Search results

  1. Chadema Diaspora

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    Mh. Tundu Antipas Lissu atazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook na YouTube Live Streaming. YouTube Link: Hon. Tundu Antipas Lissu to address the nation and world on Monday, June 8, 2020 via Facebook and YouTube Live Streaming. Hon. Lissu will use two languages...
  2. Chadema Diaspora

    Mdude azungukwa na Wasiojulikana Hospitalini

    Watu wasiojulikana Mkoani Mbeya tangu Jana wanazingira eneo ambalo Mdude Nyagali - CHADEMA amelazwa. Huyu ni mmoja wa hao watu ambao nia yao haijulikani. Makamanda mnashauriwa kuwa makini na watu wanao kuja eneo ambalo Mdude amelazwa. Picha ni mmoja ya walio mzingira Mdude Hospitalini.
  3. Chadema Diaspora

    Dereva wa Lissu: Siku ya shambulio hakukuwa na ulinzi wowote, eneo lile linalindwa na askari wenye bunduki siku zote

    Ni wazi target alikua Lissu. Dereva kuyo kupigwa na risasi inadhihirisha ni tukio la kisiasa na Lissu alikua target.
  4. Chadema Diaspora

    Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

    Mh. Tundu Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman leo Washington D.C. Wameongelea juu ya changamoto za demokrasia Tanzania na Haki za binadamu. Congressman Brad ameahidi kufanyia kazi na kuweka uwazi juu ya demokrasia na haki za binadamu zinavyo kandamizwa Tanzania. Mh. Lissu anaendelea...
  5. Chadema Diaspora

    Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    Mh. Tundu Lissu baada ya kumaliza mkutano Congressional Research Services, Washington D.C. leo. 1:30 PM Eastern Time Mh. Lissu atakua VOA Straight Talk Africa with Shaka. Kwenye Straight Talk AFRICA leo, Mh. Lissu atakua na Wilson Masilingi, Balaozi wa Tanzania to the United States. MADA...
  6. Chadema Diaspora

    Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

    Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019. Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo...
  7. Chadema Diaspora

    Lissu Alert: Ratiba ya Lissu na Watanzania USA

    Jumamosi, February 9, 2019 atakua Washington DC. Jumapili, February 10, atakua Houston, Texas. Soma vipeperushu kwa taarifa zaidi.
  8. Chadema Diaspora

    Tundu Lissu kuongea George Washington University USA

    Jumanne, February 5, 2019 saa 9:00 hadi 10:30 asubuhi, Mbunge Tundu Lissu atakua na maongezi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo makao makuu ya Marekani, Washington D.C. Topic ya maongezi ni "Tanzania's Democratic Challenge”
  9. Chadema Diaspora

    Mbunge Joseph Mbilinyi afikishwa Mahakamani kwa Uchochezi, anyimwa dhamana

    *MAHAKAMA YAAMURU SUGU, MASONGA RUMANDE MPAKA TAR. 19/01/2018* Kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Mbeya Mjini *Mhe. Joseph Mbilinyi “Jongwe’’* pamoja na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa *Emmanuel Masonga* imetajwa leo Jumanne tarehe 16 Januari, 2018 katika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya na...
  10. Chadema Diaspora

    Mkakati wa kumchafua Mbunge wa Mbeya ‘sugu’

    MKAKATI WA KUMCHAFUA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSPEH MBILINYI “SUGU” Imeundwa fake account ya tweeter ambayo inaonyesha “SUGU” akimjibu mzazi mwenzake. Ipuuzeni. Ni fake account. Mh. Joseph Mbilinyi hana account kama hiyo. Hata kwa kuiangalia inaonekana ni fake. Pia, account hiyo haipo hata...
  11. Chadema Diaspora

    TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Tanzia: Mh. Gama MB Songea Mjini amefariki usiku wa kuamkia leo. RIP.
  12. Chadema Diaspora

    Wakili Mtetezi wa Lissu, Fatma Karume atua Nairobi kumjulia hali mteja wake

    Mapema Leo hii Wakili Msomi na Mweka hazina wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Ndugu Sadock Magai sambamba na Wakili wa Mh. Tundu Lissu katika kesi zake za uchochezi na Mtoto wa Rais Mstaafu Bi Fatma Karume walipata nafasi ya Kumjulia hali Mh Lissu hapa Nairobi Hospital.
  13. Chadema Diaspora

    Kesi ya mbunge wa Mbarali yafutwa

    Imefutwa leo ambapo Jaji Ngwala ameamua kuiondoa kesi hiyo kwa kukosa kiambatanisho chenye kielelezo cha matokeo. Kesi hii ilikua bado haijaanza kusikilizwa; ilikua kwenye hatua za kutajwa. Upande wa mashtaka umenukuliwa ukisema watakata rufaa.
  14. Chadema Diaspora

    KESI ZA UBUNGE MBEYA KUANZA KUSIKILIZWA JAN 13, 2016

    Pichani ni wafuasi wa CCM wakiwa wanaondoka baada ya kuzuiwa kuingia kusikila kesi kwa kuwa walivaa nguo za CCM. Wafuasi hawa wa CCM walizuiwa getini na mlinzi na wengine kuondoka, wengine walibaki chini kusibiri. Tunawashauri wapenzi na wafuasi wa vyama kuto kuvaa nguo za vyama vyao wanapo...
  15. Chadema Diaspora

    KESI ZA UBUNGE MBEYA KUANZA KUSIKILIZWA JAN 13, 2016

    BREAKING NEWS: KESI ZA UBUNGE MBEYA KUANZA KUSIKILIZWA JAN 13, 2016. Mkisi-Vwawa, Zella-Mbeya Vijijini, Silinde-Momba na Mwang'ombe-Mbarali zitaanza kuunguruma Jan 14, 2016. Kesi ya Mwambigija-Rungwe itaanza Jan 13, 2016. Kesi za ubunge Mkoa wa Mbeya mahakama inakua haitoshi. Leo ilibidi watu...
  16. Chadema Diaspora

    Kesi ya ubunge: Joseph Haule (Prof Jay) amgalagaza mgombea wa CCM

    Mahakama Kuu kupitia Mheshimiwa Jaji, Ignas Kitutsi, asubuhi hii imetupilia mbali Maombi Madogo ya Kesi ya kuomba kupunguziwa gharama za dhamana ya kesi (security for cost) iliyofunguliwa dhidi ya Mbunge, Joseph Haule "Prof Jay"; na mpinzani wake, Jonas Nkya. Mahakama kuu imetupilia mbali kesi...
  17. Chadema Diaspora

    Kesi 6 Ubunge Mbeya, ya Mwakyembe yafutwa

    KESI ZA UBUNGE MBEYA LEO Kesi ya Kyela; Mwamanyaki vs Mwakyembe imefutwa rasmi kwa mshtaki kushindwa kulipa 3M ya dhamana ya kesi Jaji ameamulu Mwamanyaki alipe gharama zote za kesi kwa washtakiwa watatu: -Mkurugenzi aliye tangaza matokeo -Mwanasheria Mkuu wa serikali -Aliye shinda ubunge...
  18. Chadema Diaspora

    Kesi za ubunge mbeya kutajwa jumatatu, dec 28, 2015

    KESI ZA UCHAGUZI-UBUNGE MBEYA Kesi tano zimeshalipiwa gharama "security for cost" na zitatajwa Jumatatu, Dec 28, 2015 Mahakama Kuu Mbeya. KESI ZILIZO LIPIWA NA ZITATAJWA JUMATATU; Kesi ya Mwambigija-Rungwe Kesi ya Mkisi-Vwawa Kesi ya Mwang'ombe- Mbarali. Kesi ya Dr. Siame- Momba Kesi...
  19. Chadema Diaspora

    Maamuzi kesi za ubunge Mbeya

    Maamuzi ya kesi ndogo ya gharama za kesi yalikua hivi; Mwambigija-Rungwe Mashariki; ameamuliwa alipe kiasi alicho omba, 1M kwa kila mjibu mashtaka, kama security for cost. So, atalipa jumla 3M Mwang'ombe-Mbarali ameamuliwa alipe kiasi alicho omba, 1M kwa kila mjibu mashtaka, kama security for...
  20. Chadema Diaspora

    Kesi za uchaguzi-ubunge mbeya

    KESI ZA UCHAGUZI-UBUNGE MBEYA Kesi ndogo nne za gharama ya kesi za uchaguzi zimeendelea kusikilizwa leo katika mahakama Kuu Mbeya. Kesi ya Mwambigija-Rungwe, Mwamanyaki-Kyela mjini, Mkisi-Vwawa na Mwang'ombe- Mbarali. Kesi ya Mwang'ombe-Mbarali imeahirishwa hadi Thursday Dec 10. Kesi ya...
Back
Top Bottom