Search results

  1. N

    Rafiki wa kawaida wa kike anahitajika

    Nahitaji rafiki wa kike wa kawaida. Awe na sifa za kuwa na brain nzuri inayoweza kushiriki kwenye critical discussions ya yeyote tutakayojaaliwa kuzungumzia ndani ya urafiki wetu. Awe anayejitambua huu ni urafiki wa kawaida na mengine ni majaaliwa. Huu ni urafiki wa online tu, kuchat na...
  2. N

    Yeyote aliye London/Liverpool naomba anisaidie hili

    Natarajia kutembelea London/Liverpool in the near future. I can be accommodated in hotel/apartment but I do prefer to be accommodate with any Tanzanian who has accommodation in those two locations. Napenda hivyo kwakuwa nataka kujisikia kama nipo nyumbani. Nitakuwa mimi na my wife so kama kuna...
  3. N

    Kuna dawa za kuulia magugu kwenye shamba la nanasi?

    Wanakilimo wenzangu. Nyasi zimekuwa zikinisumbua sana kwenye langu la mananasi huko Bagamoyo. Kupalilia mara kwa mara ekari zaidi ya ishirini si kitu rahisi sana ukizingatia kuwa wapaliliaji wanafukiafukia tu. Nimejaribu kuulizia dawa za kuua magugu kwenye shamba la nanasi sijafanikiwa...
  4. N

    Moja ya matukio ya mama mzazi ambalo hutalisahau maishani mwako

    Tukielekea kwenye maadhimisho ya siku ya mama Duniani tujaribu kurudi nyuma na kujikumbusha juu ya matukio au mambo muhimu ambayo mama zetu wametundea na kuleta Matokeo chanya kwenye maisha yetu. Nakumbuka siku moja wakati nikiwa kidato cha pili nimerudi nyumbani likizo fupi ya pasaka...
  5. N

    ref: Ebola, AIDS Manufactured by Western Pharmaceuticals, US DoD?

    It is 5:41 pm in Monrovia on Friday, October 10, 2014 Calling all citizen journalists: If it has happened, is happening or is about to happen in your community, let us know. Find our contact info at the bottom of this page. For the latest, follow us on Facebook at...
  6. N

    Ref: Ebola, AIDS Manufactured by Western Pharmaceuticals, US DoD?

    Ebola, AIDS Manufactured by Western Pharmaceuticals, US DoD? Scientists allege deadly diseases such as Ebola and AIDS are bio weapons being tested on Africans. Other reports have linked the Ebola virus outbreak to an attempt to reduce Africa's population. Liberia happens to be the continents's...
  7. N

    Natafuta rafiki wa kawaida wa kike

    Nahitaji rafiki wa kike kwa urafiki wa kawaida tu. Madhumuni hasa ni kuchat juu ya mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla (opportunities, professional, biashara, kilimo hususan cha biashara, ushauri juu ya mambo mbalimbali). Ningependa mtu nisiyefahamiana naye ambaye naweza kuwa free kumweleza...
  8. N

    Nahitaji rafiki wa kike katika nyanja za uchumi, uwekezaji na maisha kwa jumla

    Nahitaji rafiki wa kike tujenge urafiki wa kawaida na ikiwezekana wa mapenzi kama itahitajika kuwa hivyo na kama tutarandana kitabia, kifikra na kimtazamo wa maisha kwa jumla. Sehemu kubwa ya mawasiliano katika urafiki wetu itakuwa kupitia mtandao, simu na mara kadhaa kuonana kila...
  9. N

    Ref: SOKO LA MANANASI

    Wanajamii, mimi nimeamua kujikita kwenye Kilimo na kwakuanzai ningependa nianze na kilimo cha mananasi. Tatizo kubwa si kulima bali soko. Kwahiyo kabala sijaanza kilimo hicho ningependa nianze na utafiti wa soko la uhakika la mananasi. Soko la mananasi li wapi? Nimepata ardhi ya kutosha maeneo...
Back
Top Bottom