Search results

  1. umatemate

    tv iman sasa ndani ya startimes

    kwa wale ambao awana madishi kuanzia leo waweza kupata tv imani kupitia kisimbusi cha startimes. Kama hupati fanya autoseching upya ... Tv iman elimu bila mipaka
  2. umatemate

    TV Iman imerudi tena

    ile tv pekee ya waislam tanzania sasa hipo hewani kupitia sateliti ya intelsat 906 kwa freg 4069 v srt 2500
  3. umatemate

    q11 g imenigomea msaada jamaa

    naomba msaada mwenye kujua sipati picha tatizo lilianza nilipobadili line ya simu nikiwasha inaandika netwek saccses lakin picha inagoma msaada wenu tafazali nimesubili kwa dk 20 chanell zimeludi nashukuru
  4. umatemate

    nissan datsun pickup inauzwa

    kwa wadau wote. Ninauza gari aina ya nissan pick up model t-gd21. Inatumia petrol. Cc ni 1627. Inatembea ila inaitaji marebisho ya kabureta na matairi sio mazuri karibuni kwa pm wakuu
  5. umatemate

    hello jamiiforums

    je amjambo wanajf napenda kuwaambia kwa sasa nami nipo hapa naomba mnipokee kutoka kanda ya kati. Napenda sa wadada je wamo humu ?
Back
Top Bottom