Search results

  1. S

    Gervas Mkili is NO MORE

    Apumzike kwa amani. Amina!
  2. S

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    Ni aibu! Hata maswali aliyokuwa anaulizwa alikuwa hayaelewi. Kimombo kinamgonga vibaya sana! Hata mle ndani ya Jumba alikuwa anacheka cheka tu.
  3. S

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Kilichotokea Dodoma katika Mkutano wa Kamati Kuu na NEC ya CCM kimethibitisha mambo matatu ambayo wataalam wamekuwa wakiyahofia kwa muda mrefu: (1) Kwamba CCM haiwezi kulinda maslahi ya taifa bali kimegeuka kuwa chama kinachotumiwa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi. Mafisadi, wauza unga...
  4. S

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Madudu yaliyofanywa na hao mamluki wa akina Rostam na Lowassa Dodoma yanatusaidia sana sisi tunaopigania UHURU wa kweli. Wao wanadhani sisi Watanzania bado tumelala usingizi. Tunafuatilia hatua kwa hatua kila wanachokifanya mafisadi hawa. Wanatumia pesa walizotuibia kuwahonga MAFALA waliopo NEC...
  5. S

    Kingunge amechanganyikiwa?

    This guy is just too old to be taken seriously. In fact he needs to undergo a psychiatric evaluation to determine his mental state.
  6. S

    Unapajua hapa?

    Hapo ni downtown Dar es Salaam. Hilo ni jengo la Barclays Bank, au sio jamani?
  7. S

    Unapajua hapa?

    Hilo kanisa hapo juu ni la Ndanda. Au?
  8. S

    Unakumbuka majina yako ya utotoni!

    Ni kweli wakati umefika sasa tuanze kutumia majina ya kiasili ya mababu badala ya kujibandika majina ya kizungu, kv Dawson
  9. S

    Swine Flu in Africa - Tahadhari!

    Wataalamu wanasema virusi vya ugonjwa huu kwa mara ya kwanza vilikutwa kwenye nguruwe, na ndio maana ugonjwa ukaitwa 'swine flu'. Hata hivyo binadamu hawezi kuupata ugonjwa huu kutoka kwa nguruwe bali kwa binadamu aliyeambukizwa. Kwa hiyo wale wala kitomoto waendelee kushambulia kwa raha zao...
  10. S

    The Life and Death of Michael Jackson & Other stories over him

    Lakini inaonekana kama stori yenye ukweli fulani. Kuna kitu ambacho hakikuwa cha kawaida kwa huyu Michael Jackson aliyekufa majuzi. Au ndio maana hata suala la mazishi yake lina utata?
  11. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Wewe Bull usituletee mambo ya Uganda na Kenya. Hii ni Tanzania, na tumeshasema hatutaki suala la KADHI sio la serikali bali la BAKWATA. Period. Na hilo la Waislamu kufanywa kuwa second class citizens linatoka wapi Yarabi! Jiepushe na maneno ya uchochezi.
  12. S

    Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

    Kwa heri Sakina, tulikupenda lakini mafisadi walikupenda zaidi...
  13. S

    Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

    Pole sana ndugu yangu. Ungetumia condom usingekuwa na wasiwasi. Lakini sasa kwa kuwa yameshakusibu nakushauri umwandalie sehemu ya kukaa huyo binti kabla ya kugundulika kuwa ana mimba, kisha umhudumie ajifungue vizuri. Sikushauiri kutoa hiyo mimba. Huwezi kujua pengine huyo house girl anaweza...
  14. S

    Mwandishi Dennis Msaki ajiuzulu "Nipashe"

    Huyo ni mwandishi mwenye njaa kali sana. Kutimka kwake Nipashe kumetokana na kuondolewa kwa Sakina Datoo ambaye ndiye aliyempeleka hapo. Bila shaka ameshawishiwa na Sakina kuondoka kwani huyo dada wa Kihindi naye inasemekana yupo njiani kwenda huko. Ila na-doubt kama ni mwandishi mahiri kama...
  15. S

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    Kuna kitu kimoja ambacho watu hawajakielewa hapa. Madai kwamba Mengi ametumia vyombo vyake vibaya kuwasema watu wengine yanatoka wapi? Yeye aliitisha mkutano na waandishi wa habari. Vyombo vya habari vyenye ujasiri vikaandika na kutangaya alichokisema, ikiwa ni pamoja na vyombo vyake mwenyewe-...
  16. S

    Rostam Aziz now said to be `damaging` CCM reputation

    Waache awavuruge ili CCM ing'oke madarakani kirahisi. In fact kama kungekuwa na serious opposition hoja ya kuiondosha CCM madarakani ni moja tu -- kuwalinda mafisadi wanaoongozwa na kinara wao Rostam Aziz. Ni matarajio yetu kwamba kuna wanaCCM watajiondoa kwenye chama cha mafisadi ili kwa ridhaa...
  17. S

    Kikwete mteue Rostam kuwa Waziri, Yes I dare you!

    Ahsante Mzee Mwanakijiji kwa post hii. Ni kweli huyu bwana ni afadhali amhalalishe tu rafiki yake RA katika nafasi mojawapo serikalini kuliko alivyomuachia hivi sasa akiingilia kila idara kwa jeuri ya pésa chafu na urafiki wake na mkuu wa nchi. Ningependa kumfahamisha wazi JK kwamba ANGUKO lake...
  18. S

    Lowassa anasafishwa!

    Mungu apishe mbali! Utabiri wangu ni kwamba huyo mtu na mwenzie RA watakuwa jela kwa makosa makubwa ya ufisadi. Nchi hii haiwezi kuongozwa na Lowassa wala mtu yeyote atakayemuandaa-
  19. S

    Mengi awaponda wanaomwandama

    Namuomba sana Bw. Mengi amwambie rafiki yake JK anashughulikie mafisadi bila kujali chochote_Nchi lazima iendeshwe kwa utawala wa sheria. kama kuna watu wana tuhuma nzito washughulikiwe mara moja kabla waTz hatujakosa imani na serikali yetu.
Back
Top Bottom