Search results

  1. C

    Illegitimacy ya Kauli ya Tundu Lissu: Hana uhalali wa kumtuhumu Baba wa Taifa

    It's true Nyerere alikuwa mkorofi kwa waliokuwa wanapinga au kupinga mawazo yake, it's true too kuwa wanasiasa wanauana...Karume inasemekana aliua , lakini pia naye aliuawa..Nyerere pamoja na ukorofi wake, lakini alikuwa ana-busara na hekima, vitu ambavyo Lissu hana. Lissu naona kama vile yeye...
  2. C

    Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

    Haya anayo ongea Lissu, kama angekuwa anaongea kama m-znz au kakodiwa na wa-znz ningemuelewa..unless his main aim is kuwajaza wa znz hasira za kujitoa katika muungano...otherwise he really needs medication at earliest possible time.
  3. C

    Miujiza ya serikali zetu

    Ndugu unaweza nipa mfano wa nchi ambazo zimeungana kwa aina ya mkataba mnaoutaka ili nipate picha kamili? Hapo mlipo hampo mbali sana na full sovereignity...imepungua wizara ya mambo nje tu.. na mnaweza ipata bila serikali 3..mkiungana wa-znz wote na hasa viongozi wenu, mkasema sasa basi, it's...
  4. C

    Miujiza ya serikali zetu

    Naomba ufafanuzi kwa mwenye kujua jinsi muundo wa serikali tatu utakavyokuwa ama utakavyo fanya kazi...maana nasikia watu wanaongelea idadi tu, sasa likipita hilo la serikali 3 ndo mtakuja na mabunge matatu au? na wabunge watanganyika nao watapewa mashangingi kama wale wa lamuungano au? na...
  5. C

    Dr. Slaa hawezi kuwa Rais-Tufikie hatua tuwe wakweli na wenye kuwaza kwa kina

    Ndugu yangu hapakuwa na ulazima wa kuanzisha hii topic, angalia hayo matusi...after all chance ya Dr. kupata urais ni zero , sababu zipo wazi, subiri 2015. Ila acha angalau asadie CCM wasilale....wamejisahau sanaaaaa.
  6. C

    Serikali yaomba msaada wa Treni zilizotumika (Chakavu) Uingereza kuboresha usafiri wa treni

    wakati mnafikiria hayo wakenya wana haya Kenya Airways Orders the 787-8 Dreamliner .. A ultra-Mordern Boeing Aircraft... Kenya airways has ordered 9 of Boeing's most modernized aircrafts, known as the dreamliner 787-8. Kenya Airways Orders the 787-8 Dreamliner .. A...
  7. C

    Wazanzibar muungano tutaununua...

    Sisi wa Tanganyika bwana, hivi tatizo lipo wapi kuwaacha wa Zj kujiendesha wenyewe? Wa-Zj wanaonesha wazi wazi hawatutaki lakini sisi tumeshupaa weeee na huu muungano...tunajidharirisha tu...tutengane tukiwa bado tunaheshimiana, usisubiri mpaka mtu akuwekee kinyesi mlangoni ndipo useme sasa...
  8. C

    Sitta awafungulia mashtaka Lowassa, Rostam CCM

    Katika mazungumzo yake hayo na gazeti hili, Sitta alitamka kwamba ingawa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na Rostam Aziz, Mbunge wa zamani wa Igunga na mfanyabiashara tajiri, ndiyo aliowataja kwa tuhuma za ufisadi, anafahamu pia mafisadi wengine walio ndani ya CCM lakini ameamua tu...
  9. C

    Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Most of Tanzania's Institutions are lead by walkers (misukule)...From Bandari, Railway, Tanesco, Air Tz.... Hata hao wanaotukimbia sasa, nadhani ama walikuwa wavumilivu kuliko kawaida or hawakuwa na alternative. Ile siyo bandari bali genge la mafya......kama ulishawahi pitisha mzigo pale, huwezi...
  10. C

    UPDATE: Uthibitisho wa CHADEMA kumiliki DVR mbili zilizorekodi mkutano huu hapa.

    Siwaelewi CDM na CCM, yanii watu wamepoteza maisha na wengine wameumia vibaya...Lakini inaonekana watu wanalitumia kupata umaarufu kisiasa. Kuna maswali najiuliza sipati majibu... 1. Kama kuna Mtu alitaka kumuua Mbowe kwanini asubiri hadi mkutano mbao tena unamkusanyiko wa watoto na watu wenye...
  11. C

    Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

    Jina hali confirm kuwa ni mkristo...pia inawekana katoa jina la uongo bado hakuna vitambulisho vya uraia tuvute subira... Mkuu wa mkoa Arusha, mkuu wa polisi, mbunge n.k nadhani kama siyo wote niwakristo basi wengi wao wakristo... Hata kama aliyelipua ni muislam, what if he did alone...
  12. C

    Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

    Hii nchi bana, tuseme Prof. akikubari kujitoa and katiba ikagomewa hela yetu sisi walalahoi iliyokwishatumia ndo imekula kwetu hivi hivi tu? hivi hao jamaa zetu wanaojinadi kwenye majukwaa siku zote kuwa wanauchungu na nchi hii, wanatumbia ukweli au ndio ule mwendelezo wa danganya toto? kwanini...
  13. C

    Hofu yatanda ujenzi wa bandari Bagamoyo

    Acha watujengee bandari bana, hiyi ya Dar kwanza port charge zao zipo juu, wanatuibia mizigo yetu, unapewa only 7 days, after that wanaku charge mahela kibao....kuiondoa bandari katikati nako kunapunguza usumbufu....watu wanataka bandari ijengwe Ntwara kwenye kona kabisa ya Tanzania?
  14. C

    Kuhusu China, Correct Me If Am Wrong

    1) Naona wachina wanapigwa madongo juu ya hii mikataba, kwani ni Tanzania au China ndio wameinitiate ujenzi wa hiyo bandari? 2) Wachina wanajua udhaifu wetu katika kusimamia miradi, wametupa TAZARA- imetushinda, Kiwira-imetushinda, Urafiki-imetushinda, Mang'ula machine tools-imetushinda, magari...
  15. C

    Zanzibar wana ZanID, kwanini wa-Tanganyika tusidai TanID??

    Tanganyika ndiyo Tanzania bara na Tanzania bara ndiyo Tanganyika....Hapa tulibadiri Label tu, Chupa na mvinyo ni vile vile. Rais Mtanganyika, waziri mkuu Mtanganyika, Speaker Mtanganyika, wakuu wa majeshi na Polisi Watanganyika, Gavana wa bank,wizara karibu zote zinaongozwa na...
  16. C

    Mnyika kaleta maendeleo Ubungo?

    Mtu katoa hoja ama swali la msingi, watu badala ya kujibu mkielezea mafanikio ya mbunge wenu mnarusha mawe, ndiyo yale ya CCM!!!! ukihoji jambo basi unatumiwa na wapinzani. Hivi nyie wanasiasa kulikoni? So Kikwete naye akiulizwa kuhusu mafanikio yake ajibu Mugabe kafanya nini.....Tunataka...
  17. C

    Sakata la Gesi: Tuiangalie kusini kwa jicho la tatu, tuache siasa!

    Umeme ulianza zalishwa Mtera toka enzi za 47 lakini Mtera bado kijiji masikini hadi leo, hata vijiji jirani na Mtera havina umeme....So umeme kufuliwa Mtara will not necessary translate into maendeleo or ajira ya maana kama hakuna broad plan, strategy and will. Kwa maendeleo ya kweli tunakiwa...
  18. C

    Kitisho cha Dr. Slaa si zaidi ya Mrema - Kinana

    Kwa Tanzania , Smart leaders who can walk the talk and walk the walk are either not yet born or are still in kindergarten. There is a big gap between the required leader to move this country to the right direction and what we have. Kuna ambao wanavuma kisiasi unaweza fikiri wanafanya cha...
  19. C

    Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

    Hivi ni macho yangu au ndio Reli ilivyo, naona kama imetafunwa na kutu na imekaa mkao wa nyoka vile. Yaani kama ilifuliwa kwa nyundo hivi.
  20. C

    Wapigania uhuru wa Zanzibar waungwe mkono!

    approach wanayoitumia wazenji kutaka kuchomoka kwenye muungano haitofautiani sana naya mke anayedai taraka. tena taraka rejea...hujaolewa unasubiri kibari cha nani kufanya mambo kivyako? Kutuchanganya zaidi wapo wanaotaka serikali tatu na wapo wa zenji wanaosema hiyo siyo sera ya CCM so...
Back
Top Bottom