Search results

  1. A

    Mabadiliko ya vocha yaendane na uhitaji

    Kutokana na uanzishwaji wa VAT katika muda wa maongezi, imekuwa hauna uwezo tena wa kununua vocha na kuweza kujiunga moja kwa moja vifurushi vya mitandao. Mfano ukinunua vocha ya 500 ukiingiza inakatwa, hivyo haiwi 500 tena wakati vifurushi vya mitandao bado vipo vilevile 500, 1000 nakadharika...
  2. A

    Serikali: Magari chini ya mwaka 2010 yasiingizwe nchini

    Waziri mkuu amesema magari yaliotengenezwa chini ya mwaka 2010 yasiingizwe nchini, naona tunakoelekea kumiliki gari itakuwa ujipange haswa. Na biashara ya magari yaliondani ya nchi inaenda kukua kwa Kasi. ==================================== Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema magari...
  3. A

    Mapokezi ya Tanzania prisons huko Rukwa

    Hili ni fundisho kwa vitimu vidogo vidogo vinavyong'ang'ania Dar wakati hawapati mashabiki kumbe wangejiongeza wakaenda huko mikoani wangepokelewa kama wafalme na wangepata mashabiki
  4. A

    Fahamu aina mbalimbali za magari

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikipitia katika jukwaa hili kama msomaji ila changamoto nilioiona wengi wamekuwa hawafahamu aina mbalimbali za model za mgari, mfano nimeona kuna uzi unauliza tofauti ya alphard V na G, ningependa kuchukua nafasi hii kunza na hii model ya alphard kutoka katika kampuni ya...
  5. A

    Kwa aneuza matairi ya gari dar

    Ninashida na matairi ya Goodyear (215/70/R16) Ningependa Lumia yanauzwa shilling ngapi na wapi kwa dar
  6. A

    Nahitaji kujua tairi nzuri

    Kama kuna wauza mataili humu naomba mnifahamishe makadirio ya bei ya tairi nzuri hasa nalenga goodyear na zinapopatikana kwa dar hasa size 215/70/R16
  7. A

    Ushuru wa Toyota alphard

    Wanadau nataka kuagiza gari aina ya Toyota alphard 2002, sasa kwenye mtandao wa tra ushuru ni kama 6.5m, je kwa wenye uzoefu wa kuagiza kutoka Japan je huu ushuru huwa unabaki hivyohivyo au unabadilikaga? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Kitu gani kinashindikana kwa wamiliki wa TV Tanzania kutengeneza Tanzanian mux

    Tumekuwa na channels nyingi ambazo zinapatikana free ila changamoto ni zimekuwa katika satellite tofauti tofauti mfano clouds TV 3e,clouds international 75e, tve 75e, wasafi tv78e, dira na star TV 46e, tv1 10e, ITV,eatv,capita na TBC 64e, na zingine. Lakini ukiangaria nchi nyingine wamekusanya...
  9. A

    Maoni yangu juu ya mgogoro wa mipaka kati ya mnada wa Pugu na kijiji cha Banguro

    Nianze kwa ufupi, mnamo tarehe 28/2/2018 waziri wa mifugo alifanya ziara katika mnada wa pugu na miongoni mwa mambo alioyaongelea ni pamoja na mgogoro wa mipaka kati ya wanakijiji cha banguro na eneo LA mnada wa pugu station, waziri alisema kuwa eneo la mdana ni hekari 190 ambapo katika eneo...
  10. A

    CCM yaamua kuwaadhibu wananchi wa Pugu Station kwa kuwachagua

    Niende moja kwa moja kwenye mada, usiku wa kuamkia leo waziri wa Mifugo mheshimiwa Luhaga Mpina aliamua kuja kuweka kambi eneo la kata ya Pugu Station akiwasubiri wananchi waamke ili awafikishie ujumbe wa shukrani kutoka kwa Serikali ya Chama cha Mapinduzi. Ikumbukwe kuwa katika jimbo la Ukonga...
  11. A

    USHAURI KWA TANAPA

    Tanapa wametangaza nafasi za kazi na kuwataka wenye vigezo waombe kupitia mtandao wao maalum, lakini hiyo system yao inamapungufu mengi eiza ya kiufundi au makusudi ili iwe kigezo cha watu Fulani kushinindwa mfano kuna sehemu wameweka vipengele vya kuchagua Ila ukibonyeza vipengele haviji, au...
  12. A

    Naomba kujua

    Wadau wale wenye uelewa na hili mnisaidie kufaham, hivi pale unapoachishwa kazi yale malipo anayotakiwa akulipe mwajili mwenyewe huwa yanakatwa kodi? Na je yale malipo ya Sikh huchukuliwa kutoka kwenye basic salary au gross salary?
  13. A

    Natafuta receiver mpya

    Natafuta receiver aina ya wiztech madel wiz9999 anaejua wapi ninaweza kupata kwa dar
  14. A

    Kuoa au kuolewa na mtu ambae wapenz wake wa awali unawajua na usiewajua ipi bora

    nipo upande wa kuwafaham kitu ambacho nimekuwa nakereka hasa tunapokutana nao nipe na experience ya upande wa pili ili niweze kuamua
  15. A

    Msaada kwa anaefaham

    Msaada kwa anaefaham kuhusu mgogoro wa ardhi wa makazi na mnada wa pugu eneo la pugu bangulu umeishia wapi?
  16. A

    Msaada natafuta duka linalouza receiver ya wiztech 9999

    nilienda kuulizia baadhi ya maduka kariakoo sikufanikiwa
  17. A

    natafuta receiver wiztech 9999 ninunue

    nimeenda kuulizia kwenye maduka kariakoo sikufanikiwa sasa anayejua ninapoweza kuipata
  18. A

    Msaada mana kuna trafiki kanichanganya

    nilipanda gari naenda iringa sasa tumefika hapa mikumi basi limeharibika tumeenda kwa trafiki hapa kituoni anasema ili turudishiwe nauli inabidi tusubiri masaa matano kama halijapona ndio turudishiwe nauli hv ni kweli kwa anaefaham
  19. A

    Tigo acheni wizi

    leo nilikuwa na stop watch nikagundua dakika zenu hazifiki
Back
Top Bottom