Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi
Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na...
Kuna level sisi watu wa aina yangu tumevuka zamani sana. Nyie vilaza na maskini wa fikra ndo mnaweza fikiria. Ukisoma nyuzi zangu utagundua ni mtu independent najitegemea kifikra, kiuchumi na kiimani. Sina rafiki wala adui wa kudumu. Nina maslahi ya Tanzania ya kidumu tu.
Na bahati mbaya au...
sure kipindi kile labda sababu ya ugeni kiukweli alikuwa kama mtu wa hovyo kumbe yupo smart. nadhani shida ilikuwa yule msaidizi wake yule alikuwa kiazi sana pengine ndo alikuwa ana mpollute huyu aunt. kwa sasa gwajima anafanya kazi kwa weledi bila mihemko kabisa
huwa inafanywa kimkakati ili kumfanya awe tegemezi pia kwa wenzie. wakiamini akiwa katika eneo lake alilo specialize huwezi pia mdanganya au fanya naye siasa.so anapelekwa sehemu ambayo hana ujuzi nao wa kutosha. usishangae Dr gwajima anapewa wizara ya viwanda na biashara au wizara ya ulinzi.
Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa.
Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.