Search results

  1. N

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    Hapana, sijachanganya madawa, najua ninachoongea. Siku hizi inabidi lazima ujiongeze. Kama wewe ni fundi mzoefu na unajua unachokifanya na umekuwa ukijenga kuanzia msingi mpaka mtu anahamia utashindwaje kutoa tathimini ya nyumba. Kama wewe mjenzi unapewa ramani, unashindwa hata kutoa copy ramani...
  2. N

    Moja ya matukio ya mama mzazi ambalo hutalisahau maishani mwako

    Sijui kwa nini nimesoma huu Uzi, nasoma nalia dah! Apumzike kwa amani mama. Pole mkuu. Binafsi sina baba maisha yangu ya ukubwani sikuwahi kuita jina baba.inauma lakini, Mungu ni mwema ana sababu.
  3. N

    Muda wa kumuonesha trafiki leseni ni mpaka siku tatu kama umesimamishwa na huna

    Hawezi kukuandikia bila kumpa leseni kwakuwa lazima aweke kumbukumbu zako kwenye document anayokuandikia so kama hana leseni hana particulars zako
  4. N

    Rais Magufuli amewadhalilisha Maaskofu mbele ya Sherehe za BAKWATA

    Kwani Maaskofu na viongozi wengine ni kina nani mbele ya Mungu? Aliyebora mbele ya Mungu ni Mcha Mungu tu na sio cheo chake. Wanatakiwa na wao wawajibike kama waumini wengine ili wajitengenezea ufalme wa Mbinguni, hili suala la kuitana watakatifu hapa duniani linawafanya wajisahau sana. Magufuli...
  5. N

    Rais Magufuli amewadhalilisha Maaskofu mbele ya Sherehe za BAKWATA

    You are completely out of context. Tuondolee udini wako hapa, huna hata aibu.
  6. N

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Kila kitu kinawezekana ila mimi pesa yangu imekataliwa. Kwa bahati nzuri DSO wa Wilaya ninayoombea silaha ni mtu wangu wa karibu na ameshindwa kunisaidia, amesema openly kuwa hana uwezo nisubiri tu kwakuwa Mkuu wa Wilaya ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ndiye pekee...
  7. N

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    katika mchanganuo huo kuna silaha mbili, pistol hapo ni 2.5m, hii ni ile ghari sana, kuna zingine ziko chini ya hapo inategemea aina gani unahitaji na uwezo wake kwahiyo unamudu tu kutokana na mfuko wako.
  8. N

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Usimsikilize huyo ni muhuni tu, kibali hakitolewi kwa silaha za kivita kama AK-47
  9. N

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    It is okay, ni kuwa mpole tu, ila chunga asije mtu akakwambia utoe pesa ili akuharakishie, hakuna kitu kama hicho, kwa kuwa utaratibu uko very systmatic hakuna mtu mmoja anayeweza kufanya maamuzi. siku hizi wapo strict kwakuwa silaha nyingi zinaishia mikononi mwa maharamia hivyo wako makini...
  10. N

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Badilisha life style yako. Mazoezi, piga jogging sana, jogging inakata uzito, piga mazoezi ya kukata tumbo kila siku. Badili mlo wako. Mimi nikaamka nakunywa maji ya moto, then ninapiga jogging 8 kms everyday in the morning, baadae nakula matunda na glass moja ya maziwa. Mchana nakula lunch ya...
  11. N

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Kaka utaratibu ni kununua kwanza then unaomba kibali cha kumiliki silaha. Mimi nipo kwenye hatua hizo lakini ni ngumu sana siku hizi na kuna urasimu sana. Nimenunua silaha toka July pale Tanganyika Rifle, nikajaziwa fomu pale nikaenda kwa kamati ya ulinzi na usalama ngazi ya mtaa na kata...
  12. N

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    Ngoja niangalie kama in the nexe few months time naweza ku rise 150 m kwa kuanzia
  13. N

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    Ni wazo zuri tutawasiliana kaka
  14. N

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    Najipanga kwa mwakani Mkuu inshallah.
  15. N

    Hivi kumwambia mpenzi wangu ' Nipo nawe kwa muda tu sitakuoa" ni kosa au ukwel umuweka mtu huru..

    Okay so she is there just to make you happy with no future with you. If she could have been your daughter, would you have been happy for her to be used and then dumped the way you do to that particular young lady?
  16. N

    Hivi kumwambia mpenzi wangu ' Nipo nawe kwa muda tu sitakuoa" ni kosa au ukwel umuweka mtu huru..

    Hapo wa kufanya maamuzi ni mwanamke si mwanaume tena. Mwanaume ameshasema wewe ni wa muda tu, sasa mwanamke anasubiri nini tena? Mwanamke mwenye msimamo siku hiyohiyo angeshasepa!!!!!1
  17. N

    Hivi kumwambia mpenzi wangu ' Nipo nawe kwa muda tu sitakuoa" ni kosa au ukwel umuweka mtu huru..

    Tatizo hatuwi wazi toka siku ya kwanza. Kama kweli wewe ni mkweli toka siku ya kwanza mwambie kuwa mimi nahitaji urafiki wa muda tu, sasa usisubiri yeye kuwekeza kwako kimapenzi then unamwambia wewe ni wa muda, hawezi kukuelewa maana wenzetu hawa wakipenda huwa wanapenda kweli labda vijana wa...
  18. N

    Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

    Someni hii:- 10 Reasons to Avoid GMOs 1. GMOs are unhealthy. The American Academy of Environmental Medicine (AAEM) urges doctors to prescribe non-GMO diets for all patients. They cite animal studies showing organ damage, gastrointestinal and immune system disorders, accelerated aging...
  19. N

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

    Nipo kwenye mchakato wa kutaka kujenga apartment za nzuri na bora lakini kwa bei nafuu. Ziwe stadard zinazoweza kukaliwa na watu wenye kipato cha kati. Nataka kujua round figure ya gharama zake kwa apartment za vyumba viwili na vilevile vitatu. Vyumba viwili kuwe na master moja, living room...
  20. N

    Makosa tunayoyafanya wanaume tukidhani kuwa tumeyaweza maisha

    Wanawake ni watu hatari sana ukiwafanyia makosa makubwa otherwise wengi wao ni watu wema sana. Akiwa na pesa ukiwa huna tokea mwanzo na akakupenda utafaidi maisha kama utatulia lakini ukianza kuhonga wanawake wengine kwakutumia pesa yake lazima atakumaliza, hata wewe ungefanya hivyohivyo. Lakini...
Back
Top Bottom