Search results

  1. majoto

    Nakutia moyo: Furahi siku yako ipo na hicho kinachokunyanyasa kitalia siku hiyo

    Mpenzi msomaji, Popote ulipo Duniani Nakusalimu katika nia njema kabisa ya kukutia moyo. Kwa mfano huu! pokea faraja kwa kila gumu unalopitia. Daima kumbuka kwamba tuliumbwa na Mungu na Mungu wetu anatutakia yaliyo mema na yeye hutuandalia njia ya kuondokana na maumivu yoyote tunayotendewa na...
  2. majoto

    Tusijisahau binadamu wote ni sawa

    Tukumbushane wandugu. Kumekuwa na matukio ya watu kujisahau na kujiona wao ni bora kuliko binadamu wengine. Kumbuka wewe ni udongo na mavumbini utarudi, wewe ulizaliwa na utakufa tu hata uwe na elimu au mali kiasi gani. Hebu tuache kubaguana na kujiona sisi ni zaidi ya wengine! Nimeamua...
  3. majoto

    Hifadhi yatoa ofa ya mende siku ya Valentine

    Nailete kama nilivyoikuta. Wale wapendanao wa JF mnasemaje.... na sisi tuanzishe la kwetu humu Hifadhi yatoa ofa ya mende siku ya Valentine kwa wapenzi walioachana (EX) Hifadhi yatoa ofa ya mende siku ya Valentine kwa wapenzi walioachana (EX) Maafisa wa kituo cha maonesho ya wanyama cha...
  4. majoto

    Tujadili tamaduni zetu za mapenzi, faida na hasara zake

    Tumeacha tamaduni zetu na kuingia kwenye tamaduni za kigeni ambazo zimetuletea mambo mengi mabaya mabaya. Hata hii issue ya ushoga ni kwa ajili ya kuacha kufuata tamaduni zetu. Mababu zetu walipingana kabisa na hiki kitu na walifanikiwa kwa kiasi kikubwa. Ona leo imekuwa balaa.... hadi ndani...
  5. majoto

    Siku ya Graduation raha sana

    Ulijisikiaje siku yako ya graduation? ni siku ya raha sana. Rushiamo kapicha kako ka graduation
  6. majoto

    Ukeketaji ni kitu cha maana sana na humfanya mwanamke kuwa safi na kujisafisha kirahisi. Kuna ukweli wowote kwenye kauli hii?

    Wandugu, Katika pita pita zangu nilikutana na Bibi wa umri mkubwa sana tu. Katika maongezi yetu Bibi tulijikuta tunaongelea kuhusu ukeketaji. Bibi alinambia ukeketaji ukifanyika vizuri ni kitu cha maana sana sana, eti kwanza kinamfanya mwanamke kuwa safi, ni rahisi kujisafisha. Pili, kinazuia...
  7. majoto

    Wanaume mnalalamika sana, tumewachoka!

    Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika kwa kuwa hayo mmeyataka wenyewe. Unatafuta mwanamke ili uwe unamwaga grisi chafu hapo na unataka...
  8. majoto

    Utamu wa mapenzi sio kuzaa

    Nimejisikia kwa kweli kuongelea hili nimesikia wengi baada ya kuwa na mahusiano na kunogewa huanza kudai watoto utamsikia mtu anasema mpenzi si unizalie katoto jamani ona tumekuwa wapenzi muda sasa Wanawake nao anawaza looo bora nishike mimba nimzalie huyu bwana bila ya kufikiria huyo mtoto...
  9. majoto

    Kwa Zari na Diamond tuna ya kujifunza

    Hakuna aliye mkamilifu duniani zari alimwacha mumewe akakimbilia kwa Dai akidhani huko ndio kuna nafuu lazima tuelewe kila binadamu ana mapungufu ingawa yanatofautiana jifunze kutorudia kosa. Kila mtenda hutendwa hili liko wazi ona Ivan alivyotendwa na kuumia alipoachwa na Zari leo zamu ya...
  10. majoto

    Kati ya Zari na Hamisa ungemuoa nani?

    Ndio umebahatika kufahamiana na wanawake hawa wawili na wote wanakupenda. Nani ungechagua kumuoa? Tujaribu kuchambua na tabia zao ili iwe fundisho/ushauri kwa wanaotarajia kuoa. Karibuni
  11. majoto

    Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

    Wakati mwingine katika maisha tunapitia vipindi vigumu na vizito vinavyotufanya tuhitaji kufarijika na kutiana moyo. Unaweza kufarijika kwa maneno mazuri toka kwenye vitabu vya dini au toka kwenye mawazo ya mioyo ya wengine. Sio vibaya tukawa tunatiana moyo humu na kufarijiana. Jaribu...
  12. majoto

    Huyu ndio handsome

    Kama hukubali mlete wa kwako
  13. majoto

    Wanawake wa Dar

    Kama mbwai na iwe mbwai. Mara nyingi nimesoma kuhusu wanaume wa dar na vituko vyao. Nimejaribu kuangalia wake zao wakoje. mmmh mie nimegundua haya, sijui wewe umegundua nini..... Wanaagizi mahousegirl na kuanza kuwatumikisha bila huruma tena mkiwadhurumu mishahara yao. Ni wambea na wavivu...
  14. majoto

    Kwa uzembe wetu tusimlaumu Mungu

    Ni kipindi cha msiba mkubwa kwa kufiwa na watoto wetu. Nawapa pole wote walioondokewa na watoto wao Mungu awape moyo wa subra na faraja kuu. Wewe unafikiria nini, je ni Mungu kapenda watu wafe kutokana na uzembe wetu? Imekuwa ni tabia zetu kila inapotokea ajali hata za uzembe uzembe tu...
  15. majoto

    Msaada kuhusu NICOL

    Wapendwa naomba mwenye kujua tarehe ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wote wa NICOL anijulishe. Maana hii NICOL ni zaidi ya jipu sasa. Kwa kweli kwa upande wangu nimekata tamaa na hii kitu, hivi wanahisa wengine mnajisikiaje? au wenzangu mmefanyaje?
  16. majoto

    Kuwafungia watumishi nje sio dawa, watengenezeeni mazingira ya kufanya kazi

    Wafanyakazi wa serikali wamekuwa wakilalamikiwa kwa utendaji mbaya, uchelewaji na kutojituma kazini. Hebu jiulizeni kwa nini?!Kuwafungia watumishi waliochelewa nje, kuondoa viti vyao, kuwapeleka polisi na vitisho haisaidii na haitaleta tija maana hata wakiwahi hawatafanya lolote la maana...
  17. majoto

    Kuvaa nguo za mitumba ni laana

    Nimesikia eti kuvaa mitumba ni laana. Huyo mhubiri amesisitiza watu wasivae nguo zilizokwishavaliwa na watu wengine, utalaanika kwa kuvaa mtumba maana maandiko yanasema hivyo. usivae hata nguo ya mpenzi wako iliyokwishavaliwa. Binafsi bado najiuliza maswali mengi, wewe unasemaje juu ya hili.
  18. majoto

    Tukumbushane maandalizi katika kipindi cha uchaguzi

    Wote tunakijua kipindi cha uchaguzi. Tukumbushane mambo ya kufanya 1. Kama mpenzi wako alikuahidi kavits, mbane mapemaa kabla ya siku hiyo vinginevyo itakula kwako 2. Kumbuka kununua mahitaji muhimu hasa vyakula vya kutosha, unga, maharage, mchele, sukari n.k 3. kumbuka kuwa na pesa za...
  19. majoto

    Hapana chezea mwanamke

    Ninawatafakari wanawake leo. Ungana nami tuone jinsi walivyo na uwezo wa hali ya juu katika kila nyanja. Wakati mwingine sio lazima wawezeshwe wakiamua kila jambo wanaweza. Hakika Mungu aliwapendelea sana wanawake, akawaumba vizuriii na kuwapa kila aina ya uwezo. Eva alifanya tunda...
Back
Top Bottom