Search results

  1. Kunta Kinte

    Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    ya kwake hatuyajui sababu hajayaweka wazi, ukiamua kufanya maisha yako ni sehemu ya jamii tuna haki ya kuyazungumzia-wacha isemwe wazi kwamba huyo zumbukuku hakuwa mfano sahihi ili vijana waliotamani aina ile ya maisha wajue hakuwa role model mzuri
  2. Kunta Kinte

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    wakenya wako vizuri sana, pamoja na baba kupewa kipaumbele na rais pamoja na state machinery zote lakini bado anapelekeshwa na hustler, hii safi sana wananchi ndio waamue kiongozi wanamtaka sio state machinery kujiwekea watu wawatakao wao!!
  3. Kunta Kinte

    Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    amka ukakojoe usiendekeze ndoto!!
  4. Kunta Kinte

    Hatimaye Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Halima Mdee

    yesu anakaa na mafedhuli?
  5. Kunta Kinte

    Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    KULA PALE TU UNAPOSIKIA NJAA, NA UKILA GAWA TUMBO SEHEMU TATU, 1/3 CHAKULA, 1/3 MAJI 1/3 HEWA UNENA UTAUONA KWA WENGINE TU!!!!
  6. Kunta Kinte

    Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!

    Pascal Mayalla, KWELI WAKINA DADA WANGEJUA MIKOROGO INAVYOWAHARIBU WANGEACHANA NAYO KABISA!!
  7. Kunta Kinte

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ceballos ni mpitaji tu acha tukuze vya kwetu badala ya kuwakuzia madrid Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kunta Kinte

    Finally: Nimeanza rasmi kilimo cha miti ya mbao Iringa

    Pale legend anaposema anajikongoja!![emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kunta Kinte

    TAHADHARI: Ni kosa (kwa mujibu wa maaskari) kukutwa umekaa bustanini Posta ya zamani..

    Ni kweli sheria hii iliwekwa na wakoloni ili kulazimisha watu wafanye kazi na kama usemavyo kazi zilikuwepo, hivi sasa kazi hazipo lakini sheria nayo bado ipo na kwa hivi sasa inatumiwa na jamaa zetu kujipatia kipato!
  10. Kunta Kinte

    TAHADHARI: Ni kosa (kwa mujibu wa maaskari) kukutwa umekaa bustanini Posta ya zamani..

    KUNA KOSA LA UZEMBE NA UZURURAJI, KINACHOTAKIWA NI WEWE KUTHIBITISHA SIO MZUMBE NA MZURURAJI!!
  11. Kunta Kinte

    Watanzania wauawa Somalia, yumo Mahad Nur wa City Mall

    UNA AKILI AMBAYO HAIJAI HATA KISODA!
  12. Kunta Kinte

    Bunge laazimia kutofanya kazi na CAG kufuatia kauli yake juu ya 'udhaifu wa Bunge'

    muhimu tujiulize kwenye hili nani muathirika? CAG keshafanya kazi yake na kaikabidhi kwa rais, katib a inamtaka rais awasilisha ripoti hiyo bungeni ikajadiliwe-je ataiwasilisha? asipowasilisha kavunja katiba. Akiiwasilisha bunge likakataa kifanyia kazi wamevunja katiba!! kwa suala hili...
  13. Kunta Kinte

    Lady Jay Dee aweka picha yake ya nusu uchi mtandaoni, naona sasa anaelekea kusiko! Mashabiki wamvaa

    KAFAIDI NINI SASA HAPO? LABDA KAMA ALIKUWA ANAINGIZA KWENYE HICHO KITOVU!!
  14. Kunta Kinte

    Ludovick Utoh: Spika Ndugai kumwita CAG Assad ni jambo jipya, halijawai kutokea toka nchi kupata uhuru

    NA WEWE NAWE UNATOLEWA KWENYE MADA KIRAHISI HIVI?! UNAVOONA HUYO ZEZETA ANAJUA LOLOTE KUHUSU UISLAM?
  15. Kunta Kinte

    Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Mi zezeta najua kuna cargo planes ambazo ndizo za kubeba mizigo na passanger planes za kubeba abiria. We mjuaji niambie kwa nini kuwe kuna hizo tofauti? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom