Search results

  1. V

    Tahadhari tohara kwa watoto wa kiume!!!!! ALIJUMAA KARIAKOO ni hatari

    WAnajamii forums, hasa wenye watoto wa kiume wanaopanga kuwatahiri..... Nina ushauri ufuatao...imekuwa kawaida ukimuuliza mtu sehemu ya kufanyia tohara wanakuonyesha Kariakoo kwa ALIJUMAA Kilichomtokea mwanangu aged nearlly 6yrs,wamemtahiri kwa kutumia kiring kidogo kuliko shafti ya mtoto na...
  2. V

    naombeni contacts za wachina wa aluminium

    msaada kwenye tuta wandugu! Nina haraka ya kufix alminium kwenye madirisha yangu....nimeambiwa kuna wachina wanapiga kazi balAa tena kwa bei rahisi...anybody with their contacts???
  3. V

    Salamu kwa PENGO, MALASUSA na mufti mkuu!!

    Matokeo ya Arumeru mashariki yamenipa raha sana,nawapa salamu zangu za dhati viongozi wa dini niliowataja hapo juu na wengine wanaofanana nao ya kwamba wananchi tukiamua kufanya kitu hawawezi kutuzuia. Wamekuwa msitari wa mbele kumsafisha Lowasa na maufisadi yake na kudhani wananchi wote...
  4. V

    Msaada kwenye tuta wanaJF

    natafuta video cd ya kujifunza ms excel?mwenye nayo msaada tafadhali au kama unamfahamu mtu mwenye nayo.nataka ya advanced learning siyo beginners.
  5. V

    Kwa mara nyingine serikali imenisikitisha sana!!

    Leo nadiriki kusema kusema Serikali ya CCM inadhulumu wananchi, YAmenikuta leo sina hamu na nina hasira mbaya sana. Leo majira ya saba nilikuwa nimepark pale TRA manzese kwa lengo la kulipia kodi ya mkataba wa pango. Hamadi watu wamenyanyua gari yangu na kwenda nayo maeneo ya Sinza....watu...
  6. V

    hata Dr Kadeghe wa UDSM jamani?

    S1475 PERFECT VISION SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 39 FLD = 97 imenisikitisha sana kuona hata wasomi tunaowategemea nao wanaanzisha shule na kutoza miada mikubwa mikubwa halafu hawalipi walimu vizuri na au wanatafuta walimu wasio na sifa na matokeo ndo haya...
  7. V

    wanted! TOYOTA VITZ

    kama kuna mtu anauza vitz milango mitano na ambayo iko ktk hali nzuri kwa bei ya around 5.5M aniPM tufanye biashara.
  8. V

    Noa inauzwa!

    Noa inauzwa... Make:1998 mileage:96,000KM fuel:Petrol colour:white transmission:AUTO year of importation: Nov 2011 with reg number T....BWA. other features:radio,tv,full kiyoyozi,new tyres(replaced). bei: 12.5M Tanzanian Shillings. if interested niPM tafadhali ;
  9. V

    Nauza kiwanja -1984sqM-Kimepimwa na kina hati safi inayolipiwa!

    Kipo Buyuni karibu na Chanika,unapita Pugu Secondary. barabara ni za uhakika zilichongwa na wizara wakati wa upimaji...sasa hivi kuna mradi mkubwa wa nyumba za PSPF kwenye maeneo haya unendelea. Bei ni Pesa halali ya KiTz Millioni TISA(9,000,000). kama uko interested niPM tufanye biashara.
  10. V

    Kiwanja cha mradi kinauzwa-Buyuni 2000sqm

    WanaJamvi, nauza kiwanja chenye ukubwa wa sqm 2000, kipo Buyuni eneo lililopimwa na wizara ya ardhi mwaka 2006/2007. kipo located sehemu nzuri sana as per the plan, kinalipiwa rent kila mwaka na kwa sasa kuna mradi mkubwa wa nyumba wa mfuko wa PPF unaendelea kwa kasi kubwa. Bei ni ya serikali...
  11. V

    Kigwangala na Jicho la Habari star tv!!!

    nimeangalia jicho la habari star tV leo asubuhi,nimesikitishwa na mwanaJF mmoja anaitwa Kigwangala(mbunge wa nzega) kuupotosha uma kwa makusudi kabisa. anaseme CHADEMA walisema wangeandika katiba mpya ndani ya siku 100.....na mbunge wa viti maalumu anaitwa BULAYA nae anaunga mkono kuwa ndivyo...
  12. V

    kwa nini wahanga wa gongolamboto wanafanywa ombaomba??!

    Inasikitisha sana kuona hawa ndugu zetu wamefanywa ombaomba na serikali yao!!hivi hatuna kikosi cha maafa cha majeshi yetu kuweza kuwasaidia hawa ndugu zetu??inatia hasira sana wandugu,watu wanachanga lkn ilibidi iwe nyongeza ya inachofanya serikali.cku ya 6 leo kuna watu hawajasaidiwa na...
  13. V

    Kauli hii ya JK itafanya kila kitu kipande BEI

    Bei ya Umeme Ndugu Wananchi; Natambua kuwepo kwa mazungumzo, katika jamii kuhusu uamuzi wa EWURA wa kukubali ombi la Shirika la Umeme (TANESCO) kuongeza bei ya umeme. Wakati mwingine mazungumzo yamekuwa na hisia kali na hata jazba kutawala. Wizara, TANESCO na EWURA wameeleza kwa ufasaha...
  14. V

    NAUZA KIWANJA KILICHOPIMWA HATI MKONONI 2000sqm-BUYUNI

    hello wanaJAMVI, nauza kiwanja kilichopimwa,kina hati na kinalipiwa kodi ya ardhi kama kawaida.kina advantage nyingine kwamba kipo mwishoni na kuna eneo ambalo halijapimwa na halina owner(linamilikiwa kwa kugawana na ownwer wa land ya upande wa pili),ni tambarare na maeneo haya yameanza...
  15. V

    Elections 2010 Musoma Mjini: CHADEMA yashinda kwa kishindo

    source star tv: ubunge:matokeo rasmi ni 21335 -chadema 14072-ccm udiwani kata8-chadema,ccm wamepata 3 na cuf 2. ....great!great! yametangazwa na msimamizi wa jimbo.
  16. V

    Elections 2010 CCM hadi kwenye maji?

    ktk pitapita yangu leo dsm nimeshangazwa kukuta mtu amebeba maji yenye nembo ya jembe na nyundo....kiukweli nimeshangazwa kwa kuwa mwenye kiwanda ameamua kujikomba na kutupilia mbali risk zinazoambana na kukampenia chama fulani wakati watu wengi tunakichukia chama hicho kuliko kawaida. kwa jinsi...
  17. V

    Elections 2010 Ungana nasi katika mabadiliko

    watu wakikupigia wasikie nyimbo za chadema kwenye simu yako fuatilia hapa 1. Tigo nenda kwenye sehemu ya kuandika sms andika 12608 au 12609 au 12610 tuma kwenda 15007 au 15050 2.voda nenda kwenye sehemu ya kuandika sms andika buy 771 au buy 772 tuma kwenda 15577 3.zain nenda kwenye sehemu...
  18. V

    Naombeni email address ya bwana NEHEMIA KYANDO MCHECHU nimpashe habari ya BOKO NHC

    kama kuna mambo magumu kuyameza hapa jijini basi ni hili la maji HAPA boko KWENYE Nyumba ZA mradi zilizojengwa na NHC kwa msaada wa mashirika ya kimataifa na kuziuza kwa wananchi kwa bei inayosadikika kuwa nafuu..... kwa ufupi ni kwamba: nyumba hizi zilijengwa kisasa sana na mpango ulikuwa...
  19. V

    msaada wa CUEBASE software

    hello naombeni msaada jamani....nina shida sana na software ya CUEBASE nataka kujifunza productions za mahubiri na nyimbo.
  20. V

    MAJI YANAUZWA TZS10,000/= kwa UNIT BOKO NATIONAL HOUSING!!-

    kama kuna mambo magumu kuyameza hapa jijini basi ni hili la maji HAPA boko KWENYE Nyumba ZA mradi zilizojengwa na NHC kwa msaada wa mashirika ya kimataifa na kuziuza kwa wananchi kwa bei inayosadikika kuwa nafuu..... kwa ufupi ni kwamba: nyumba hizi zilijengwa kisasa sana na mpango ulikuwa...
Back
Top Bottom