Search results

  1. Mhadzabe

    ITV: Siku 100 za Rais Magufuli, kumsifia au kuangazia mtazamo wa wananchi juu ya uongozi wake:

    Kwanza kabisa niseme sina tatizo na uongozi wa ITV juu ya kuona haja ya kupata maono ya watanzania juu ya uongozi wa Mh. Rais Magufuli kwa siku mia moja kwa kuandaa kipindi maalam juu yake (labda kwa watazamaji wa tamthilia ya Stray cat wamekwazika maana umekula mda wao). Nina tatizo ya kujua...
  2. Mhadzabe

    Nauza shamba Eka kumi Menge Morogoro, nipe Mil

    Nauza shamba ekari kumi nje kidogo ya manispaa ya Moro kuelekea Dodoma Menge. Kamavuko interestedi njoo Pm
  3. Mhadzabe

    Msaad Configaration Mchna Android Samsung

    Wakuu naomba msaada jinsi ya kuiwezesha kimchina changu Android Samsung touch screen, ili niweze kuaccess huduma ya Internet. Natumia mtandao wa Airtel na Tigo.
  4. Mhadzabe

    Msaada for Nokia N70.

    Wakuu salam. Natumia simu aina ya Nokia N70. Na ndio imekuwa rafiki yangu mkuu katika swala la internate hasa napokuwa mbali na computer. Tatizo la simu hii haina huduma ya YOUTUBE, Je nawezaje kuinstall programme hiyo? Thanks.
Back
Top Bottom