bora na wewe umeona hyo issue,mimi sio kuandika nimecopy na kupest still haitaki,but i think ni kwa sababu muda wa kuchek haujafika koz mimi mwanzoni kabsa baada ya kutuma maombi niliingia kwenye loan status na ilikubali lakin baada ya muda ikakataa.
so muda ukifka itakubali
CHA MUHIMU NDUGU ZANGU NI KUANDAA HIZO FEDHA.
INAONESHA KUNA MAMBO HAYAJAKAA SAWA,SERIKALI SIO WENDAWAZIMU KIHIVYO,
INAWEZA SYSTEM IKAFUNGULIWA THEN IKAZINGUA,SO TULIE TU,MAMBO YATAKUA MAZURI.
JAPOKUA INAKATISHA TAMAA BUT CHA MUHIMU NI KUANDAA HYO 50 ILI IKIFUNGULIWA TU UNAFANYA YAKO
Watu wengi wana tabia ya kukoroma wanapolala, lakini kukoroma siyo kuzuri sana kwani familia yako pengine ishindwe kupata usingizi vizuri kutokana na makelele.
ulnayoyatengeneza na kwa upande mwingine, kukoroma kunamaanisha kuwa pumzi zako haziko sawa, hata baadhi ya wakati kukoroma kunaweza...
SERIKALI imetangaza mwongozo mpya kuwa kuanzia sasa masomo ya sayansi ni lazima kusomwa na wanafunzi wote wanaosoma elimu ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Kwa mujibu wa Sera ya Elimu iliyopo, wanafunzi wanaosoma elimu ya sekondari wanaweza kuchagua aina ya masomo watakayo...
AISEE NAMISHANGAA SANA
KILA MTU ANASOMA KILE ANACHOKIWEZA VIPI UANZE LAWAMA.
ACHENI HABARI ZA KUONA DAKTAR N BORA KULIKO MWANASHERIA.
WOTE WANATEGEMEANA.
NAOMBA TU MSIJIDHALILISHE KUA NYIE N BOGUS,
MBONA KUA WANAOPATA ONE,VIP WE USHINDWE KUIPATA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.