Search results

  1. K

    Mtaalamu wa namna hii anahitajika

    Hongera kaka kwa ujasiri wako huo na mshukuru Mungu kwa hilo kwani mimi nina kaka yangu wa toka nitoke alisikia kitu kama hicho akaamua kutumia kiasi cha fedha alichokuwa nacho kufadhili shughuli ya uchimbaji wa mali alizodhani kuwa zimefukiwa ardhini. Ninavyoandika hadi leo hii akili yake...
  2. K

    John Shibuda: Mbowe ni dikteta

    Ni nini maana ya hoja?
  3. K

    Barua ya wazi kwa zitto kabwe

    Naungana na mtoa hoja na nawakubali mamoderator wetu hapa jamvini. Tukitumia maneno au lugha ambayo si nzuri inaonekana wote hapa hatuko sawa na wala unachokijadili hakina maana. Ni kweli kila member ana mawazo yake na sidhani ki mtazamo tunaweza kuwa sawa la msingi tuwe wastaarabu na kuheshimu...
  4. K

    Adui si Zitto, hatima ya CHADEMA

    Ahsante sana kaka kwa mchango wako ambao ni chanya katika nyanja zote. Naunga mkono hoja.
  5. K

    Why are Jews so powerful?

    I used to think of it and i'm still thinking why things are like that and i do hope i will come into conclusion. Ahsante kwa mada yako nadhani tutadadavua ili kujua sababu yake nini mkuu.
  6. K

    CHADEMA yaandaa mkakati mzito kudai Katiba mpya

    Naunga mkono hoja.
  7. K

    Zitto hayuko tayari kuwa kiongozi!

    Ujumbe umeeleweka lakini napingana na mtoa hoja sidhani kama issue ya kuwa kiongozi au mwenyekiti wa taasisi lazima uwe tajiri kwa hili sikubaliani naye hata kidogo. Inawezekana anamfaham Zitto kama alivyosema na sikatai kwa kuwa simfahamu zaidi ya kumuona bungeni au akijadiliwa hoja na tabia...
  8. K

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Hata mimi naungana na wana harakati katika kudai hili kwani mwisho wa siku tutajikuta tuko sehemu ambayao hakuna hata mmoja wetu alitarajia kufika huko. Kama kweli nchi yetu ni huru na ina demokrasia ya kutosha sioni tatizo la kuangalia mapungufu ya katiba yetu ya sasa na kuamua kufanya...
  9. K

    Naomba Kujumuika

    Hi All, Ndugu zangu wana JF nachukua nafasi hii kujitambulisha na kuomba kukaribishwa katika mawazo na mijadala ya hapa na pale yaani kijamii, kisiasa n.k. Natanguliza shukuran zangu za dhati. All i all ninachoweza sema tuko pamoja katika kulijenga Taifa letu. Regards, Kabaya
Back
Top Bottom