Search results

  1. S

    Mwanaume kuota matiti

    wakuu inakuaje mwanaume anakua na matiti na dawa yake ni nini?
  2. S

    Tecno boom j7 vs nokia lumia

    Wakuu kwa wenye uzoefu ipi nzuri kwa matumizi ya mwanafunzi na ya kawaida na bei zake vipi kwa mwanza
  3. S

    Natafuta kazi ya Plant Operator

    msaada kwa we unayefahamu wapi nitapata kazi tajwa hapo juu niandikie kampuni zinazohitaj watu wenye ujuzi kama wangu
  4. S

    Kujifunza kirusi na kichina

    Wanajamvi wapi nitapata shule au chuo cha kujifunza lugha hizo kwa hapa Tanzania
  5. S

    Grader Vs Excavator

    Kati ya hizo ipi soko lake la ajira lipo juu na maslahi yake yako aje? na ipi inafaa kuisoma
  6. S

    Laboratory,Health record management and phamarcy ipi kozi nzuri?

    Naomba kujua ipi kati ya kozi hizo inalipa na soko lake la ajira lipo aje?
  7. S

    Natafuta chuo chenye kozi ya Health record management

    Kama unajua chuo chochote knachofundisha kozi tajwa hapo juu kwa ngazi ya cheti na diploma naomba unifahamishe kwa kuandika jina na mawasiliano kama yapo nasubiri msaada wenu wapendwa
  8. S

    Friends wa kuchat!!

    wadau kwa yeyote anayependa kchat afanye kunitext kwa 0763962571 Ful ushrikiano
  9. S

    Wapenz wa kusoma novels

    Mdau so mbaya kama utanielekeza novel ama story ambayo ni kali yenye maudhui meng hasa yanayoamsha ari ya kupiga kaz il mafanikio yawepo..
  10. S

    Mtandao wa ngono basi!!

    Daaah wadau last week nlpoct kugundua gal nliempita alikua na v.v.u nikajitia ujasir nikaenda chek afya npo mzima kuanzia xaxa mtandao wa ngono basi tena sitaki kbxaaaa nawashaur mkapime wadau ambao amjajua afya zenu
  11. S

    Nahisi kuuza mechi

    Wadau ushauri wenu nauhitaji nini nifanye baada ya kula kujamiiana na msichana ambae nimegundua ana V.V.U japokuwa nilitumia mpira sina imani. nlpga miez 6 iliyopita na nmerudia last week wkt huo nilikua cjui nmejua jana
  12. S

    Kwa anayefaham TRACDI Dodoma

    Wana JF kwa yeyote anayejua kuhusu chuo cha TRACDI dodoma anijuze 1:ada 2:vgezo vya ufaul vnavohitajika 3:muda wa kujiunga. nawasilisha
  13. S

    Health record management

    Kwa yeyote anaefaham chuo knachotoa kozi hiyo ya health record management kwa ngazi ya certificate na diploma anijuze
  14. S

    WanaJF okoeni jahazi

    Jaman kwa yeyote anayejua chuo kinachofundisha udereva wa construction machine like caterpillar naomba anielekeze then sio mbaya kama ataniambia,ada,muda wa mafunzo,na mawasiliano ya chuo hicho.nitashukuru
  15. S

    Kwa yeyote anayekifaham chuo cha kilimo kaole,bagamoyo

    Wakuu nahtaji msaada wenu kwa anayekfahamu chuo cha kaole anipe ful information kuanzia kjiunga,fee na v2 vngne.ka utaona usumbufu kuandika jst hta unibp kwa 0763962571/0687600940 ntakpgia
  16. S

    Ushaur Wako Unahitajika

    Mm ni mhitmu wa kidato cha nne mwaka 2012 nkapata iv ya 30 baada ya marekebsho ikaja vlevle nna "D" za hstr,eng,kisw,geog na bios.Naomba ushaur nifanyeje
Back
Top Bottom