Search results

  1. Mhadzabe

    Njitapu: Nilicheza mpira kwa ajili ya maisha yangu, hata mlinzi wa getini hajawahi kula chakula changu

    Waafrika kwa kuomba omba tumekubuhu. Njitap ni mfano wa Kuigwa
  2. Mhadzabe

    Njitapu: Nilicheza mpira kwa ajili ya maisha yangu, hata mlinzi wa getini hajawahi kula chakula changu

    Shikamoo Njitap. Nimekuelewa Njitap Unamawazo ya Kitajiri Njitap Wewe ni wa Kuigwa Njitap Kila mtu apambane na hali yake Njitap Hatuwezi kununua Huruma Njitap Haiwezekani ulee watoto mapacha ambao mkeo alikucheat Njitap Katika kikao chet cha Wanaume wakweli utakuwa mwenyekiti Njitap Kula Maisha...
  3. Mhadzabe

    Tanzania tuna walimu wa kufundisha Kifaransa, Kiarabu na Kichina? Walisomea wapi haya masomo?

    Tusiwe ma laggard katika kuyapokea mabadiliko, ingawa kwa wapokeaji wa mwisho huwa wanaona yanatisha! Tujipe muda. Hakuna lisilowezekana katika tahasusi zilizoanishwa katika mtaala mpya.
  4. Mhadzabe

    JamiiForums Usiku wa manane

    Saa tisa na dakika nne ..usiku wa Manane
  5. Mhadzabe

    Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

    Je chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro, wanachuo wanaruhusiwa kuvaa sketi fupi?
  6. Mhadzabe

    Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

    Na anapo floppy akatwe?
  7. Mhadzabe

    Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

    Hebu usituvuruge na usimvuruge Mudah...mlianza hivi hivi kwa FEI Toto!
  8. Mhadzabe

    JamiiForums Usiku wa manane

    0407 HRS
  9. Mhadzabe

    Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

    Unadhani nimeiongelea jamii yako? Miaka 10 unadhangaa?...kwamba mwanaume mwenye 45 years ni maajabu kumuoa mwanamke mwenye miaka 35? Embeza, watu wanaoa wamewaacha wenzi wao miaka 20 mkuu wangu
  10. Mhadzabe

    Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

    Usahihi wa kufunga ndoa, unajengwa katika msingi mkuu wa UPENDO (kupendana) na umri unaokubalika katika jamii wa kuoa ama kuolewa. Hata kama amekuzidi miaka 30 as long as Mnapendana OANENI
  11. Mhadzabe

    JamiiForums Usiku wa manane

    Haya Mlinzi Mkuu nimeshika doria
  12. Mhadzabe

    Taifa langu Tukufu Tanzania

    HAKI HUINUA TAIFA
  13. Mhadzabe

    Mamlaka zinatuficha kuhusu aliens kwa kuhofia tunaweza kuwa empowered na aliens tukazidi nguvu mamlaka

    Kwamba hao Aliens wanatembelea anga la Marekani tu, na Marekani inaweza kudhibiti dunia nzima kuzuia hao UFO kuwa na direct contact na binadam inatoweza sababisha tusinunue silaha na madawa toka Marekani? Unaweza ukawa na shauku ya kuelezea jambo unalopenda lakini usiwe na ufahamu sahihi na...
  14. Mhadzabe

    Hivi ZBC wanapiga nyimbo za Gospel

    Yani Zanzibar ni Saudia 🇸🇦 ya chini chini. Kwa nini wasiseme kwenye katiba yao kwamba Zanzibar ni Nchi ya Kiislam, inayofata misingi ya dini hiyo?
  15. Mhadzabe

    CCM huwezi kumualika tu Kiongozi kwenye mahojiano ya TV au Radio, uko Utaratibu wa kiofisi. Chadema bado wako kizamani unapokea Mwaliko hata bar!

    Kwamba kila afanyacho Sisiemu ni kizuri hata vyama vingine viige? Kwamba kwa kuwa hata tabia ya kuwa Chawa na kumsifia Mwenyekiti wa chama ni jambo zuri hao Chadema waige?
  16. Mhadzabe

    Kijana unayejitambua kama una 1.5M fanya hii kitu utakuja kunishukuru

    Andiko zuri, limekosa kusema ukweli wa changamoto dhahiri na za kiuhalisia shambani! • Gharama halisi za usimamizi • Upatikanaji wa nguvu kazi (iwapo msimu wa nyuma hali ya chakula iikuwa nzuri na mvua nyingi kupita kiasi) • Sema hali halisi ya bei ya mazao baada ya kuvunwa, usafirishaji wake...
  17. Mhadzabe

    CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

    Kwa nini CHADEMA imjibu Mjinga?
  18. Mhadzabe

    CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

    Kawatoa tayari. Si umemuona Leo katika press yake!? CHADEMA wakubali wamekosea Kumjibu
Back
Top Bottom