Search results

  1. Atoto

    Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

    Kwa sababu gani akatae?
  2. Atoto

    Ali Kamwe: tutakwenda Zanzibar kumfuatilia my wetu (Simba)

    Na ruhusa kampa nani?
  3. Atoto

    Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

    Sasa hapo shida iko wapi jamani🤷🤷
  4. Atoto

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Oooh kumbe hutaki unafiki!! Sasa mbona alipoacha unafiki na kuusema ukweli kuwa anataka mwanae aolewe na tajiri bado tena unamnanga!! Binadamu!!!
  5. Atoto

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Kawasaidia tu kuusema ukweli wenu wa moyoni.
  6. Atoto

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Hakuna binadamu aliye na mabaya tu akakosa mazuri. Na kistaarabu mtu anapofariki tunasema mazuri yake tu. Mabaya yake tunamuachia yeye na Mungu wake.
  7. Atoto

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Wanaume mnajifaragua tu, ila ni ndoto ya lila mzazi mtoto wake kuolewa na tajiri. Ila sasa ndio vile tena inapobidi unamshukuru tu Mungu kwa kila kitu.
  8. Atoto

    Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Pesa nakupenda hadi naumwa.
  9. Atoto

    Makapuku Forum

    Kuhusu nini auntie?
  10. Atoto

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Baba, mama na dada yangu 😍😍😍😍
  11. Atoto

    Makapuku Forum

    😳😳😳😳😳 Dogo unaelewa hata unachoandika?
  12. Atoto

    Makapuku Forum

    🤣🤣🤣🤣 Maneno huumba dada!
  13. Atoto

    Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Hela gani kwanza unaongelea? Sisi hatuna hela mkuu
  14. Atoto

    Makapuku Forum

    Shindwa mie sio kapuku.
  15. Atoto

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Kabisa 😂😂
Back
Top Bottom