yao yoote waliyokupa, na ukichelewa wanaangalia muda ulio maliza chuo na thamani ya fedha kwasasa
  15. DVT

    Unafiki wa mama yangu na dada zangu

    Utaratibu wenu mbovu, yaani kila mtu akaoshe chombo chake kwenye sink ndo nn? Vyombo vinakusanywa vinaoshwa pamoja kwa usafi, hyo familia yako inawanawake watatu ukimtoa mama yako, sasa kwann mnashindwa kuorganise mambo madogo kama haya?
  16. DVT

    Wenye Nyumba Dar ni Washirikina.

    Mimi mwenyenyumba napoishi,, chochote mtakachoongea usiku ukiamka asubuh anakijua, atawaambia majirani au atamuuliza ndugu yangu nnae ishi nae, kwahyo sikuhz hatuongeagi tena mambo ya maana kwenye hii nyumba, kuna ukweli flani kwa mtoa uzi, wenyenyumba asilimia kubwa ni walozi, ukiwa mchawi au...
  17. DVT

    Meli za mizigo zapungua bandari Dsm

    Hahaaa acha iwe kama Rwanda
Back
Top Bottom