Search results

  1. Tough lady

    Tunazika au tunasafirisha? Je, Ni lazima kusafirisha?

    Binafsi sioni umuhimu na ni kuongeza gharama tu. Wengine wanaona labda ni sehemu ya kuweka makumbusho ya familia pamoja. Lakini kama kitu chochote kinacost zaidi ya uwezo wa mtu au familia basi hakihitaji kufanyika. Ni vema muhusika akama anaacha wosia wa kuzikwa sehemubasi aache na nauli...
  2. Tough lady

    TAKUKURU yabaini rushwa ya ngono kutawala katika upangaji wa vituo vya kazi vya walimu

    Mimi kama mwanamke nasema rushwa ya ngono imeletwa na wanawake wenzetu ambao asilimia kubwa wanaona bora watumie miili yao kuliko kutumia akili au kuhangaika kutafuta kazi. Na wanajua wahitaji (wanaume) wapo kibao wanahitaji. Lakini hata kwenye biashara hata demand iwe kubwa vipi, kama supply...
  3. Tough lady

    Ukiacha pesa, kitu gani kingine kinaweza kukupa furaha?

    Pesa..pesa...pesa... Hii kitu inafanya usijitambulishe sana, ndugu wote wanajua unapoishi na unapofanya kazi, kila mtu 'anakupenda' hata kama ni kiunafiki hana ubavu wa kukuletea mabifu na unajua kabisa hakupendi ila hana jinsi..then mengine yote yatakaa sawa tu ukiwa duniani...hata ukiugua...
  4. Tough lady

    TMDA: Wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume watakufa

    Maana halisi ya kufa kiume. Ndo kifo pekee ambacho kitawapata wanaume tu😀😀💪💪. Sio unakufa kwa vijisababu vya kike wakati wewe dume😀
  5. Tough lady

    Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

    Ilibidi wapewe mshahara kama wafanyakazi wengine ambao pia huwa wanapigania kuendeleza makampuni. Labda hilo hawakuliwazia mapema wao kama watoto. Ni risk kubwa kujifanya sehemu ya biashara ya familia ama mali za familia siku zote maana ndugu pia hugeukana kisa mali. Kama wangekuwa clear toka...
  6. Tough lady

    Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

    Hapa somo ni 1 tu. Watoto tuache kusubiria urithi. Acha mzazi aponde mali zake the way anavoona inamfaa..wewe tafuta chako ili kuondoa ugomvi kama huu. Ukibahatika mzazi ni tajiti omba mtaji akiwa hai uanze biashara. Na hata akikataa kukupa mraji usimlazimishe, fight, tafuta chako achana na...
  7. Tough lady

    Mume wa Maunda Zoro ni aina ya Wanaume hovyo wa Dar es Salaam

    Binafsi nilishangaa ila nikadhani labda ndo uanaume. Make ukiambiwa mtu kapata ajali unatoka nduki. Hata ukiambiwa kafa lazima uende maana unapata kihoro. Ila jamaa moaka saa 12 na robo anadai alikuwa home mpaka alipofika Banana Zorro. Hata kama mtu familia yake hawakukubali..kwanza kwa miaka...
  8. Tough lady

    Vikao vya kupandisha nauli SUMATRA muangalie kwa jicho la kimahesabu

    Watu wanshindwa kuelewa kwamba mafuta yakioanda vitu vyote vinapanda bei;. mwenye nyumba atapandisha kodi kwa sababu anategemea kodi ili anunue mafuta ya gari lake au alipe nauli anaposafiri. wenye shule watapandisha ada maana wanahitaji kufidia gharama za usafiri zilizoongezeka konda na dreva...
  9. Tough lady

    Jamani bei hizi za mafuta

    Namkumbuka Hashim Rungwe. Sahv tungekuwa foleni ya ubwabwa tu bila kuumia na bei ya mafuta ya kupikia😃
  10. Tough lady

    Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

    Wenye CC2400 tuanze group letu. Tuna kikao cha dharura🙁🙁mwaka huu roho yangu isipochomoka sifi tena🤣😀
  11. Tough lady

    ITV kwanini mumeficha kutangaza kuwa Profesa Ngowi na Dereva wake watazikwa wapi? Kuna agenda gani?

    Wewe ndo una ikabila. Kuna shida gani mtu kumuajiri wa kabila lake? Tena ni raha maana hata ukisinzia unamwambia tu mnaenda kijiji gani anafika. Halafu baadae mtu kama wewe unasema sisi ni ndugu . Unataka pia weupe wasitubague wakati wewe ndo mchochezi namba 1 wa makabila.
  12. Tough lady

    Polisi, Jeshi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto mishahara yao ni midogo, Serikali muwaongezee

    Wanalipwa mshahara kiasi gani? Basic ni sh ngapi na take home sh ngapi? tuanzie hapo.Na je vyeo/ madaraja yao yanapandishwa baada ya muda gani na je wote wanapanda.Ni vema kuongea kwa data
  13. Tough lady

    Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

    Ukiona ni karibu piga mbizi au tumia boti yako. Ni rahisi sana ukiwa haumiliki chombo kuona mtoa hufuma anakunyonya..ila ukishakumbuka kuwa gharama yake huiwezi..basi ni vema kukumbuka kuwa alowekeza pia anahitaji kutengeneza faida yake pia...
  14. Tough lady

    KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

    Nawazia kimo cha kifuani kwa mtu mzima na irefu wa mbwa. Labda angepigwa mguuni. So either jamaa alikuwa na kimo kitupi sana au alikuwa kalewa anatambaa ndio maana risasi imempata kifuani??. Tusubiri polisi watoe maelezo yaliyokamilika labda
  15. Tough lady

    Wakatoliki, imekuaje kipindi cha Kwaresma mmefungisha ndoa ya Mrema?

    Ni upokeaji wa sakrament..sio sherehe. Baada ya kupokea hiyo sakrament unaweza ukaamua baadae kufanya sherehe au usifanye...ambapo hiyo sherehe haina uhusiano na kanisa..maana unaweza ukaamua kutomualika padre kabisa
  16. Tough lady

    Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

    Kwa ufupi tu sisi watu wembamba tunabeba mengi ndo maana hatunenepi labda..😂😂😂. Manake hapo kwanza ncheke🤔😃😃
  17. Tough lady

    Atuhumiwa kuua mke na kumzika, juu ya shimo apanda mpunga

    Na ndo hao wanafiaga huko ndoani maana hata wakiona changamoto wanang'ang'ania hawatoki mpaka wauwawe. Hawataki jamii ione wameshindwa ndoa😃
  18. Tough lady

    Mliopo Dodoma Kikuyu wahini kutafuta taarifa hii bodaboda amechukulia na polisi wanaelekea uelekeo tofauti na kituoni

    Wewe si ungewafuata sasa maana una na ushahidi? Umekuja huku kuwaambia wengine ndio wafuatilie?. Uzalendo na uandishi wa kimchongo huu🤔🤣🤣🤣
Back
Top Bottom