Search results

  1. Mkunde Original

    Bamper to Bamper... In Love....

    Well, in comes di ting them call di broken heart This blessed love will never part Yuh dun know it's from the start mi tell them seh a dutty, yeah! A Sean Paul and Sasha. Come sing for them, baby Boy, you make me holler Boy, you make me sweat I can't get your tenderness Still I can't get you...
  2. Mkunde Original

    Embe la Kunyonya......(Embe Nyonyo...)

    Habari za jioni mabibi na mabwana, Baada ya kitambo kirefu cha kupotea humu, leo nimekuja na habari ambayo nimekutana nayo mwisho wa wiki iliyopita. Ilikuwa hivi, kulikuwa na mtoko flani hivi ambao ilinibidi kwenda peke yangu kwasababu ubavu wangu ulikuwa umesafiri. Kama kawaida ya kina...
  3. Mkunde Original

    Nilikupenda sana...

    ........................ :)
  4. Mkunde Original

    Nilikupenda sana...

    Asante kujitolea, ila umechelewa.
  5. Mkunde Original

    Nilikupenda sana...

    Sina shida na ambacho si changu, kama ni mbegu ntaiacha najua langu ni yai tuu ndo ntakalolibeba. Vingine vyote naviacha naenda anza upya.
  6. Mkunde Original

    Nilikupenda sana...

    Sikumbuki nani aliimba huu wimbo mara ya kwanza labda humu watusaidie.
  7. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Asante ndugu, barikiwa sana.
  8. Mkunde Original

    Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

    Naona aibu kuitikia hiyo salamu,labda nikiijibu kwa kiswahili itapunguza ukali wake ila maana iko pale pale ''Abeeeee............ nami pia!''
  9. Mkunde Original

    Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

    Midomo imeungua kwa kunywa konyagi na kuvuta sigara
  10. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Okee nimepata asante.
  11. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Tina nahisi ndo itakuwa poa ya familia hii. Tafadhali naomba unishirikishe huo utaalamu ili nisaidie hii familia. Ubarikiwe ZZ
  12. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Hehehee avatar inakudanganya hii ya zamani sana. Mie ntawaacha na huyo mama muongee maana mie kwa sasa sina msongo wa mawazo kuhitaji mawazo au ushauri au maongezi.
  13. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Shukria, ntamshauri hili pia iwe kwake kufanya maamuzi.
  14. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Ni kweli ni vyema kuvumiliana, pia si kuwa namtetea huyu mama ila namfahamu. Kama kuna wamama wanyenyekevu ma watii basi huyu ni mfano wa kuigwa. Ni msongo wa mawazo wa mumewe ndo umeongeza changamoto.
  15. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Hahahahaaa yaani inakuwa mazoea tuu ila hatari sana. Unaona watu wanaenda kanisani au kwenye harusi kila mtu na gari lake kila mtu anakuja kivyake na kwenye sherehe kila mtu anakaa meza yake na kuondoka kila mtu anaondoka kivyake ni kuwa tuu wanakaa nyumba moja ya chumbani ndo hayajulikani...
  16. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Hahahahaha weeweee. Maneno yepi hayo mbona kawaida tuu.
  17. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Mweeh hapo kwenye kufa na kuzikana hapoo... saa ingine ndoa za kikristo zina majaribu hatari.
  18. Mkunde Original

    Akishitaki atakuwa kamkosea mumewe?

    Ni kweli ila kama wakiwa wanaangamia au kuzama na msaada upo si dhambi kuwasaidia wainuke upya
Back
Top Bottom