Search results

  1. nyasatu

    JK azidi kukabwa koo! Euronews - Inaonyesha FFU wakikandamiza Maandamano ya CUF

    nmepata fursa ya kuona hii habari mara kadhaaa,its funny askari wa ffu anawatangazia waandamaji eti waende ktk vyombo husika kudai madai yao,ss vyombo vyenyewe husika viko mifukoni mwa watu na whausika wenyewe wala hawaoni umuimu wa iyo katiba mpya ku protest ndio njia pekee ya dunia kuona...
  2. nyasatu

    MIMI NITaMKUMBUKA JK

    raisi aliefanyiwa walkout na wapinzani raisi aliepokea muuza mayai wa kitunda ikulu raisi ambae vinara/ma best zake waligalagazwa vibata ktk uchaguzi eg masha raisi usiejua analowaza mana kila wa leooo anaongea a diff story
  3. nyasatu

    icc

    thanks kw ahii list ulipotaja uyo rasio presenter nmemkumbuka yule jamaa wa clouds aliekua akitajwa tajwa sanaaa kumshabia JK,ikiwemo na TBC etc,na ktk iyo sekta ya police najua wanausalama kadhaa wahakosi humo
  4. nyasatu

    icc

    SORRY GUYS, Tittle ya post inatakiwa someka as ICC NAMES SUSPECTS...nme post habari nkiwa na haraka
  5. nyasatu

    icc

    six peoples who are said to be impoRTANT kenya figures including journalist,government officials,senior political figure where named as suspects who took part on 2007 kenya post elections violence,nasikia baadhi wako busy kujieleza ktk press conference and maybe some watajitokeza kiri makosa...
  6. nyasatu

    Longolongo kwisha: Slaa amaliza misunderstanding hapa jf

    wewe nawe kiranga acha kiranga,unachosema inategema unaongelea ishu gani,kama ni ishu ya production i mean uzalishaji wa chakula unao involve process mbovu ofcoz lazima na product itakua mbovu so unaweza ikataaa,bt unapoongelea swala la election na democracy ni tofauti sanaa,ss process ya...
  7. nyasatu

    If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

    I have read a number of machapisho ya MMJ ya sampluli hii and if am not mistaken kwa akili yangu nimeweza muelewa thinking yake at times, yaani MMJ smt anaweza andika kitu ukaanza jiuliza maswali mengine ikiwemo yupo upande gani bt in short mm nadhani andika yake ya namna hii ni ktk kutaka...
  8. nyasatu

    Jakaya Kikwete kupata tuzo ya Mo Ibrahim?

    Mbogela unalosema binafsi naona ni ndoto,but inaweza kuwa otherwise only if Shehe Yahya atakutanishwa na Mo Ibrahim mwenyewe mana anaweza mchakachua hadi akajikuta anampa JK iyo tuzo,but otherwise i guess kuna viongozi wengine that deserve the award then JK... SALAMU ZAKO TOKA ZWOLE..kwi kwi
  9. nyasatu

    Rais Anapoacha Kuhutubia Siku ya Uhuru......Inaashiria nini?

    mh aliesema swala la party alikua right,cheki hii link (sherehe za uhuru zahitimishwa ikulu)ndo utajua why raisi alikua anawai alijua jioni atapata pilau lake na wine kwa sana,why aungue jua na sherehe zenu za uhuru Global Publishers
  10. nyasatu

    Sabodo atunukiwa Medali na CHADEMA: Aahidi kuchangia tena mil. 150

    mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...kweli ww ni mwana fisadi damu mana kuona mtu kachangia tu ukahisi ni kama mfanyavyo uko kwenu,kwanza nachefuka ona iyo rangi ya profile yako na iyo nyundo na yako ambayo soon itakumaliza mwenyewe.....ila kwa leo nmekusamehe sio kosa lako
  11. nyasatu

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    hayuko kimya bwanamaongee mara ngapi?ameshatoa tamkolake thru mama celina kombani,unless yule mama aliongea kivyake vyake bt as far as i knw ni mawazo ya boss wake,jk angeiga mfano hata wa obama kila swala(ambalo ni muimu na nyeti) linalowahusu wananchi lazima obama umuone anatoa press confrence...
  12. nyasatu

    Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

    hili halinishangazi,kama waendesha bike wanaodai kutoka geita wanakaribishwa ikulu kirahisi bila story zao kuhakikiwa vizuri na wahusika why not fanya vikao vyao binafsi hapo....kweli utakatifu wa ikulu aliouongelea nyerere na kwa walio waroho wa madaraka kupaona kama paa haupo tena bali now...
  13. nyasatu

    Aliyemfuata Rais Kikwete Ikulu apokewa kishujaa..................

    great thinkers,msimlaumu kijana wa watu kama kweli hayo yoote ni kweli inaonekana kijana ni mtu makini sana wahusika wa michezo waanze mtafuta twaweza jipatia medali za gold za kumwaga ktk anga za uendeshaji bike wa mwendo mrefu atiiiii,mana kijana anaoneka ana mota ktk miguu yake.anaweza...
  14. nyasatu

    Elections 2010 Kwa Picha Hii Ahadi za CCM kuwapatia huduma bora watanzania itawezekana?!

    wanaangalia chini kwa aibu,yaani i wish mmoja wa hao wagonjwa angekua na copy ya ahadi zao ampe uyo waziri esp ktk kipengele cha afya,ili waziri ajue lile shangingi lake can do alot for these people but atleat siku mheshimiwa anaenda tembelea hawakuficha ilo tatizo la kulala chini ili ajionee...
  15. nyasatu

    Elections 2010 Uchaguzi wa TZ vs uchaguzi wa Ivory Coast

    Katika kukua kwangu nimekua nikisikia sifa tofauti tofauti kuhusu wa tz,baadhi ya sifa izo ni kuwa wapole,wasio penda purukushani,wasiojua kudai haki yao,waungwana,watu wa yes sir etc. Nikiwa ktk harakati zangu za kuangalia CNN wiki hii nzima kwa kiasi fulani nimefurahishwa na habri za uchaguzi...
  16. nyasatu

    Mbega ameondoa hadi mapazia ofisini-Mbunge

    ahaai am afraid ugonjwa unaweza hamia uko,mana mtoto wa nyoka ni nyoka tu na kuna msemo mtoto huiga yale yanayofanywa na mzazi,mtu anaweza tinga ikulu akakuta hakuna hata bendera ya nchiiiiiiii,na ukiuliza waweza ambiwa niya ccm vumbueni yenu uwiiii
  17. nyasatu

    Barua ya wazi kwa Rais JK na Waziri Mkuu MP

    kwa kua milango ya ikulu iko wazi hata kwa waendesha baiskeli watokao geita,nakushauri u print uipeleke mweyewe pale ikulu kwa mkuu,am sure utapokelewa tu kwa mikono miwili kam ayule jamaa mana ww una ushauri mzuri.......
  18. nyasatu

    Makamba kupewa ukuu wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro?

    mhh kama ni kweli mbona atarudi na ngeu ya pili upande wa pili wa kichwa,unacheza na peoples power
  19. nyasatu

    Kikwete ampokea Ikulu kijana aliyesafiri kutoka Geita kwa baiskeli kwenda kumpongeza!

    wana jamvi ,hii habari bado naitafakari ila nmkuja gundua kua maybe kijana alisafiri kama alivyodai,assuming alikwea ungo frm geita hadi kariakoo then from there akachukua bike hadi magogoni/ikulu,its possible ukifikiria ivi man otherwie haiingii akilini,mana kwa ungo hata trip ya tz to usa...
  20. nyasatu

    Kikwete ampokea Ikulu kijana aliyesafiri kutoka Geita kwa baiskeli kwenda kumpongeza!

    ahaa ur absolutely right,iyo ni danganya toto tu,tena ukicheki vzuri iyo bike nizile zadesign za wabeba mayai wa kitunda vs dsm,apo kute kaamka asubui kajigalagaza ktk mavumbi na mabandaya kuku ili aonekane katoka long trip.....kw aiyo afya angetoka geita sidhani kama angefik...
Back
Top Bottom