Search results

  1. Mshikawezi Mwizi

    Shirika la “One Acre Fund” na shughuli za kiutapeli kwa wakulima wadogowadogo, Singida

    Ninaandika haya kwa uchungu mkubwa nikiwa na ombi moja kuu kwa mamlaka zinazohusika kulichunguza kwa kina shirika hili, ili kubaini ukweli wa utapeli nitakaoufafanua hapa; kisha hatua husika ziweze kuchukuliwa kwa haraka. Shirika hili limekuwa likijifafanua kuwa limekuja kutusaidia sisi...
  2. Mshikawezi Mwizi

    Wanachama NSSF wakinukisha! Wafanyakazi watimua

    Utangulizi: Mkataba wangu wa kazi ulifikia ukomo tangu tarehe 31/12/2017. Sikuwa nimejiandaa sana juu ya ukomo wa kuendelea na kazi kwani kampuni niliyokuwa nikiifanyia kazi ilikuwa na utaratibu wa kutupatia mkataba wa muda wa mwaka mmoja na kila ulipoisha tulipewa mkataba mwingine, mwaka huo wa...
  3. Mshikawezi Mwizi

    Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Pengine hukumsikia Rais siku yenyewe, ni vizuri ukakaa kimya. Yote kwa yote kauli ya Rais inanitesa.
  4. Mshikawezi Mwizi

    Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Dah! Kauli ya Rais yaniua najitazama. Mungu akubaliki Rais kwa kunitesa.
  5. Mshikawezi Mwizi

    Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Asante kwa kunikosoa mimi na rais anayependa kusema "yeye ni rais wa wanyonge". Yote kwa yote kauli ya rais inanitesa.
  6. Mshikawezi Mwizi

    Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Rushwa ata sijui naitoa wapi niwapatie hawa watendaji wa rais wa wanyonge.
  7. Mshikawezi Mwizi

    Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Nateswa na kauli ya rais kwa sababu watendaji wa NSSF wanadai ilikuwa ni siasa tu za majukwaani wao hawatoi hela wala hawajaagizwa kutoa. Nadhani kuteswa na kauli ya rais ni sawasawa na kuteswa na rais, hivyo Rais ananitesa.
  8. Mshikawezi Mwizi

    Wabunge tusaidieni fao la kujitoa

    Ahadi na kauli za kisiasa zisizotekelezeka zitatuumiza wengi katika utawala huu.
  9. Mshikawezi Mwizi

    Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Hatuna shida au lawama na hapo zamani kwani wanyonge tulijaliwa kwa vitendo, ila sasa tunajaliwa kwa maneno.
  10. Mshikawezi Mwizi

    Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Unanishauri nifungue madai huku Tukuyu, hapohapo unaniakikishia kuwa siwezipata hayo mafao, huoni kuwa hata ningefungulia Tukuyu bado ningekuwa mteswaji wa kauli ya Rais? Asante kwa kutambua kuwa matamko ya jamaa ni ya kupayuka, hapa umenisaidia kuuambia umma kuwa kauli zake zinatutesa wanyonge.
  11. Mshikawezi Mwizi

    Kauli ya Rais juu ya fao la kujitoa ilivyonifurahisha kisha ikanitesa, inanitesa na itaendelea kunitesa

    Huyo jamaa kashiba, hamjui mwenye njaa...ngoja wanyonge tulie na kusaga meno.
Back
Top Bottom