Search results

  1. B

    Ndege ya Jeshi yaanguka na kuwaka moto uwanja wa ndege Mwanza, rubani anusurika!

    aisee jamani mbona imekuwa ka fasion? hasa nini chanzo!
  2. B

    Hivi mpenzi wako mlioachana anaweza kukuachia laana?

    nilikuwa na mpenzi wangu miaka mi3 na nilimpata akiwa katika mazingira hafifu bt nikakaa nae nikamuimpower kwa kumtafutia kazi akaanza kazi private sector kafanya lakini ilipofika tarehe 22 mwezi wa tano 2014 kaanza vitimbwi. sikujali saana cozi nilikuwa nampenda sana, nilimkanya kwa niliyokuwa...
  3. B

    Hivi mpenzi wako mlioachana anaweza kukuachia laana?

    ................yawezekana kuachiwa laana japo maneno hayaumbi bt ni rahisi ka' umemuacha katika mazingira ambayo sio mazuri..........................
  4. B

    TCU application 2014/2015

    mi naomba kuuliza, nilimaliza f'6 mwaka juzi kampala Uganda bt nataka kuapply maombi ya mikopo 2014/2015 je nami mwisho wa maombi itakuwa tr 30 juni au august? naomba mnisaidi.............na fomu ya mkopo kwenye internet ntaipataje? il niweze kupata mwongozo.
  5. B

    Mh lema amefungiwa miaka 5 kushiriki uchaguzi wowote?frm mwananchi news paper

    kama hukumu ya m2 aliyefanya kampein mapema adhabu yake ni kufungiwa ka g.lema, basi wagombea zaidi ya 90 asilimia nao wafungiwe make 2nawaonaga.............................
  6. B

    Rasimu ya katiba na bunge maalum la katiba

    kwa kweli hilo la kutaka wajumbe walipwe maslai makubwa mimi binafsi cjaliafiki kabisaaaaa.....! kwani wamelazimishwa kuingia? ambae anaona hawezi c atoke? mi naishangaa xana selikari 2lionayo....hv mbona haisikii kilio cha wa2 wengine? eti mwana jamii mwenzangu ebu nawe jiulize.
  7. B

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Wachangiaji woote! Wanapiga vijembe, hvi mda huu wataufidia vipi? Na cjui naibu spika hasikii? Maana wanaeneza chama kama waziri wa ujenzi. Mi nimeacha kuangalia vijembe
  8. B

    Wazo la leo wakuu!!!

    Hata uwe mtaalam wa kuanika, huwez anika dagaa kwenye kamba ya nguo
Back
Top Bottom