Search results

  1. sir Ganto G

    Korosho zinauzwa

    Bado unazo?nahitaji korosho nyeupe
  2. sir Ganto G

    Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Hapana kiongozi sio huko,ni upande mwingine kabisa
  3. sir Ganto G

    Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Mbona swali liko wazi sana,,labda nirudie....Je mtumishi wa serikali anaweza hama kutoka wizara moja kwenda nyingine?
  4. sir Ganto G

    Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Habari wadau. Naomba kujua kama kuna uwezekano wa muajiriwa wa serikali kuhama wizara kwenda wizara nyingine. Je, mwajiriwa anaweza akaomba kwenda wizara nyingine kama ana vigezo vinavyokidhi kuhamia wizara husika?. Tafadhali naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa na hili. Natanguliza...
  5. sir Ganto G

    Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

    ..mleta uzi umechambua vizuri na emetiririka kimantiki.tatizo hapa kuna ushabiki ambao hauna maana na kuna watu wanahisi wao tu ndio wanaijua sana UD..ni upuuzi na kujilisha upepo.ukweli ni ukweli
  6. sir Ganto G

    Ukimya wa Lady Jaydee

    naimani atarudi
  7. sir Ganto G

    Jew warms blacks

    .ni ukweli mchungu!!
  8. sir Ganto G

    Kama si Mbowe, basi mtoto wa Mbowe, kama si Kafulila, basi mjukuu wa Kafulila n.k

    ..fadhila za nini kwenye nchi changa namna hii!!
  9. sir Ganto G

    Zitto anapotosha umma kuhusu uhaini Zanzibar

    ..naona hii imekaa kisheria zaidi,na kama kweli alikuwa na mtazamo huo basi alipotoka kimktadha wa kisheria..
  10. sir Ganto G

    Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

    ..sithani kama zitto hana akili kiasi hicho,alijua na anajua kuwa hatakuwa waziri mkuu,.ila mpaka uchaguzi ufanyike umaarufu wa chama chake utaongezeka maradufu,na hili ndo lilikuwa LENGO lake kubwa...na atafanikiwa
  11. sir Ganto G

    Njia ni Nyembamba na Mlango ni Mwembamba, Waingiao ni wachache (Spirit Science)

    ..kama kuna mshindi anatafutwa hivi..tawi hili la knowledge haliitaji ushindani ili kufurahisha watu au kujikweza.
  12. sir Ganto G

    Kwa Nini CCM Inango'ka?

    ..umefanya uchambuzi vizuri with relevant cases.safi!
  13. sir Ganto G

    Msaada: Minyonyo na mibono kwa kiingereza

    Habari wana jamvi, naomba nisaidiwe maneno haya mawili yanavyotaitwa kwa kiingereza au kwa majina ya kibaologia 1. Mibono 2.Minyonyo Natanguliza shukrani zangu za dhati...
  14. sir Ganto G

    English learning thread

    ..mi napata tabu kuelewa sentensi yenye maneno haya yakiwa yameunganishwa, .....have have....,au had had,...au .....had have..
  15. sir Ganto G

    Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    nadhani alistahili kufanyiwa ulichomfanyia.
  16. sir Ganto G

    Nini siri ya machale ya jambo litakalotokea?

    ...kuna watu wanafanya meditation bila kujua..na hii inategemea na utulivu wa hali ya juu wa mhusika na mazingira ya maisha kiujumla...BINADAMU KAMA WANYAMA WENGINE ANA MACHALE..NA NI KILA BINADAMU.
Back
Top Bottom