The delayed onset and below-average Vuli rains (mid-September to December) point to a likely deterioration in food security for poor households in Arusha, Kilimanjaro, Pwani, and Tanga regions as the harvest in March is expected to be significantly lower than normal. Reduced labor opportunities...
Ulikuwa unapiga box na bunge kwako halikuwa na faida. Kama hujui unachoongea basi nyamaza... Fuatilia hapa kesho siku nzima. House of Representatives Live Video: HouseLive.gov
Pia nenda C-SPAN TV ni live muda wote hata pale wanaposubiri zoezi la kupigia kura bungeni zikamilike! Na mabunge yote...
Abaeleze wabongo lile tamko la kwamba mabasi ya mwendo kasi kuanza kazi Januari 10, limeishia wapi? Ama vipi aje ajisahihishe kama alimaanisha January 10 2017!
Kuna ukweli hapo. Mwalimu alijaribu kuhamishia ikulu Dodoma akifikiri atawaendeleza, lakini wapi? Bila kusahau omba omba wengi barabarani ni wenyeji wa Dodoma. Hata hivyo asilimia nyingine wako vizuri sana. Nakubaliana na tathmini ya Kamishna Chiku.
Kufaulu darasa 7, Kidato 4, na 6 na maisha ya kitaa havina uhusiano wa 1 kwa 1. Mimi nimesoma na wanafunzi walikuwa wanajiweza lakini wakachemsha mtihani wa mwisho! Baadae wameweza kujiendeleza.
After all, mitihani hii inabidi iwe 50%, nyingine itoke kwenye continuous assessment.
Nakubaliana na wewe 100%. Hizo pesa wangewekeza kuboresha miundombinu ya elimu kujenga madarasa na kununua madawati, vitabu vya kiada na ziada. Na pia kuwalipa walimu mishahara mizuri na posho za kujikimu kutokana na mazingira magumu ya kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.