Search results

  1. muhomakilo jr

    Mwanamuziki King Giovann afariki dunia

    Mwanamuziki King Giovann aliyewahi kupitia bendi kadhaa kama FM academia na Chuchu sound amefariki dunia. King alikuwa mahili katika ucharazaji wa gitaa la solo amefariki ghafra muda mfupi uliopita. Kwa mujibu wa King Dodoo,King amefariki baada ya kuugua pressure muda mfupi kabla ya kifo chake...
  2. muhomakilo jr

    Waziri Prof. Mbarawa ondoa uozo huu TAA-JNIA

    Katika hali ya kustajabisha na kushangaza aliyekuwa Mkurugenzi wa kiwanja cha ndege JNIA Ndugu Paul Rwegasha amerudishwa tena kwenye nafasi hiyo. Huyu aliondolewa kwenye nafasi hiyo kutokana na kukabiliwa na shutuma mbalimbali zikiwemo. 1. Kusababisha kiwanja kushushwa Category kutokana na...
  3. muhomakilo jr

    Emirates airlines kuchelewa kutua dar leo.

    Wakuu leo ndege ya shirika la ndege la emirates Airlines itachelewa kutua Dar leo,inasemakana sababu kubwa ni ukungu katika kiwanja cha ndege cha Dubai,abiria wapatao mia tatu na zaidi wapo tangu mchana kusubili safari yao.
  4. muhomakilo jr

    Wakuu nipokeeni

    mimi ni mgeni JF wakuu nipokeeni.
Back
Top Bottom