Inasikitisha sana, wiki iliyopita nilik
Wiki iliyopita nilikuwa wilaya za Kibondo na Kasulu nilishangaa kuona magari yenye namba za Rwanda, Kenya na Burundi kuwa vijijini kununua mazao ya chakula muhogo na maharage direct kutoka Kwa wakulima , kwa nini tunashindwa kulinda soko letu ?
Ndiyo pesa ziko nje mwacheni aende, si mnajua ndani hakuna kitu. Km nyumbani kwako wakati wa kilimo hulimi utavuna kweli? lazima utafute vibarua au msaada. Mama kaza mwendo tafuta hela.
Tunajua kwa nini TCRA wamemfungia: Pia na wao hawana makosa kwa sababu TCRA haiko huru ulitaka boss TCRA afanyeje amfungie Polepole au afukuzwe kazi? kwa kifupi tunahitaji katiba mpya ila kila taasisi iwajibike kwa wananchi badala ya kwa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala.
1. Lkn...
Mkweli ni Yupi kati ya hawa: Uwazi na ukweli, Maisha bora kwa kila MT, Hapa kazi tu, Kazi iendelee
Ni awamu gani Ilitafsili kauli mbiu kwa viendo tukianza na awamu ya 3?
Awamu ya tatu: Mzee Mkapa (R.I.P) Kaulimbiu : Uwazi na ukweli
Awamu ya Nne: Mzee Kikwete Kauli mbiu : Maisha bora kwa kila...
http://www.zanzinews.com/2013/03/mwenyekiti-jukwaa-la-wahariri.html
Mmiliki wa Home Shopping Centre amwagiwa tindikali usoni
LWAKATARE AACHIWA HURU NA KUKAMATWA PAPO HAPO
https://zittokabwe.wordpress.com/2012/06/27/dr-ulimboka-kutekwa-kupigwa-na-kuumizwa-serikali-inawajibika-kutueleza/...
Watu bwana, aliwaua akina nani? mbona watu walikuwa wanamwagiwa na kutolewa macho hata kabla ya JPM, hata sasa dola ipo ukifanya unataka kuwa juu ya usalama wa nchi utashughulikwa tu, kuna watu wanafikiri kuongoza nchi ni kitu chepesi. ukipewa onyo acha husikii, kila siku ukiamka unamtukana...
Kuna tofauti kati ya Rais Samia na awamu zilizopita, Rais Samia alikuwa msaidizi wa JPM, akitaka ku WIN ma group ndani ya CCM ni kukaa kimya na kufanya yake kwa kutumia taasisi za Urais
Umenena: Rais wetu amekosea kwa sababu inaonyesha hakuwa na boss wake JPM. Tunapozungumza ''COLLECTIVE DECISSION'' maamzi ya pamoja. Kiongozi mkubwa km Rais na Amir Jeshi mkuu kulalamika mbele ya hadhara ni makosa. Kama kuna kundi linataka kumuungusha si achukue hatua. Urais si lelemama, Hata km...
Well said, kwa kifupi kujikite kuunganisha miindo mbinu na jirani kwa kuiunganisha na reli ya SGR. mfano Rwanda, Burundi, Congo. Pia kuenga bandari kavu pale RUVU ili kupunguza msangamano wa mizigo bandarini hapo kazi kwisha Bagamoyo ni kutuongezea mzigo wa madeni usiyokuwa na tija. Rais...
Ndugu watanzania wenzangu urefu wa pwani kutoka Tanga mpaka Mtwara ni 591.12km, kutoka Tanga mpaka Dar es salaam ni 195.07 na Dar es salaam kwenda Mtwara 397.39 km.
Kwa kuwa umbali kutoka Tanga na Dar es salaam ni karibu sana yaani km 195.07, huku umbali wa kutoka Tanga mpaka Bagamoyo ni km...
Wewe mwenyewe inaonekana bado hunauelewa, huhui kazi za waziri na nafasi ya mwanafunzi, nikuulize maswali ukijibu then nitakupa majibu:
1. Je, waziri wa Elimu ni kazi yake kutengeneza ajira?
2. Unataka kunambia wanafunzi wanaomaliza vyuo wote ni vilaza hana weledi ya kufanya kazi katika fani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.