Search results

  1. Kiahjr

    Kulikoni South Africa, hizo fujo hadi lini?

    Machafuko bado yanaendelea huko South Africa hususani maeneo ya Pretoria vijana wa kisouth wanajimobilize kutoka Mamilodi, Shoshanguve na maeneo mengine kuizunguka Pretoria kuandaa shambulio sunny side usiku wa leo. Hali si shwari kwa kweli.
  2. Kiahjr

    Yaliishia wapi mapambano dhidi ya mashoga?

    Habari waungwana, Nauliza tu yale mapambano ya Makonda kukomesha mashoga mjini Dar es Salaam yaliishia wapi kwani huku mtaani kwetu ni kero. Kila kukicha wanaongezeka tena bila uoga wowote. Hali hii inatishia usalama wa watoto wadogo ambao wanawaangalia kama mfano. Nawaza sijui tuchukue...
  3. Kiahjr

    Natafuta mahali pa kufanya internship

    Habari wakuu, Mimi ni graduate katika fani ya ugavi (procurement and logistics management), nlatafuta mahali pa kufanya internship ili niweze kuongeza ujuzi katika fani yangu. Nimemaliza chuo cha uhasibu Tanzania.
Back
Top Bottom