Search results

  1. Buchanan

    Serikali yatoa ajira kwa walimu 2160 wa shule za sekondari

    Wale ni Wakristo![emoji15] [emoji15] [emoji15] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Buchanan

    Swali kwa serikali ya awamu ya tano, Je ni nani anapindisha takwimu?

    Mbona hakuna data zilizopindishwa! Unaweza ukawa na TSh milioni moja mkononi halafu kuna mtu akakuomba Sh 100,000/- za mkopo ukwamwambia sina wakati anaziona! Issue ni kwamba hizo hela labda umezipangia majukumu tayari na haibaki hata senti ndio maana ukasema simply "sina!" Kwa kirefu ungesema...
  3. Buchanan

    Bashe: Ukiteuliwa kuwa Waziri/Naibu Waziri utakubali?. Na je, utaendelea kuikosoa serikali?

    Doctrine of Collective Responsibility inamtaka Waziri kutokuikosoa Serikali hadharani! Ndio maana hakuna Mbunge ambaye pia ni Waziri hawaulizi maswali Bungeni, kama ana swali atampa Mbunge mwingine aulize hilo swali! Sasa ukimuuliza Bashe kama ataikosoa Serikali au la ni kama kumuuliza mtu...
  4. Buchanan

    UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

    Ukiona Shetani anakupiga vita ujue uko sahihi, kaza mwendo! Ukiona Shetani anakuchekea ujiulize umekosea wapi! Pia ukiona UN na US wanakupiga vita ujue uko sahihi, kaza mwendo! Ukiona hao watu wanakusifia ujue kuna mahali umekosea, tafuta hilo kosa jirekebishe, songa mbele! Walianza na...
  5. Buchanan

    Prof Kabudi: Wanasheria wote waajiriwa wa serikali kuwa chini ya Mwanasheria Mkuu ( AG)

    Ukiona hata CJ anapewa maagizo na Mtu wa Mhimili mwingine ujue ni shida! Pia ni kama vile kila Taasisi inatakiwa ipokee maagizo toka kwa Bw Mkubwa tu!
  6. Buchanan

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Ukimtaja Okello utaharibu ladha nzima ya Mapinduzi kwa kuwa itaonekana ni uvamizi toka nje ya nchi badala ya Mapinduzi ya Wazanzibari!
  7. Buchanan

    Kiongozi anapolalamika kuwa haeleweki!

    Mkuu amedai kuwa anaowateua hawajamwelewa bado! Sijajua kama amejiuliza kuwa kwa nini mpaka sasa hajaeleweka! Kama bado ngoja nimweleweshe: 1. Kutokutabirika. Mpaka sasa Mkuu hajatabirika. Amedai kuwa anatumbua wa vyeti feki lakini bado wengine, akina Bashite amewaacha kwa very simple reason...
  8. Buchanan

    :

    Mods: Wekeni title: "Wakimbizi wa Kiyahudi vs Wakimbizi wa Kipalestina!"
  9. Buchanan

    :

    Mwaka 1948 Wapalestina baada ya vita ya kujaribu kuiangamiza Israel, Wakimbizi 850,000 wa Kiyahudi walikimbia kwenda katika nchi za Morocco, Algeria, Tunisia, Libya, Egypt, Yemen, Syria, Lebanon, Iraq, Turkey. Wengi walihama baadaye kwenda Israeli na nchi nyingine za Ulaya na Marekani. Kwa nini...
  10. Buchanan

    Uhalali wa Marekani juu ya maamuzi ya Dunia ni upi?

    Mbona hujauliza uhalali wa Tanzania kupiga kura UN in favour ya Palestina? Huo uhalali unatoka wapi? Kila nchi inayo haki ya ku-express kile inachokiamini, whether kitafurahisha wengine au la! Hata wewe nyumbani kwako unaweza kufanya kisichowafurahisha wengine ili mradi unaamini ni kwa maslahi...
  11. Buchanan

    Wanaotaka Magu alegeze vyuma vimekaza wanaelewa wanataka nini?

    TBC LIVE ni kuonesha mikutano ya kwake na Chama chake, nafikri hayo ni matumizi mazuri ya rasilimali!
  12. Buchanan

    Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Kama ni mzalendo aheshimu Katiba iliyomweka madarakani na aliyoapa kuilinda na kuitetea!
  13. Buchanan

    The Jerusalem Embassy Act, 1995!

    Nchi ipi hiyo?
  14. Buchanan

    The Jerusalem Embassy Act, 1995!

    The act asserted that every country has a right to designate the capital of its choice, and that Israel has designated Jerusalem. The act notes that "the city of Jerusalem is the seat of Israel's President, Parliament, and Supreme Court, and the site of numerous government ministries and social...
  15. Buchanan

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    __________________________
  16. Buchanan

    Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

    Mathayo 28 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Back
Top Bottom