Search results

  1. B

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Subili utupiwe mawe na wale Wadudu wa nguo chafu. Oooh walinda legacy oooh mwashita ooooh push gang Yaani jamaa wa Kizimkazi ukweli ulioandika hawataki kuusoma kabsaa
  2. B

    Simlaumu Makonda, ni vigumu kuieneza CCM kwa Sasa

    Tena sio chini ya PM chini ya Mkwe (TAMISEMI)
  3. B

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Now it’s Islamic state [emoji1241]
  4. B

    Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

    Kura hazipatika JamiiForums ila zinatoka hukoooo mkoani, hizi Takwimu zinamufaishaje mtu wa Kantalamba?
  5. B

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hawawezi wakakwambia mana imekuwa aibu kwao na kuusema ukweli sasa kwao ni kama kujipiga na ncha ya upanga shingoni. Acha mwamba alale hajaacha Deni kwa Watanganyika
  6. B

    Rais Samia awasili Nchini Indonesia kwa ziara ya siku tatu, Januari 24 na 26, 2024

    Mzee Vipi? Indonesia [emoji1129] nayo ipo katika Zile Tiger countries kweli? Au ni nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya Waumini wa Iman ya Kiislam basi. Tiger countries ni Taiwan, South Korea, Hong Kong and Singapore hizo zingine bado bhana, acha kujichetua
  7. B

    Hayati Magufuli alikuwa nani hasa? Mbona kila kundi linamlilia

    Mwizi mmoja wewe unaemiliki vyet fake, mla rushwa mmoja unaekenua mijino ya njano, kapige mswaki Kizimakazi mmoja wewe
  8. B

    Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

    Mzazi wa Paul Makonda (DB) ni nani na amewahi hudumu katika nafasi ipi ya uongozi wa hii nchi na ndani ya CCM mpk useme kupata madaraka lazima mzazi wako awe ameshika hatamu ya uongozi wa juu? Orodha ni ndefu, ungana nao ule matawi ya juu!
  9. B

    Mkasa wa kweli: najuta kwenda honeymoon - nilichofanyiwa sitakuja kusahau

    Mkuu happy new year 2024. Ungekuwa unatupia walau vipande viwil Au kimoja lakin kilichoshiba haswa, by the way Asante inavutia
  10. B

    TEC toeni msimamo kama wa Nigeria na Ghana kuhusu kauli ya Papa Francis

    Mkuu kumbariki shoga au msagaji yeye na mali yake haina tofaut na kubarik tu ndoa za jinsia moja. Huwa kauli za hivi zinaanzaga afu zinapitishwa zingine nzito. Kwa mkitadha wa Ulaya iyo kauli ya “Baba Mtakatifu” ndo imetoka ila kwetu Afrika inatakiwa kupingwa kwa nguvu kubwa mana sio maadili...
  11. B

    Wataalamu wabobezi waliochafuliwa na fitina za CCM

    Sasa huyo Tido ana maadili gani? Unaujua mkataba wa TBC na Startimes ulivyokuwa wa kihuni na upigaji? Alieusain c ndo huyo huyo Mhando wako, unajua alipewa nini? Mengine muwe mnayamaza mana uchafu wa mtu uujui ukiujua utamkimbia.
  12. B

    Wajamaa mnisaidie, hivi Nyerere aliwezaje kuvumilia haya?

    Successors wake wamebadili nini ama wameleta fundamental changing zipi? Hata Yule wa Kizimkazi ndo kazidi kuididimiza ft 12 Tanganyika bado humlaumu unabaki kubweka kama koko badala uangalie Ndio tuliwahi jikwaa so what? Leta solution sio kufungua pages zilizopita akati zilizopo huzisomi...
  13. B

    Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

    Akiwa Au asiwe hana impact yoyote kwenye maisha yetu sisi waTanzania. Hata sasa anainfluence gani kwenye maisha yetu sisi? By the way we ndo unaemfaham lakin am sure 98% ya waTanzania hawamjui kabsaa, zaidi ukifika pale Mhimbili ukachajiwa hela (1000) ya kuingiza Gari ndani ndo utaelewa...
  14. B

    Kwanini seriksli inakataza kupiga picha yeyote pale Kigongongo ferry/ Magufuli bridge? Wanaficha nini?

    Mkuu anataka kupewa sababu kwa nini mtu huruhusiwi kupiga picha maeneo hayo? Sio tu eti ni kawaida hilo sio jibu, Mpe jibu
  15. B

    Matokeo ya uchaguzi Ccm chipukizi: Mtoto wa msanii Shetta na Mwigulu Nchemba wang'ara

    Mkuu ya Maulana mengi uezi jua labda 2025 hao kijani cha inzi wa choo cha shule
  16. B

    Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

    Unampa Biteko majukumu mawili makubwa kwa Nia gani labda? Nishati +Naibu W/Mkuu ili lengo Liwe nini? Wahuni wanatufyeka Debit collected ya 1,500/- monthly uwe umetumia hujatumia ukinunua tu wanalamba chao kwa lazima. Daaah tutakukumbuka daima chuma cha Chato, lala pema mkuu huna deni unalodaiwa.
  17. B

    Kwanini Viongozi wakiwa ziarani Mtwara hawaendi kuzuru kaburi la hayati Benjamini Mkapa?

    Chato kimelala Chuma cha Taifa! Mtanikumbuka daima
Back
Top Bottom