Search results

  1. tofyo

    Serikali ndiyo imeshtuka, ukosefu wa dola umesababishwa na Serikali yenyewe kwa kuwabeba wachina miradi mingi

    Dedollarisatio policy ndio ilioondoa dolla sio issue ya wachina.
  2. tofyo

    Nchi hii haitafanikiwa kwenye jambo lolote la maana mpaka mwisho wa Dunia

    Utamsikia kijana wa Bar vichaa anakwambia tatizo ni katiba
  3. tofyo

    Russia itaanza Airpatrool milima ya golani na mpaka mwa Syria na Israel

    Waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Urusi yupo New York mda huu 😂 kwenye kikao maalum Cha UNSC. Ngoja atoke huko mziki uanze.
  4. tofyo

    Hauwezi ukablock red sea kazi zisifanyike kisa tu dunia iogope ugaidi na itikadi zako

    Taliban hadi leo wapo tena na afya tele, mngemaliza Taliban kwanza.
  5. tofyo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Haya maisha usikubali kuwa Kama mchele, Sijui kwanini nimetaja mchele, ingawa lengo langu lilikuwa kujipa molari😣
  6. tofyo

    Mungu amjalie moyo wa subira Rais Samia kwa maumivu makubwa aliyopata kutokana na maafa ya Hanang

    Kama unaona moyo basi hata yalomo yamo pia unaweza kuyaona😊
  7. tofyo

    Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Unasikitika kwani nini jipya hapo
  8. tofyo

    Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake

    Waathirika wa DP World
  9. tofyo

    Rais Samia umetuteIekeza Wakulima wa Korosho?

    Ngojeni Makonda aje
  10. tofyo

    DOKEZO Upo uhalifu unaofanywa ndani ya kanisa la Roma jimboni Geita

    Habari wakuu, Samahani kwa kuchelewesha habari, kwasababu za kiusalama. Lakini Taarifa hii iende kwa askofu mkuu wa Jimbo la Geita na mamlaka zingine za serikali. Nyuma ya eneo la kanisa jimboni ipo njia ya mkato kwa wenyeji wa Geita kukatiza kutokea Nyankumbu mbugani kutokea Geita mjini. Hio...
  11. tofyo

    DOKEZO Upo uhalifu unaofanywa ndani ya kanisa la Roma jimboni Geita

    Habari wakuu, Samahani kwa kuchelewesha habari, kwasababu za kiusalama. Lakini Taarifa hii iende kwa askofu mkuu wa Jimbo la Geita na mamlaka zingine za serikali. Nyuma ya eneo la kanisa jimboni ipo njia ya mkato kwa wenyeji wa Geita kukatiza kutokea Nyankumbu mbugani kutokea Geita mjini. Hio...
  12. tofyo

    IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

    Vigezo vya hizo rank ni kipi, Izrael hajawahi kuingia full scale war, yeye ni mviziaji tu wa vimission vidogovidogo, Izrael hata ikipigana na Tanzania ya leo inapigwa. Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa Israel kwenye Vita huwa inatumia wapalestina waliopo izraeli Kama kinga dhidi ya...
  13. tofyo

    Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    pasco nakukumbusha tu, kwamba Samson Mwigamba alikoswakoswa na Tofali mbele ya gari ya mbowe.
  14. tofyo

    Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

    Magufuli in reality was the man of match, he speaking black and white of what he can do, and for what can't no matter what. This was not a man who fought for populists as to be agreeable to majority for justify elusions. He wasn't believe in political scams, he was believe in "one plus one is...
Back
Top Bottom