Search results

  1. Tough lady

    Miti ipi inakua haraka na inafaa kwa fence? (iwe miti ya kwenda juu sio ya kutambaa

    Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu inayolua haraka, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara). Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experiencena speed ya ukuaji...
  2. Tough lady

    Miti ipi inakua haraka inafaa kwa fensi?

    Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara). Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experience na speed ya ukuaji wa miashoki...
  3. Tough lady

    Je, ambao hamkupandishwa daraja mwezi uliopita kuna mtu amepanda au ndio tunasubiri bado?

    Mshahara umetoka na jina langu lilikuwa kwenye orodha ya wanaopanda madaraja, mwezi wa 6 sikupanda nikitarajia kuwa mwezi huu nitapanda. Je ambao hamkupandishwa daraja mwezi uliopita kuna mtu amepanda au ndio tunasubiri bado? Kwa mtakaoniuliza kuhusu barua; waliopanda daraja mwezi uliopita...
  4. Tough lady

    Toyota passo 2004 au zaidi..

    Natafuta Toyota Passo ya kuanzia mwaka 2004 na kuendelea, iwe nzuri, imelipiwa ushuru na kama imesajiliwa bongo isiwe na zaidi ya mwezi 1..bei mil 5.5 hadi 6.5, isiwe nyeupe au njano... Usipige kuniambia kuwa una aina nyingine ili kunibadili mawazo,... Message hazitajibiwa... Call 0765 612193::
  5. Tough lady

    Toyota passo 2004 au 2005

    Habari wadau, Natafuta Toyota Passo ya mwaka 2004 au 2005,nzima, iwe imelipiwa ushuru au kama inatumika, isiwe na zaidi ya mwezi 1 Tanzania.Bei iwe kuanzia mil 5.5 hadi 6.5... Rangi yoyote isiwe nyeupe au njano.Usipige kunibadili mawazo, iwe Toyota Passo tu. 0765 612193,, Meseji hazitajibiwa.
  6. Tough lady

    Tumaini university dar es salaam wanatunyanyasa wanafunzi.

    Naandika habari hii ili kuwasaidia hata wadogo zetu na ndugu zetu wajue uozo uliopo Tumaini University Dar es salaam,ni chuo ambacho kwanza mazingira yake hayafai kuitwa chuo kikuu, mtu ajaribu kwenda Mwenge barabara ya Coca cola ajionee mazingira tunayosomea, lecture rooms ni jengo la mabati...
Back
Top Bottom