Search results

  1. A

    Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

    Mkuu pamoja na GPA yako kubwa hapo sijakupata on the link kati ya BRN na wewe kukosa nafasi ya chuo
  2. A

    Akaunti ya TFF Yafilisiwa na TRA

    Duu mkuu kweli we Tomaso
  3. A

    Dr. Mwakyembe, David Mattaka hakuwa Mstaafu alipoteuliwa kuwa CEO wa ATCL?

    Hapa ndo unaona dhahiri madhara na athari za kusoma katika lugha ya watu kisha kufanyakazi katika lugha yako ya nyumbani. Mkuu hiyo nadharia ya "good corporate governance." unaonekana umeikariri tu huielewi. Mwakyembe alikuwa wazi kwamba baada ya kuona ubabaishaji wa Chizi ndipo akaamua kufungua...
  4. A

    Wanachama wa ccm wahoji..shibuda katoka wapi ktk mkutano wa kamati kuu ilhali ni mpinzani?

    Naona APRM haifahamiki vyema, Nimesoma Jambo Leo Jumapili Mei 20, 2012 na kupata mwanga. Nikafuatilia www.aprmtanzania.org, nikabaini hii ni taasisi huru ila Shibuda labda kama ni kweli alipotoa mada NEC akateleza hili na lile au alieleza utani tulioamua kuuchukua kuhangaika nao.
  5. A

    Jaji aliyetoa hukumu ya Lema ni nani haswa?

    Hukumu ya kwanza Kisutu Hakimu aliyewafunga ni Eddy Lyamuya shastaafu sasa. Rufaa yao ya kwanza alisikiliza Mihayo peke yake. Rufaa ya pili ndio akina Massati et al.
  6. A

    Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    Sheikh vitu vingine tuongee kwa takwimu. Nenda website ya UN, kwa nafasi yake Mama Migiro alikuwa ni msaidizi wa Katibu Mkuu so alikuwa anatumwa na ziara zake zinaratibiwa na UN office. Hata ukimuona nyumbani ilikuwa inaratibiwa na UN ofisi so si kosa kurudi nyumbani. Tutafute lingine la kumkosoa.
  7. A

    Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Tunaambiwa mnapokhitilafiana katika uislamu rejeeni katika Kuran na hadithi. Sijui masheikh wetu kama wamejiridhisha kama anachovaa yule mama ni Hijjabu, mtandio au kilemba? Tupate kwanza tafsir ya uislamu kuhusu hijjab, tusiingize dini takatifu katika mambo machafu.
  8. A

    Kikwete ateua Mwandishi Mpya wa Hotuba: Msafiri Wilbert Marwa

    Mjadala huu ni mtamu lakini kuna mahali tunajadili hisia zaidi kuliko ukweli. Link hiyo hapo juu inaweza kutuongezea ufahamu kuhusu the art of speech writing hasa kwa uzoefu wa Obama. Wakati baadhi tunamjadili Msafiri wa umri, digrii yake au hata kabila lake, Obama, anayesifika mno kwa hotuba...
  9. A

    Wabunge Nyota!

    Makamba?Sidhani kama anaweza kuwa katika orodha nyota alisikika nje ya Bunge kwenye kutetea Dowans na aliposimama Bunge ni pale alipotaka kupotosha kanuni za Bunge kuhusu lugha ya kuwahoji wagombea hadi Membe alipookoa jahazi. Analysis yako kuhusu Mnyika pia ni wrong mtu anaweza kudhani labda...
  10. A

    Kifo cha kampuni ya Business Times Ltd

    Siamini kwanza kama majira bado lipo, sijaliona siku nyingi na mara ya mwisho nililiona limechooooooooka.
  11. A

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Jamaa kwa sasa ndio Mwenyekiti wa Bodi ya TSN inayosimamia magazeti ya Daily News na Habari Leo. Kama ni kweli ameondoka bila kumudu kuyapa magazeti hayo Mhariri Mtendaji nafasi iliyoibua utata sana. Hii inaweza kuhesabiwa kuwa moja ya failures zake za kiutendaji za kukumbukwa. Otherwise kisiasa...
  12. A

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Pamoja na habari hii kuibua maswali mengi lakini jinsi gazeti lilivyoandika (kishabiki na kutoa opinion) inaonekana gazeti hilo ama linataka suala hilo lipuuzwe au wanatekeleza mawazo ya kiza. Kwanza Mwakyembe katuma taarifa hiyo kwa IGP hao wa gazeti wameipataje?Labda swali hili si la maana...
  13. A

    JK apaa kwenda Paris leo...

    Da kweli hii jama. Napata pressure
  14. A

    Taarifa zangu za kiinteligensia kwa Kikwete na viongozi wote

    Hizi ni athari za mabomu, hata mifumo ya fahamu imeharibika. asaidiwe huyu
  15. A

    Shibuda kuwakilisha Bunge APRM

    Shekhe wa Pwani rudia kusoma post. Nimeweka taarifa na kuuliza swali la kuchagiza mjadala, hayo ya wivu ya wapi tena????Du kweli hii ndo Bongo. Nionavyo APRM kama itamtumia vyema taasisi hiyo itaweza kusikika na kupaza sauti yake kuhusu utawala bora nchini.Nahau na mashairi ni mbinu muhimu...
  16. A

    Shibuda kuwakilisha Bunge APRM

    Mbunge wa Maswa, John Magare Shibuda amepitishwa rasmi na Bunge kuwa mwakilishi wa Bunge katika taasisi ya Umoja wa Afrika inayotathmini mambo ya utawala bora (African Peer Review Mechanism) APRM tawi la Tanzania ambalo liko chini ya Wizara ya Mambo ya Nje. Je, atasaidia kusukuma mbele agenda...
  17. A

    RA ajaribu kujisafisha kupitia Tanzania Daima

    Hii story imeandikwa na nani?Juu ni "Mwandishi Wetu" Chini kuna majina matatu ya waandishi ni nani kati yao alipiga hiyo cm au wote waliongea na Rostam kwa wakati mmoja na Je, huyo Mwandishi Wetu ni hao wa chini au ni mwingine? Ha ha ha da nchi hii tusali sana
  18. A

    Wanasheria, hukumu ya DOWANS na doctrine ya RES JUDICATA

    Ukisoma hiyo hukumu hapo juu hizo excerpts utabaioni kuwa zinazuia hao parties kuappeal, lakini nadhani ipo kesi iliyotanzua tofauti ya appeal na judicial review. Mahakan a Kuu na ya Rufaa zinapower ya kufanyia review suala lolote. Nionavyo Tanesco ndio hawawezi kuappeal (wamejifunga) lakini...
  19. A

    SAKATA LA DOWANS: Wanasheria wamuunga mkono Jaji Bomani

    Hakuna mwanasheria anayeweza kuchangia suala nyeti kama hilo akakataa kutaja jina, hao waseme wameichakachua hiyo stori kuaccomodate malalamiko ya Mzee Bomani, inaonekana alikasirishwa na maneno makali waliyoyatumia katika habari ya kwanza sasa wanawazuga watanzania. Ukiisoma hiyo habari ni sawa...
  20. A

    Naliona anguko la Kibanda

    Kama nilivyochangia kule kwenye thread ya hoja kwenda kwa Balile wa Mtanzania, mathinkers wengi humu tunaelekea kuwa mediocres-hatusomi.Mwandishi anafanya kitu ambacho watanzania wengi na hata wachambuzi makini wameshindwa kukifanya. Kibanda amekuwa akindika kila wiki kwa takribani mwezi sasa...
Back
Top Bottom