Search results

  1. Bambo

    Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Dawa inawaingia polepole sana.. Jpm ongeza kasi..
  2. Bambo

    Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Shame on you..mlitaka muendelee kula bila kunawa mpaka, lini!!?..Jpm ongeza kasi mpaka mtapike vyote.
  3. Bambo

    Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Duh sasa mnazidisha jamani..we unaweza kufanya lipi? Mlitaka muendelee kuumiza nchi kwa uchu wenu wa kukomba mboga..shame on you..Jpm adumu zaidi..
  4. Bambo

    TAFAKURI: Ni "Diaspora" Gani Serikali ya Magufuli Inawataka na Kuwapenda?

    Umeanza vizuri ila umemaliza kihuni..suala la kuwa na pesa halihusiani na passport yako bali mikakati yako tu ikiwa sokoni
  5. Bambo

    UKUTA wakosa waandamanaji

    ...looh, bwana interested observer kwani usipo support upinzani unakuwa illiterate.
  6. Bambo

    Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

    kingereza kiko sawa tu..nyie ndo mnataka kingereza kiwe kama unavyotaka nyie! mbona anaeleweka vizuri!! jadilini swali alilouliza!! kama mwenye kuambiwa yupo ajipambanue! Watz bwana kama haelewi concept anakimbilia kukosoa kingereza!!!
  7. Bambo

    Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

    Haiwezekani apatie yote eti ila la utapeli sio!!! kama amepatia maana yake yote yako hivo labda wewe mwenyewe ndo hujui kama ni tapeli lakini wahanga wako wangekuwa wanasoma hapa wangekubaini!!
  8. Bambo

    Katiba: Hivi wewe ukiwa ni mbunge unaejua kusoma na kuandika tu utafanyaje hapa?

    hata mi ninao uelewa kiasi fulani lakini hapo sielewi chochote??Hao waongoza semina watakuwa na wao hawajaelimika kama wataleta hii kitu kama ilivyo bila kujali wahudhuriaji! kwani hayo maneno uliyoandika ni kiwakilishi tu cha aina fulani ya kitu kwann wasikijadili hicho kitu kwa lugha rahisi...
  9. Bambo

    Precision inauza ndege zake tano kati ya tisa, watanzania jitokezeni

    Tanzania bwana ..kumbe wezi wote tunawajua lakini tunawaacha tu!!!na watoto wao waje waibe tena.
  10. Bambo

    Lemutuz na instagram

    mama Wema sepetu naye anajua kulea mume..kwikwikwi...kamlea mumewe miezi mitatu!!!!!!
  11. Bambo

    Prof. Mkumbo: Hakuna mwenye uwezo wa kushinda uchaguzi ndani ya CCM bila kugawa rushwa

    hiyo makala ya pili ya lowasa mbona imehujumiwa kwenye mitandao haipo!! kama kuna msaada tafadhali!
  12. Bambo

    Nataka kuzamia nje ya nchi, nishaurini wakuu niende nchi ipi?

    Du WATZ wana mambo..mtu kaomba ushauri lakini katika kurasa 9 nimeweza kuona washauri kama 3 tu ndo wanaoelewa wanachosema..wengine mmmh. maadam ana mtandao basi ni kuweka neno lolote..hiyo ndo sababu inayomfanya huyu msomi afikirie kuhama nchi yake..kwa sababu tanzania kuna watu wengi sana...
  13. Bambo

    Vicky Kamata Adakwa na Polisi

    sio wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa, wengine wacha natural process ziwamalize kwa style hiyo. mwana siasa anayejua malengo yake hawezi ku-indulge upuuzi huu.
  14. Bambo

    Mwenyekiti wa CCM USA afungwa kwa wizi wa 1.5 billion

    baki hivyo hovyo mwanawane. utangurumisha mitusi wakati huko USA unajiita mtanzania na hujui nani amelipigania jina hilo mpaka ukalikuta.
  15. Bambo

    Mwenyekiti wa CCM USA afungwa kwa wizi wa 1.5 billion

    wasiwasi wangu ni kuwa kuna agenda nyingine ya siri kuliko kuundwa kwa tawi la ccm hapo DMV,Huyo mtu kachaguliwa kwenye hicho chama juzi na huo wizi ni wa miaka karibu 7 iliyopita kama sikosei! kwann hamkukemea wakati huo! na sioni connection ya wizi wake na matawi ya ccm ughaibuni mpaka utoke...
  16. Bambo

    Mwenyekiti wa CCM USA afungwa kwa wizi wa 1.5 billion

    Ya chenge ni issue nyingine tofauti!! kwangu mm mtu yeyote aliyeibia jamhuri ya muungano wa TZ ni kosa la jinai. Namlaani chenge na genge lao lote na mungu atawaadhibu zaidi. na hayo ndo mambo ya kuongelea na sio mtanzania ameibia bank US. hilo alinihusu kwa sababu misingi ya mabenki hayo ni ya...
  17. Bambo

    Mwenyekiti wa CCM USA afungwa kwa wizi wa 1.5 billion

    kakojoe ulale nimekuelewa
  18. Bambo

    Mwenyekiti wa CCM USA afungwa kwa wizi wa 1.5 billion

    Yaani maisha duniani yangekuwa kama mnavyotaka nyinyi basi duniani pangekuwa mahala DULL sana. hivyo ukiona wengine wanafanya mambo tofauti na wewe unatakiwa ujifunze na sio kuponda hisia za wengine. Maadam we huna uwezo wa kuzuia matawi kufunguliwa hapo DMV hiyo pia ni sababu tosha ya wewe...
  19. Bambo

    Mwenyekiti wa CCM USA afungwa kwa wizi wa 1.5 billion

    Watz bwana acheni wivu wenzenu wanakuja huku hata hiyo tax hawalipi!! eti we unajidai waende ndani for a considerable amount of time...we fanya unachoweza waache wenzio wafanye wanayoweza hakuna rule iliyo sahihi katika dunia hii inategemea we umesimamia upande upi!!!!
Back
Top Bottom