Search results

  1. I

    Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

    Botha Kaburu yule South Africa, alishasema, Mtu mweusi akili yote ipo kwenye ngono; si unaona hapo, kila mtu anaamini hata wenye elimu! Hawezi kuua kwa nini!
  2. I

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Ahsante sana, kumbe kuna watu wenye busara kama wewe wapo nchini, wewe ni IQ kubwa, hao wanaobisha wana usiwalaumu ndiyo kikomo chao. Hawa watu huwa hawajui kuwa hata hao wazungu 90% hawajui neno Tanzania. Muulize Trump neno Tanzania wala hawezi kupoteza muda. Kuna watu wana vichaa hizi nchi...
  3. I

    Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!

    Hata mie nimeshangaa, msiba yeye anaandika alivyofaidi ngono. Da, sasa msiba au?
  4. I

    Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Yaani Blinken asimame aanze kumsfia Biden hotuba yote. Hawa wanafanya kazi gani hasa. Hivi Fox au Breitbak si watapasuka? The deplorable state !
  5. I

    Rais Samia: Februari na Machi, 2024, Mgao wa umeme utaisha Nchini

    ETI takwimu, Nani kazitoa? … with a pinch of salt
  6. I

    Hatimaye Marekani yairejesha tena Tanzania kwenye Mpango wa "Mabilioni ya Milenia". Ni baada ya kuondolewa Awamu ya 5

    Yes Sir, You are correct! Lakini siyo makosa aliyofanya JPM, ni CCM in 2015, before JPM coming to power
  7. I

    Hatimaye Marekani yairejesha tena Tanzania kwenye Mpango wa "Mabilioni ya Milenia". Ni baada ya kuondolewa Awamu ya 5

    FACT CHECK: Hizi pesa zilizuiwa kwenye awamu ya Nne na siyo ya TANO; kwa sababu ya kukataa ushoga. Pekua files siyo kuandika tu mnajiaibisha kuandika Habari bila ya usahihi.
  8. I

    Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

    Nape Mpango ndiyo alimpa JPM kidudu cha Covid-19, asingekuwe yeye JpM angekuwepo. Sexless anamshukuru sana Mpango
  9. I

    Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Salary slip, Sokoine alipigwa risasi ya mguu, alienda kutibiwa Cuba, baadaye akamalizia Denmark. Alichukua miezi siyo mwezi.
  10. I

    Somalia yajiunga Uanachama wa Afrika Mashariki (EAC)

    Yaani passport yangu iwe na Somalia? Loooo!!!
  11. I

    Mr Clean awakosha wakandarasi, kuanzia sasa wazawa kupata kazi kubwa wawaajiri wazungu

    Ngoswe usilaumu huyo mkandarasi tu, ilaumu serikali, hao ndiyo wasimamisi wa hiyo kazi. Yaani Tanrod, kwa nini hawachukuliwi hatua? Kwa nini hawafungwi, na nyie wananchi kwa nini hamkwenda kuwashitaki? Sheria Mbovu
  12. I

    Mr Clean awakosha wakandarasi, kuanzia sasa wazawa kupata kazi kubwa wawaajiri wazungu

    Wakandarasi wa nje 574, biashara nzuri hii, halafu unataka Watanzania ambao hata pesa na incentives wa-compete? Kweli serikali na hata marais wake na mawaziri tutaquetion kama IQ zao zipo sawa. Hasa MaRais. Afadhali Nyerere alikuwa na MEECO, sijui nani aliua MECOna kwa manufaa gani.
  13. I

    Ifike mahala Watu waelewe kuwa Jukumu la Malezi sio la Serikali

    Mtibeli siyo kuwa serikali ikiwa na sheria makini ndiyo na watoto wanakuwa na malezi mazuri? Tabia ya mtoto inaanzia tangu anspozaliwa na inategemea sana vilevile na ndoa ya wazazi. Single mothers/fathers, sheria za ndoa. Unategemeaje ndoa za wake wengi kuwa na watoto wenye malezi mema? Halafu...
  14. I

    Askofu Ngonyani: Hakuna mahali popote katika Historia panapoonesha kuliwahi kuwepo Nchi /Taifa ya Palestine na ikavamiwa!

    Kuna wapaletina waarabu na wakristu. Nazareth ndiyo mji mkubwa Israel wenye waislamu wengi. Kabla ya 1948, eneo lote lilikuwa Palestina
  15. I

    Askofu Ngonyani: Hakuna mahali popote katika Historia panapoonesha kuliwahi kuwepo Nchi /Taifa ya Palestine na ikavamiwa!

    Huyu ni mzushi wala hajui anafundisha nini. Hajui historia ya dini. Hata Israel haikuwepo. Eneo lote hilo lilikuwa linaitwa Paletina. Jordan kwenye msambalatiko wa Palestina ilichukua eneo, Syria, na Egypt. Huko rahisi kutatua. Pagumu hapa Israeli
  16. I

    Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

    Hamna indigenous hapo, waulize makaburi ya babu zao, wote wako Poland, Argentina, Ukraine, Russia, Slovakia etc etc Haya makabila ya biblical times siyo hawa. Ujue 00 AD Yesu anazaliwa hadi 570 AD ndiyo kaja Mohamed hapo katikati vita ngapi zilipigwa Makabila kwa makabila? Palikua na Judaism na...
Back
Top Bottom