Search results

  1. alphonce.NET

    Web hosting solution for only tzs 75,000

    Masaihost WE PROFESSIONAL WEB HOSTING SOLUTION FOR ANY BUSINESS NEEDS. For Only TZS 75,000 *Features Domain Name (.co.tz) Control Panel 40GB storage 40GB Data Traffic 50 Email Accounts PHP & MySQL Free SSL Certificate Full Tech Support Tel: +255767659145
  2. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    TUNAUZA VIFARANGA WA KUKU CHOTARA AINA YA KROILA, BEI SH 1,500 WANAPATIKANA KILA WIKI UMRI: SIKU 2 CHANJO: MAREK'S TUPO KAHAMA, TUNASAMBAZA MAENEO YOTE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA 0767659145 0620246040 0787659145
  3. alphonce.NET

    Web hosting service @Tsh 75,000 per Year

    Tunatoa huduma ya web hosting na domain registration Bei ni Sh 75,000 kwa mwaka Features: 99% uptime guarantee Domain name cPanel 10GB disk space 20GB monthly traffic Unlimited email accounts 5 MySQL databases SSL certificate Automatic backup Contact: 0767659145, 0620246040 Email...
  4. alphonce.NET

    Tunatoa huduma ya kutotolesha (kuatamisha) Mayai ya kuku, kanga, bata

    Tunatoa huduma ya kutotolesha (kuatamisha) mayai ya kuku, kanga, bata Bei: Sh 500 mayai ya kuku Sh 700 mayai ya kanga na bata Tupo Lugela, Kahama 0767659145 0620246040 0787659145
  5. alphonce.NET

    Tovuti bandia ya sensatanzania, yaani mamlaka zimeshindwa hata kuhakikisha inafungiwa kwa kufanya utapeli?

    Jana niliangalia habari ITV, mamlaka inayohusika na sensa wameripoti uwepo wa tovuti bandia ya sensatanzania.com inayotapeli watu kwa kutangaza ajira, na wakasema wamesharipoti TCRA. Lakini nimebaki nashangaa ni kwa vipi TCRA au pamoja na mamlaka nyingine za Serikali hawajaweza kushusha hio...
  6. alphonce.NET

    Halotel ndio mtandao dhaifu zaidi kwenye huduma ya Internet kwa sasa

    Halotel ambao waliingia kwenye soko na kufanya mapinduzi kwa kutoa kasi kubwa ya Internet sambamba na bei nafuu kuliko watoa huduma wote waliowakuta, hatimaye wameshindwa kuendelea kutoa huduma hiyo kwa ufanisi. Inawezekana mteja asiye makini akaendelea tu kusema Halotel wana bei nafuu za...
  7. alphonce.NET

    Natoa huduma ya Radio streaming service

    Kwa wamiliki wa vituo vya Radio wanaohitaji Live Radio streaming Ninatoa Radio streaming service @ 128Kbps kwa Sh 100,000 tu kwa mwezi *Radio itapatikana kwenye Tune-in, streema.com na embeded player tunaweka kwenye website ya radio yako *Ikiwa huna website nina design na kusajili website kwa...
  8. alphonce.NET

    Information Technology expert - For Hire

    I'm well experienced, reliable and affordable IT expert, Able to attend calls and work anywhere inside and outside Tanzania. My customers are Organizations, Institutions, Businesses and Private individuals. You can hire me for one time job or long term contract I'm specialized in the...
  9. alphonce.NET

    Anahitajika mshirika katika mradi wa madini ya dhahabu kahama

    Ninafanya mradi wa kununua na kuchakata mawe ya madini ya dhahabu katika mgodi wa Mwime wilayani Kahama Katika kutafuta kukuza mradi, ninahitaji kupata mshirika tutakaeshirikiana ili kuweza kukusanya udongo wa kutosha kwa ajili ya CARBON PLANT (lundo kwa ajili ya planti ya marudio) Mwenye nia...
  10. alphonce.NET

    Kuhusu Corona: WHO wanasema mask haisaidii kujikinga kwa wasio na maambukizi

    Kadri hatari ya Corona inavyozidi kuongezeka inatubidi kutafuta kila taarifa za kitaalamu kujua namna sahihi tunavyoweza kujikinga Binafsi kuanzia siku ya leo nimeshuhudia watu wameanza kutumia mask kuziba mdomo na pua, lakini katika hali ya kawaida nimetafakari sana kama kweli kufanya hivyo...
  11. alphonce.NET

    Nauza samaki Sangara kwa bei ya jumla

    Nauza samaki sangara wabichi toka Mwanza kwa bei ya jumla kwa wenye mabucha na wahitaji wengine walio Dar na maeneo jirani. Kiwango ni kuanzia kilo 100 kuendelea. Bei ni sh 6,500/= kwa Kilo Malipo ni tunapokufikishia mzigo Simu/Whatsapp: 0767659145 Simu: 0787659145 Simu: 0620246040...
  12. alphonce.NET

    House4Sale Nyumba inauzwa ipo Buswelu Mwanza Tanzania

    Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area) Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela) Vilivyomo: vyumba vinne vya kulala, (master bedroom 1 na vyumba vitatu) Sitting & Dining...
  13. alphonce.NET

    Tunatengeneza website kwa tsh 95,000 tu

    Tunatengeneza website kwa ajili ya aina yoyote ya biashara unayohitaji. Bei ni Sh 95,000 tu na hakuna gharama zilizojificha (No hidden costs) Tupo Mwanza, Tanzania na tutakuhudumia ukiwa kokote, unachohitaji ni kutuma contents za website yako kwa Email na tutafanya kazi yako kwenye sub-domain...
  14. alphonce.NET

    Vifaranga wa kuku chotara wa kuloiler

    Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks Tupo Busweru, Mwanza tunasafirisha kwenda maeneo jirani kama Shinyanga, Nzega, Musoma, Geita, Sengerema, Magu nk Bei za vifaranga: Umri wa...
  15. alphonce.NET

    INAUZWA Mayai ya mbegu ya kuku chotara

    Habari, mayai ya mbegu ya kuku chotara yanapatikana Mwanza, bei Tsh 15000 kwa tray. Wasiliana nami 0767659145, 0787659145
  16. alphonce.NET

    INAUZWA Tunatengeneza websites kwa bei rahisi sana

    Tunatengeneza, tunasajili na ku host website kwa Tsh 170,000 tu ($80). Hii inahusisha ku design, kusajili domain na hosting Tunazo design samples nyingi tulizokwishafanya na tunakamilisha kazi kwa muda wa siku mbili tu. Tembelea tovuti yetu WEB SOLUTIONS - Cheapest web hosting and web...
  17. alphonce.NET

    Samaki sangara wabichi (fresh) kutoka mwanza

    Ninasafirisha na kuuza (bei ya jumla) samaki aina ya sangara kutoka mwanza kwenda mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Morogoro na Dar es salaam Bei ni Sh 5,500 kwa kilo Kiwango cha chini kuuza ni kilo 100 na kuendelea Oda inachukua wiki moja kukufikia Malipo yanafanyika tasilimu (cash)...
  18. alphonce.NET

    Kuku wa chotara 130 wanauzwa wako Mwanza

    Nauza kuku chotara wako 130. Wana umri wa miezi mnne, wanaelekea muda wa kuanza kutaga. Kuku wako mwanza na ninawauza haraka kwa sababu nahitaji kuhama Wanafaa kwa kufuga au kula, bei sh 15,000 kila mmoja Simu/SMS/Whatsapp 0767659145 Email: alphonce@alphonce.net
Back
Top Bottom