Search results

  1. KATASAN'KAZA

    Mpasuko CHADEMA ujio wa Dkt. Slaa, viongozi wagawanyika

    Kati yako na dr. Slaa nani aliumia yeye aliyeondolewa ugombea wakamweka Lowassa Jambazi kuu, na yeye aliyeamua kuishi imani yake kumkataa Lowassa..! Still bado Lowassa aliisaliti CHADEMA akagoma kuandamana kupinga dhuluma ya kuibiw kura na kurudi CCM kwa maringo eti ni nyumbani..!
  2. KATASAN'KAZA

    Mpasuko CHADEMA ujio wa Dkt. Slaa, viongozi wagawanyika

    Msaliti mamako aliyemficha babako kwamba wewe ni mtoto wa gesti.
  3. KATASAN'KAZA

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Heheheh..! Kiranga ungejua kuwa sayansi haijawahi kujibu swali WHY mara zote ina jibu maswali ya HOW ungeacha ubishi. Kifupi sayansi haiundi kitu kipya ndiyo maana haiwezi jibu swali la kwanini mara zote inajibu KWA VIPI/KWA NAMNA GANI.
  4. KATASAN'KAZA

    Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Labda uniambie kwanza watafute muarobaini wa wizi ili zikikatwa zitumike kweli..! Gharama unayotumia kwa foleni na kununua vipuri na kuchelewa kazini ni zaidi ya mara 500 ya hiyo sh.100
  5. KATASAN'KAZA

    Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

    YES, MUNGU HUWA ANANJIA YAKE YA KUWAOKOA WATU WAKE, ILA SABABU YA UPUMBAVU WAO WANAWEZA ANGAMIA. CHADEMA HAIKUTAMBUA MAGUFULI ALIKUWA SABABU YA WAO KUIMARIKA NA KUJUA KUJITEGEMEA SASA HIVI WATAKUFA. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  6. KATASAN'KAZA

    CCM imetekwa na CHADEMA kwa msaada wa wana CCM wenyewe!

    Kwamba CHADEMA mke mdogo..!!! Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  7. KATASAN'KAZA

    Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

    Let me try my luck!.. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  8. KATASAN'KAZA

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Haya mambo umesomea au unaongea tu..? Kasome inductictive reasoning (syllogism).
  9. KATASAN'KAZA

    Hivi kwanini Kanisa lisiruhusu waumini kuoa mke zaidi ya mmoja? Sioni sababu ya kukataza

    Vipi mashekhee wanaorihusiwa kuoa wake wanne kuwadharirisha watoto...?
  10. KATASAN'KAZA

    Wapemba kila sehemu ila wabara Zanzibar Noooo

    Kwenda zao huko, huyu bikirembwe ana mambo ya kijinga mno..! Subiria tumpige fitina nchi ata waichukue upinzani.
  11. KATASAN'KAZA

    Nimekutana na binti aliyekeketwa...

    Ndiyo kampe babako sasa tuone ..!
  12. KATASAN'KAZA

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Unadhani haya nayo yasema na kuandika nimepata shuleni..? Najua kwa kuwa tofauti na wewe, na hakika si kwa uwezo wala utashi wangu maana najibu si kwa ufahamu wangu pekee .
  13. KATASAN'KAZA

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Sijasema kuhusu kukufikisha kwenye uongo, Mungu anayeongelewa ni True God (Mungu mmoja). Imani usichanye zipo imani nyingi. Imani ya Mungu mmoja inajipambanua vyema.
  14. KATASAN'KAZA

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Unaleta reasoning ya logic, syllogism ina makosa makubwa mno..! Huwezi draw conclusion kwa logic siyo kila kitu kinafuata huo mtririko wako wa logic. Umeenda bank kukopa ukiwa na nyumba ila umesahau hati, hukupewa mkopo sababu hukutoa ushahidi wa nyumba ila haimanishi huna nyumba. Chukua hii...
  15. KATASAN'KAZA

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Just because of His Graceful, sababu anaweza yasiyowezekana kwa akili zetu, ameweza kutuwezesha kuyafahamu yaliyo nje ya uwezo wa uelewa wetu kwa jinsi apendavyo na aonavyo inafaa si kadri ya mapenzi yatu. Reason: He is reasoningless, his mind is incomperable.
  16. KATASAN'KAZA

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Kila imani ina chanzo/asili yake na ukiifuatilia vyema utagundua Mungu au mungu(muungu) anayezungumziwa katika imani hiyo anathibitika. Sisi watu wa monotheism (single and only One God) tunaamini katika Mungu mmoja ambaye ni chimbuko la kila kitu, ata hiyo miungu. Imani si lazima iwe ni kuhusu...
  17. KATASAN'KAZA

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Hiyo nyumba unakuwa nayo au hauna..? So why mlazimishe lazima kuwepo kwa kitu kuweze kuthibitika...? Na uwepo wa Mungu hauhitajiki kuthibitika kwa vigezo vya kibinadamu imani inayotokana na vitu visivyo na majibu kama chanzo binadamu na uhai, na vitu vingine kama jua na hiyo science mnayosoma...
  18. KATASAN'KAZA

    Kwanini Wananchi hawausimamishi msafara wa Mbowe ili awahutubie kama walivyokuwa wanamsimamisha Hayati Magufuli?

    Magufuli hakusimamishwa akawahutubie wananchi walimsimamisha kudai huduma kama maji, umeme, hospital na shule maana ndiye aliyekuwa anakusanya pesa(kori) zao. Mbowe wanakuja kumuona na pengine wanamsikiliza ana utofauti upi na hicha chama cha majambazi (CCM).
Back
Top Bottom