Search results

  1. L

    The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Great work ..... @ Habibu B. Anga
  2. L

    Pozi la mpiga picha, mmeliona?

    Ndii yeye .... Novatus Makunga. Hapo ni kabla hajateuliwa na JK enzi hizo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai ....
  3. L

    Nataka nifuge Kuroiler niwauze Chrismass

    Ni aina ya Kuku hio.......
  4. L

    Chidi Benzi huyo

    Chid Benz alishatangaza kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya toka mwaka jana mwezi wa nane.....! Hio picha sijui ni ya lini......?
  5. L

    Wanachuo wa St. Joseph Arusha wafunga barabara

    Polisi wamefika muda mfupi uliopita na kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya wanachuo hao. Hali ya utulivu imeanza kurejea.
  6. L

    Tanzania's Central Bank takes over FBME Bank Operations

    B.O.T wamerukaruka lakini wapi.... imebidi wakubali yaishe....! kila kitu siasa hapa bongo!
  7. L

    Kamanda: Mtunza nidhamu za wanafunzi wa Arusha

    Duuu! kweli umenikumbusha mbali....... Alishatufumania mto Naura tunavua samaki/vichwa runguu muda wa darasani tulijutaa.... maana tulikimbia kupitia police huko huko mtoni na kutokea Kaloleni. Bali tulimwachia vumbi....... Haaaaa Haaaa
  8. L

    Tabia mbaya mbele ya watoto

    Duuu huko watoto wadogo wa kike wanaandaliwa mapema...... maujuzi...... ***** Mila na Desturi hizi huku kwetu ni laana!
  9. L

    Mtoto wa mwezi mmoja (Denis) Auwawa kwenye ugomvi wa wazazi wake

    Hawa wanawake wakati mwingine hawafikirii..... Maana kwenye ugomvi kama huo wanajaribu/wanatumia watoto wadogo kama kinga.. na madhara yake ni hayo. Huyo mwanamke kalianzisha na hapo kabeba kichanga cha mwezi jamaa kakasirika ile kumpiga konde mkewe bahati mbaya likaangukia kwa mtoto Denis...
  10. L

    Ukipatia majina matano utakuwa ulikuwepo wakati huo

    Waandishi wa habari wakiwa na Mwalimu Nyerere....
  11. L

    Live TBC, Uzinduzi wa mbio za mwenge kitaifa mkoani Kagera, 2014

    Mwenge - Kwa sasa hakuna tena maana ya kukimbiza mwenge nchi nzima ni bora uwekwe kwenye makumbusho. Kwa sasa ni chombo cha kufuja pesa za walala hoi tuuu.....
  12. L

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Hii Taarifa ya kweli. Ethiopian Airline imetua kwa dharura Arusha Airport.
  13. L

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Mabina alishakua Jambazi,Mporaji, Muuaji katika ziwa Victoria kwa miaka 1989 na kuendelea. Nilishangaa alivyoibukia CCM. Hata police Mwanza na Mara wanamfahamu sana kwa matukio ya kihalifu huyu bwana. Kumbe bado alikua na roho ya uporaji na dhuluma!!!!!
  14. L

    Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Ndugu yangu folk nakuomba japo ufwate ushauri wa sokwe . Ni wa vipimo tuu then utajua nini kinakusibu. Hata kama utaendelea na ushauri mwingine uliopata kutoka kwa JF members lakini usiache ushauri wa vipimo kutoka kwa sokwe. Nakutakia kila la kheri, ufanikiwe.
  15. L

    Picha ya leo

    Ndutu Safari Lodge - Ngorongoro Just a nice place to stay .....
  16. L

    picha ya leo

    NICE Pic
  17. L

    Inawezekana kuwa ni kweli hebu toa maoni yako kuhusu hii picha?

    Labda hapo wapo PARADISO tayari........
Back
Top Bottom