Search results

  1. muwaha

    ...kitabu cha Juma na Roza!

    Habari za leo Wakuu! Naomba kufahamu naweza kupata wapi kitabu cha "Juma na Roza" ili watoto wangu nao wafaidi hadithi zake. Nipo Dar kwa sasa. Jumapili njema.
  2. muwaha

    Naenda kununua gari...ushauri please!

    Wakuu habari ya jumamosi? nimedunduliza fedha kwa kujibana sana, na zimefika milioni 20!!! kesho napanda basi naenda "Darisalama" kununua gari. Naomba ushauri yard gani inauza gari nzuri, mie napenda niendeshe GX 110. Pia hotel gani itanifaa kupunga upepo wa baharini na maeneo ya kujinafasi ni...
  3. muwaha

    The two women...

    Two women go out one weekend without their husbands. As they came back, just before dawn, both of them drunk, they felt the urge to pee. They noticed that the only place to stop was a cemetery. Scared and drunk, they stopped and decided to go there anyway. The first one did not have anything...
  4. muwaha

    Kwa wale mnaoishi maeneo ya Basihaya kuelekea Bunju !

    Mnaalikwa kuhudhuria sherehe ya Valentine day kuanzia saa 12 jioni hadi utakapozimika, pale ETTIENE BAR. Chakula ni mbuzi na ng'ombe wa kuchoma, vinywaji aina zote vitakuwepo. Waalikwa ni member wa JF wenye cheo/title cha senior expert member na premium member tu. Ruksa kuja na mpenzi wako. Kwa...
  5. muwaha

    Jakson Makweta...!

    Wakuu habari zenu? Naomba kuuliza hivi huyu JAKSON MAKWETA bado ni mbunge? Sijamsikia muda sasa,nakumbuka aliomba kipindi cha kwanza cha JK amalizie,mwenye taarifa naomba anijuze.
  6. muwaha

    Utamu wa kileo (beer) ni kiasi gani?

    Wakuu JF, Mimi binafsi napenda kunywa bia, naomba kufahamu kwa wale wanywaji hivi utamu na radha ya bia unaweza kuupata katika starehe zingine? kwangu mimi naona hapana! haswa ukinywa windhoek bariiiidi...!!!hebu wakuu kila mmoja aseme bia ipi tamu na kwa nini??? Merry X-mas to all watumiaji wa...
Back
Top Bottom