Search results

  1. A

    To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    Ina maana vijana watakao wanamfuata ni wahovyo tu? kutoa ushauri sio lazima kitu upitie je siku ukifuatwa na shoga linataka ushauri utashindwa lishauri kisa wewe hujapitia?
  2. A

    To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    Hivyo ujana ni kunywa pombe,kubeti,kuvuta sigara,kwenda club?
  3. A

    To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    Mkuu hii ni stage ya pili, stage inayofuata siku mtu ataandika mm ni mtoto wa kiume sijawahi ingiliwa the atazodolewa
  4. A

    Sababu ni nini kufa kwa matamasha makubwa ya Wasanii kama Fiesta?

    Kabisa, a good dancer know the time to leave the stage, wao wamechelewa na hakuna ubunifu
  5. A

    Majeshi ya Urusi yameukimbia mji wa KHERSON

    Trap hiyo ndio maana hata majeshi ya Ukraine yameogopa kuingia
  6. A

    Unajiepusha vipi na watu wanaopenda kufanya kila njia ili ujue maendeleo yao?

    Ninachokiona ni uelewa wenu mdogo, wenzetu wakikutana wanaongelea successful waliofikia na kama kunafursa wanayoweza kushare au kusaidiana Ili kusonga mbele zaidi, sasa nyie mnataka mkikutana story ziwe mihogo,utopolo mara jinsi la mgunda
  7. A

    Kinachoendelea hapa Dar es salaam sio mgao wa maji, ni kwamba Dawasa imeshakufa

    Tulieni tupo tunaangalia uwezekano na sisi kurusha satellite angani kama wenzetu
  8. A

    Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    Cha ajabu pamoja na kujua kwake kuogelewa kikiwa kama kigezo kilichomuwezesha kuogelewa, akimaliza mafunzo utasikia kapangiwa zimanoto singida au dodoma
  9. A

    Zilipendwa katika ujenzi

    Tulipofikia hata wakinawa mavi yapo pale pale mtu kabandika mikucha 3cm anachokinawa nini? Lipe kijiko tu hakuna linachokinawa mikucha Ina accumulation ya H. pylori wa week zaidi ya mbili yaani umpe sanitizer apake then aanze kufakamia
  10. A

    Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

    Sema tu huku Africa kwakuwa wazee hawana ramani Wala legacy yoyote, ila huko Asia mtu mzima usimsogelee hata kama Hana legacy ya pesa basi atakuwa na black belt,
  11. A

    Ninavyofahamu UDSM hawawezi kutoa PhD ya mchongo labda hivyo vyuo vya Kata!

    Kiufupi sisi hatuna uwezo wa kufundishana zaidi ya elimu ya degree moja basi, ndio maana ukichukua mwenye degree na mwenye zaidi ya degree huelewa haufanani, je ni research gani zenye tija zilizofanywa?
  12. A

    Nchi inaliwa jamani wanavuna bila huruma hii hapana kuweni na kiasi

    REPUBLICAN GARD imewaambia mwisho leo
  13. A

    Kipi kianze, kujenga nyumba au kununua gari la kutembelea?

    Ninachokiona mm umasikini ndio unasumbua wengi wanaoshabikia gari nikwasababu hawakuyakuta kwenye familia zao na walikuwa Kwa shida hivyo starehe walizotakiwa wazifanye wakiwa wanasoma huko za kubebea mademu,pombe wao wanawaza wakiwa wameanza maisha rasmi
  14. A

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nina mashaka na upeo wako, hivi unadhani nuclear bomb linahitaji accuracy? Hiyo 150m ni kubwa sana, tafuta radius effects ya bomb la nuclear ni umbali gani then uje ufute ulichoandika hapo
  15. A

    Ndoa matatani, mke kuhama bila mumewe kufahamu ni sawa?

    Kaa jichunguze utagundua ulijiingiza kwenye mgogoro wa kifamilia bila kujua, Hiyo familia ilishaparaganyika mkeo kabase Kwa mama ila Kwa fikra za mkeo anaona wewe upo na baba na hata hizo siku kadhaa mlizokaa wote isitoshe alikuona unaharakati nyingi kuhusu huyo Mzee kitu ambacho hakukipenda na...
  16. A

    Kufikia mwaka 2110 sisi wote hapa JF tutakuwa tumekufa

    Wekeza kwenye vitu vya maana utakumbukwa, mother alikuwa mgao wake wa Banda la Babu walilouza kkoo akatupatia na sisi in migao tukafanya mtaji kwanini Babu tusimkumbuke? Hadi mwanangu nimempa jina la Babu yake, maana bila Babu sijui ingekuwaje
  17. A

    Iran ni nchi ya maajabu sana

    Walibya walivyokuwa walipigana na gadafi je walikuwa wanataka nini au sasa ndio wapo pazuri hilo ni kundi dogo lisilojitambua
  18. A

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kabla hawajafanya hivyo Kombe lenyewe limeshapoteza mvuto
Back
Top Bottom