Search results

  1. Alwatan

    Yote Tisa:Kumi, Ni Ushindi wa Fikra Zenye Nguvu Dhidi ya Fikra Dhaifu

    Mkuu mi naungana nawewe, hapa UKAWA wamepigwa goli la kisigino halafu wao wanashangilia na mimeno nje kuwa wameshinda. Katiba mpya HAIKUWA kwenye ilani ya CCM. Na mara tu baada ya uchaguzi wa 2010 wakati vuguvugu la kudai katiba mpya likipamba moto bungeni, Mwanasheria Mkuu, Pamoja na Waziri wa...
  2. Alwatan

    Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    Sugu ameingizwa choo cha kike kichwa kichwa.... Eti mtetezi wa wasanii, hapohapo anatumika kummaliza mtetezi wa vitendo wa wasanii. Bahati mbaya sana, Sugu haelewi hizi concepts kama conflict of interest sio blanket concepts,...na Zitto analijua hilo ndio maana ameruhusu CAG afanye uchunguzi...
  3. Alwatan

    Msaada wa haraka

    Nadhani unamaanisha "caveat" au zuio la kisheria. Hiyo nyumba kama ina hati. Hiyo hati iwekewe "caveat". Kwa kufanya hivyo biashara hapo itasimama mpaka hilo zuio litakapo pata ufumbuzi.
  4. Alwatan

    Live on TBC1: Kongamano la Vyuo Vikuu kuhusu Muungano

    Mimi binafsi sioni Tatizo kwenye hoja za Prof. Shivji. Ukiwa kaka mkubwa hutakiwi kulilia pipi Sawa na wadogo zako. Tanganyika ni Sawa na kaka mkubwa, Kama ilivyokua England kwenye United Kingdom. vinchi vidogo vote kwa kuogopa kumezwa na England, walipigania devolution, na kupewa Mabunge...
  5. Alwatan

    Hivi Dola inakuwa na rais?

    Mimi binafsi sioni Tatizo kwenye hoja za Prof. Shivji. Ukiwa kaka mkubwa hutakiwi kulilia pipi Sawa na wadogo zako. Tanganyika ni Sawa na kaka mkubwa, Kama ilivyokua England kwenye United Kingdom. vinchi vidogo vote kwa kuogopa kumezwa na England, walipigania devolution, na kupewa Mabunge...
  6. Alwatan

    LIberal Democrats wamsimamisha Mbunge leo ! Ni kwa utovu wa nidhamu....

    Usimamizi wa nidhamu na maadili inapendeza zaidi unapokua hauchagui sura ya mkosaji.
  7. Alwatan

    Kwa CV hii ya Waziri wa Fedha- Tutegemee Kuporomoka zaidi kwa Uchumi Wetu

    Mkuu nakubaliana nawewe asilimia 100%. Kuna baadhi ya watu hawajui kwamba pale hazina kuna Phd's za kutosha tu za kufanya hayo maprojectios magumu ya ajabu. Waziri anahitaji uelewa wa kawaida juu ya hiyo wizara ili mambo yaende. Wenzetu South Africa ambayo ni nchi yenye uchumi imara kiasi cha...
  8. Alwatan

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Musipotoshe kwa kumsingizia Mwalimu Nyerere uimla wa Mzee Mtei. Mwalimu aliweka options on the table. Either fulani apewe nchi au yeye ajitoe uanachama wa CCM. Mwalimu hakuwahi kufanya CCM kama mali yake binafsi. Huyu mzee ameteleza.
  9. Alwatan

    Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

    http://www.telegraph.co.uk/news/worldnews/africaandindianocean/democraticrepublicofcongo/10417909/DR-Congo-M23-rebels-close-to-defeat-after-US-and-Britain-urge-Rwanda-to-stay-out.html Patamu hapo... sasa sijui author wa hii article ataitwa "Interahamwe" and "Genocider"... Naona na bwana mdogo...
  10. Alwatan

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Watu hawajui kuwa hawa Al shabab ni magaidi waliobobea na si kila mfanya mazoezi porini ni Alshabab. Mungu atuepushe na vita ya hawa jamaa. Mtiti wao tutapeleka jeshi zima kama walivyofanya Westgate Kenya. Navy Seals ni highest grade ya makomandoo wa US na wenyewe waligeuza kwa moto...
  11. Alwatan

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Mkuu Le Mutuz. Hoja yako imepotezwa na lugha ya dharau, kashfa na chuki iliyo dhahiri kwa uislam kwa kupitia Sheikh Ponda kama scapegoat. Kama ungekua umemfatilia Ponda kwa kipindi kirefu kama unavyojaribu kujipa hiyo sifa basi ni dhahiri ungejua anachosimamia na nani ndiye mkorofi kati ya...
  12. Alwatan

    Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

    http://www.inyenyerinews.org/politiki/letter-from-the-north-paul-kagame-treated-for-bipolar-disorder/ Huyu jamaa PK sio mzima. Ana "grandiose delusions" sababu ya huo ugonjwa wake wa bipolar disorder... No wonder anajiona kama Superman flani.
  13. Alwatan

    Hotuba ya Rais Kikwete Mwisho wa Mwezi Julai: Amjibu Kagame!

    Naona its high time serikali ya JMT imwambie categorically Paul Kageme kwamba. Should anything happen to harm the President of Tanzania, it will equate to an automatic Declaration of War and that TPDF will launch a full assault on Kigali. Unless a clarify the statement ya I WILL HIT YOU...
  14. Alwatan

    Rais Kikwete: Nchi iko salama, atakaye jaribu atakiona cha mtema kuni

    Kwa hiyo wewe ulitaka Rais Kagame aendelee tu kutukana nchi yetu bila kujibiwa kwa kuhofia malawi na kenya. Hii akili ya wapi? Kijana kumbuka Rais ni taasisi na symbol muhimu ya nchi. Urais sio necessarily JMK. Haiwezekani mtu wa nje akawa anaikejeli taasisi nyeti kila siku bila kujibiwa kwa...
  15. Alwatan

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Waache waendelee zao. Kwanza hatuna ulazima wa kuwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kagame na Museveni. Sasa JK anatakiwa afanye mkutano wa haraka na Congo DRC, Burundi na Tanzania ili kuanzisha Trans Africa Alliance ya kuanzia Atlantic Ocean to Indian Ocean. Congo DRC na Tanzania zinaweza...
  16. Alwatan

    Dr Dau, NSSF, madaktari bingwa wa moyo Muhimbili-"hongereni" kwa kifo cha DR MASAU

    Nchi ya ajabu sana hii, kila kitu tunafanya Siasa. No wonder Mwalimu Nyerere aliweza kuanzisha viwanda na mashirika ya umma zaidi ya 400 lakini yote yalifilisika baada ya miaka 10- 15. Sababu kuu ni kuendesha mambo kisiasa(Ujamaa). Hapo ingekua Jamani tumuache akae bila kulipa ni mtanzania...
  17. Alwatan

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Habari ya kustua na natoa pole kwa wote walioathirika. Lakini kuna haja ya wote kwa pamoja kuwa very careful na kutoanza kupoint any fingers. Hilo la watu kufika kanisani, wakiwa wamevalia KANZU, to me reads like a "false flag" operation. Mara zote gaidi hujaribu kujidisguise na kujichanganya na...
  18. Alwatan

    Mkutano wa Rais Kikwete na Uhuru Kenyatta kuibua mgogoro wa kidiplomasia?

    Hongera sana rais Kikwete kwa kusoma alama za nyakati. Sera yetu ni kutofungamana na upande wowote. Watu wanaojitambua wote wanafahamu fika kuwa ICC ni chombo cha kibeberu chenye lengo la kudhalilisha waafrika na former communist nations. Kama kweli ICC ni chombo huru basi leo hii tungeshasikia...
  19. Alwatan

    Kikwete kawa muumini wa historia mpya Tanganyika?

    Kuhusu amani hakuna alichosema rais Kikwete ni uongo. Kwani kabla ya Nyerere kulikua na vita vya ukabila au vya kidini wapi nchi hii. Kikwete alichosema in plain language ni kuwa tudumishe amani iliyodumishwa toka enzi za mababu zetu. Sasa kuna watu wana ulevi wa unyerere wakiona statement...
  20. Alwatan

    TANROADS/Magufuli acheni 'usanii' huu kwa watanzania!

    Kwani hizo barabara za Mpanda na Rukwa kwa ujumla zikijengwa kuna ubaya gani au tunataka tuendelee na kujenga barabara za Moshi, Arusha na Dar es salaam mpaka za vichochoroni ndio tuone serikali inajali. Hata wananchi wa Sumbawanga nao wana haki kama mwananchi wa Oysterbay, au Ubungo au Marangu...
Back
Top Bottom