Search results

  1. Muislaam

    Laini ya uwakala ya Tigopesa 100k

    Nicheki 0759601820
  2. Muislaam

    Mfanyakazi wa saluni ya kiume anahitajika

    Nahitaji mtu wa kunyoa saloon ya kiume. Ipo Chanika, Dar es salaam. Mshahara makubaliano; malazi yapo. Akiwa anajua computer ni vizuri zaidi kwani huwa naingiza nyimbo kwenye simu. Mawasiliano: 0714306015 au 0759601820
  3. Muislaam

    Kwa anayetokea Mbeya au Ifakara

    Tuwasiliane 0714306015
  4. Muislaam

    Nahitaji combine Harvester ya kukodi

    Habar. Wanajf natafuta hii mashine ya kuvunia mpunga kwa mwezi ujao. Mwenye nayo au Kwa anayewafahamu wanaozikodisha please tuwasiliane 0714306015 au anpm
  5. Muislaam

    Natafuta kazi ya udereva

    Nichek0714306015 tuzungumze mchakato fulani hivi
  6. Muislaam

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbagala

    Ipo Mbagala Zakhem, nyuma ya gholofa la Amana Bank. Hati milki ipo. Bei ni milioni 55, maelewano yapo. Kwa mawasiliano piga: 0714167626 au 0688882973
  7. Muislaam

    I'm looking for matured Man to be my husband

    Kweli na hiyo ndio atawachuja kirahisi
  8. Muislaam

    SUZUKI CARRY INAUZWA 2M

    Namba C Ipo Temeke Kwa mawsiliano 0714306015
  9. Muislaam

    Passport size machine inauzwa bei poa

    Nipo Dar printer ya kusafishia picha aina ya canon pamoja na betri lake la kuichajia vinauzwa kwa shilingi laki moja na kumi (110,000/) tuwasiliane kupitia 0714306015
  10. Muislaam

    Anahitajika kijana kwa kazi ya chips

    Habari, mi nipo dsm maeneo ya chanika nahitaji kijana mchapakazi na mwaminifu anayeweza kukaanga chips.0743071138
  11. Muislaam

    Natafuta Suzuki carry used

    Habari nina bajet ya 4mil. nahitaji haraka suzuki carry 4wd (kichwa cha kambale.) iwe ktk hali nzuri nipo dar. 0743071138
  12. Muislaam

    Nahitaji CD ya Canon ir 2020

    Nimejaribu lakini haiprint
  13. Muislaam

    Serikali ianzishe bima ya kilimo.

    Agriculture insurance mboni ipo..
  14. Muislaam

    Nahitaji CD ya Canon ir 2020

    Habari! naomba anayetumia machine hii canon ir 2020 nahitaji CD yake ili nifanye installations ili niweza kuprint kwa kutumia copier. Mwenye nayo tuwasiliane 0714306015 Mimi nipo Dar.
  15. Muislaam

    Pata mashamba ya miti (laki moja na nusu kwa ekari)

    Ok!Na hati utapata baada ya kumalizia
  16. Muislaam

    Pata mashamba ya miti (laki moja na nusu kwa ekari)

    Lipo wilaya ya kilombero bei nimeshataja hapo
  17. Muislaam

    Nauza mihogo

    Habari! nina mihogo ekari mbili aina ya rasta imeshakomaa. shamba lipo kijiji cha msanga-chanika-pwani. kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia 0714306015
  18. Muislaam

    Pata mashamba ya miti (laki moja na nusu kwa ekari)

    Habari! Tukiwa tunelekea msimu wa kupanda miti. Nina Shamba nauza -lina ukubwa wa Ekari 150. -Lipo kijiji cha UCHINDILE mkoani IRINGA. -Kuna Barabara inafika hadi shambani. -Linafaa kwa miti aina ya pines au milingoti na Ufugaji. -Vitalu ya miche vinapatikana karibu na shamba. -Limepimwa na...
Back
Top Bottom