Search results

  1. Humble African

    Ukweli kuhusu maisha ya sanaa na wasanii

    Daima dumu huwa naamini maisha ya sanaa ya muziki hayana tofauti na kukidunda kitenesi kwenye sakafu automatically kitaenda juu na kisha kugonga ceiling board na kurudi chini huku kikipungua kasi yake ya kwenda juu na hatimae hutulia tuli sakafuni. Ndio yalivyo hata maisha ya muziki kuna kipindi...
  2. Humble African

    Wakuu!! Njooni hapa tuongee na Fareed kubanda (Fid Q)

    Good day Fareed Kubanda! Najua unafahamu kwamba sikuvishi kiremba cha ukoka ila nasema ukweli huu hapa kwamba, wewe ni the most influential hip hop artist to ever walk in Tanzania... Wengi wetu bila kujalisha rika tunakuchukulia kama the instrument of hip hop in Tanzania and East Africa in...
  3. Humble African

    Threads bora za muda wote kuwahi kuandikwa JF

    Nilikuwa natafuta threads nzuri za kusoma nimejikuta nasakua siku nzima kila jukwaa na ninaambulia labda moja kwa mbinde sana ndio inanikosha, kuniburudisha na kunielimisha. Na miongoni mwa thread iliyonikosha ni hii hapa Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua...
  4. Humble African

    Vanilla; yafika $600 kwa kg 1 ikiyapiku madini ya silver yanayouzwa $550 kwa kilo

    Maisha hayajawahi kuwa magumu hata siku moja bali ni sisi tu binadamu ndio tunakuwaga na mioyo migumu na tunashindwa kujipekecha sahihi ili kuendana na kasi ya Dunia. Kasi ya Dunia ni kujua fursa zikoje kwa wakati sahihi na kisha kufanya maamuzi sahihi ili hatimae kila kitu kiende sawa sawia...
  5. Humble African

    Ukiijua hii Saikolojia na tabia ya Askari Polisi, hawatakusumbua sana

    Maisha haya bhana! Nilipokuwaga mdogo nilikuwa na akili finyu sana nadhani kuliko watoto wote wa mtaani kwetu.. Niliamini kirahisi sana mambo bila hata kufikiri kwa kina yaani zile akili teketeke za kitoto..yaani nikitaka kuamini jambo basi naamini mwenyewe tu bila hata kuuliza mtu wala...
  6. Humble African

    Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

    Siku nzuri wakuu! Watasha wanasema "learning is the continuous process from cradle to grave" kujifunza ni kitendo cha kuanzia unazaliwa hadi unakufa..hakikomi..Leo tujifunze hiki kinachowasibu jamaa Tanzania one hawa a.k.a "John kisomo" au "somasoma jinsi wanavovurugwa na maisha kuliko sisi...
  7. Humble African

    King Tutankhamun; Roho ya Farao (Mummy) iliyowamaliza watu kwa laana yake kali.

    Kwa nchi ya Egypt kama kuna Farao alieitikisa Misri akiwa hai na na kuendeleza ubabe hata akiwa mfu kaburini basi alikuwa ni mtoto mdogo aliejitwalia ufalme akiwa na miaka tisa tu kutoka kwa baba yake aliefariki then ufalme kuhamishiwa kwa mtoto wake mdogo kabisa wa kiume aliezaliwa mwaka 1325...
  8. Humble African

    La petit Mort; Kila binadamu anaeishi ameshakufa kidogo kidogo mara nyingi tu Maishani mwake.

    La petit Mort, tamka (la petii mwa) neno la kifaransa hili lililopata umaarufu zaidi karne ya 19th century.. Likiwa na maana "little death" kwa kiingereza na "kifo kidogo" kwa kiswahili. Ukisikia mtu anasema la petit Mort anakuwa anamaamisha orgasm climax( mshindo, kupiz) ambapo mtu anaingia...
  9. Humble African

    RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

    Maisha haya! Kwa siasa za kiafrika politics its all about "influence" and not "facts" once ukijitokeza una facts, logics, and innovative idea unaonekana traitor and snitch asie mzalendo lakini nafahamu siasa na facts havikai sehemu moja na Daima siasa inapoingilia dirishani kwenye nyumba...
  10. Humble African

    Yajue Mashirika makubwa ya ndege Duniani yaliyofilisika mwaka jana 2017

    Hakyamungu! Hebu kwanza sikia huu msemo "The airline industry, in its history, has never made money.” huu msemo ni maarufu sana huko majuu kwenye soko la hii biashara ilipoanzia na hii inaweza kuwa na ukweli ndani yake maana hata CNN wameandika kwamba IATA wanadai ndege nyingi zinapata faida ya...
  11. Humble African

    Mtaalam: Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner, Kila siku inapokaa kwenye lami inagharimu takriban Sh. 68,000,000/-

    Yamesemwa mengi sana baada ya ndege yetu kununuliwa mengi ya maana mengine ya kijinga lakini suala limevuka mipaka na wataalamu wa masuala ya aviation toka ulaya nao wametupa ukweli mchungu juu ya biashara hii ngumu kuliko zote Duniani. Asilimia kubwa ya mashirika na makampuni yanayoingia...
  12. Humble African

    Japan economic miracle: Funzo kwa Rais Magufuli juu ya hatma ya Tanzania

    Katika maisha ili uweze kuelewa masuala mengi kwa urahisi na upana wake lazma ujifunze kuwaza na kufikiri kwa akili ya kawaida hii kitaalamu wanaita "common sense". Yaani ile akili ya kwanza kabisa ya binadamu kabla ya kuingia knowledge na skills za kujifunza darasani. Ndio! Ni hii hii akili ya...
  13. Humble African

    Nimethibitisha mademu wa Kenya wanatukubali sana wabongo

    Kenya ni jamii ngumu sana kwenda nayo sawia..wana matusi, ubabe kisela mavi, kejeli na ujuaji. Soon baada ya kuingia kwenye forum yao tuliyakoga sana matusi..kama vile.. meffi wewe, chieth, ngombe ya magufuli, acha upussy e.t.c Ahahaha! but nilipata bahati ya kuwa na fan base ya wakenya...
  14. Humble African

    Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa

    Good day wakuu! Baada ya kupona dhoruba la kunyimwa Uhuru wa kubanguana bongo....tuendelee kupeana vitu adimu na adhimu kwa afya ya ubongo..maandishi yenye kuprovoke thought and intellectual curiosity.. Leo nina mood ya kuzungumzia ishu za art kwenye kipindi cha Renaissance era ya...
  15. Humble African

    Picha; safari ya kuelekea nje ya Dunia.

    Its so amazing how this world was made na God. Picha hii hapa inaonesha space shuttle ikiacha anga la kwanza la Dunia miles 50 kutoka uso wa Dunia lenye hewa safi na inayosuport maisha Duniani yenye perfect mixer ya oxygen na nitrogen then inaingia kwenye anga lenye kiasi kikubwa cha hydrogen...
  16. Humble African

    Angalizo; (picha ndani zinatisha) maajabu ya mazishi ya Tibet, Mongolia, China

    Maisha hayaishi kutufundisha mapya kila siku, Leo kuna jipya nimejifunza maishani tena. Kuna Mzee alikuwa mtu wa mtungi sana mtaani kafariki majuzi na awali alikuwaga muumini wa kanisa moja (sitalitaja) kwa sababu za kimaadili na utu. Baada ya kufariki church wakasema kwanza Mzee alianza kupiga...
  17. Humble African

    Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

    Good day, Good people! Hivi Karibuni kumezuka mfululizo wa nyuzi kibao hapa JF na zote zikipinga uwepo, uweza, na utendaji kazi wa Mungu. Kiukweli zimenifanya nikazama ndani kufikiri kwa kina zaidi juu ya uwezo wa Mungu na nimepata haya ya kuzungumza na kushare na nyinyi kidogo, ila ningependa...
  18. Humble African

    Déjà Vu inathibitisha binadamu tulishawahi kuishi maisha tunayoishi leo tangia kale

    Good day, good people! Déjà vu ni neno lenye asili ya kifaransa likimaanisha "already seen, lived" yaani unakutana na situation, event, scenario au hali yeyote ambayo unakuja kugundua ulishawai kuishi hiyo hali au hayo maisha ya muda huo zamani iliyopita. Hiyo ndio inakuwa déjà vu. Yaani akili...
  19. Humble African

    Namna majina yetu yanavyotuhukumu na kubeba hatima zetu maishani

    Roma ya kale walikuwa na msemo wao maarufu wa “nomen est omen” ,or “name is destiny”. Ukimaanisha kwa kiswahili "jina lako na hatma yako" kwa ujumla ikimaanisha kwamba jina lako linaweza kuamua mustakabali wa maisha yako aidha yawe mazuri au mabaya? Kwa kifupi jina lako laweza kukuhukumu. Hivi...
  20. Humble African

    Je, uoga juu ya maumivu ya kifo ni ya kweli?

    Nawasalimu wandugu kwa jina letu lile jipya tulilopewa na afande Muroto Ahahaha! Hopefully mko sawa kabisa. But wiki hii imekuwa wiki ngumu sana kwa wengi kwa kuandamwa na misiba mfululizo ya watu mashuhuri..alianza Masogange, akaja Jebby, akaja msanii maarufu wa Sweden Avicii, akaja Luha, dogo...
Back
Top Bottom