Search results

  1. M

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Huelewi unachokizungumza. Tatizo ni kwamba teknologia unayoizungumzia hata huijui kabisa. D9 huwezi kulinganisha na Google au facebook, that is a scam. Watanzania tuna uchu wa pesa hasa rahisi rahisi, angalia facebook na google walikota halafu ndio ujenge hoja. Hakuna sehemu ambapo facebook...
  2. M

    Bulaya: Makonda amenipigia simu na kudai wabunge sio chochote kwake, yupo karibu na bwana mkubwa

    UKIFUATILIA KWA MAKINI UTAGUNDUA WENYE NIA YA DHATI NA NCHI HII NIWACHACHE SANA AU HAWAPO KABISA. WATU AMBAO WALIKUWA TAYARI KUINGIA MTAANI KWA AJILI YA NCHI HII KUTETEA VITI VYAO VYA UBUNGE LAKINI KWENYE MADAWA YA KULEVYA WANKUJA NA KAULI LA WENGINE HAWASTAHILI KUTAJWA? HII NCHI TUNAWANASIASA...
  3. M

    Mabomu yarindima Mjini Zanzibar

    Nafikiri ni nani katangaza matokeo hayo ya Ushindi wake? Je ameonyesha matokeo yenyewe ya ushindi wake? najaribu kufikiri tu au ni mbinu za kuanzisha fujo?
  4. M

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Pole kwa wanafamilia na wote walioguswa na Msiba! this is sad news, Poleni wanachadema na wanaukawa wote.
  5. M

    UKAWA watafanya nini wakishindwa uchaguzi

    Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa?By Yericko Nyerere "Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa kwa sababu iliyoitwa na inayoaminika mpaka sasa kuwa "Lowassa ni MWIZI anautajiri mkubwa usio na ufafanuzi alioupata kwa mda mfupi...
  6. M

    Mchungaji Gwajima ana cheo gani ndani ya CHADEMA mpaka kushiriki mchakato wa mgombea?

    Ila mboye mwenyewe anajua nafasi ya gwajima ndio maana alimruhusu kuingia kamati kuu!
  7. M

    Mchungaji Gwajima ana cheo gani ndani ya CHADEMA mpaka kushiriki mchakato wa mgombea?

    Mnafikiri enl kwenda kuzindua herikopta ya gwajima alikuwa anajua kazi yake ikoje? Unafikiri zile herikopta nne (4) zinazoanza kutumika wiki ijayo, moja ya nani? Mshenga lazima ajitolee muda wake na mali yake ikiwezekana ili mtu aweze kuoa. Si wote wanaolitaja jina la bwana yesu, wanamaanisha...
  8. M

    Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

    Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa?By Yericko Nyerere “Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa kwa sababu iliyoitwa na inayoaminika mpaka sasa kuwa “Lowassa ni MWIZI anautajiri mkubwa usio na ufafanuzi alioupata kwa mda mfupi...
  9. M

    Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

    Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa?By Yericko Nyerere FEB 7-2014 “Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa kwa sababu iliyoitwa na inayoaminika mpaka sasa kuwa “Lowassa ni MWIZI anautajiri mkubwa usio na ufafanuzi alioupata kwa...
  10. M

    Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    1. Nawashangaa wanaowachoma moto Vibaka na kumuacha Lowassa akitanua mitaani-Freeman Aikaeli Mbowe; 2. Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili haraka-Mch. Peter Msigwa 3. Nina ushahidi wa kutosha kuhusiana na Wizi na Ufisadi wa Lowassa na Rostam-John Mnyika. 4. CCM wamempatia Fisadi Lowassa...
  11. M

  12. M

    Sio kweli kwamba mkutano wa UKAWA Jangwani hautarushwa LIVE

    MH. MWAKYEMBE AMLIPUA LOWASSA. Mhe Mwakyembe amkaanga Lowassa kuhusu kadhia ya Richmond na kusema kuwa asikwepe maana tume ya Bunge ilimkuta na hatia na ikabidi ajiuzulu Uwaziri Mkuu. Ameeleza hayo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupitia CCM Mhe JOHN POMBE MAGUFULI leo huko Kyela...
  13. M

    Mh. John Magufuli akipokea Malundo ya Kadi za CHADEMA baada ya kuisambaratisha UKAWA

    MH. MWAKYEMBE AMLIPUA LOWASSA. Mhe Mwakyembe amkaanga Lowassa kuhusu kadhia ya Richmond na kusema kuwa asikwepe maana tume ya Bunge ilimkuta na hatia na ikabidi ajiuzulu Uwaziri Mkuu. Ameeleza hayo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupitia CCM Mhe JOHN POMBE MAGUFULI leo huko Kyela...
  14. M

    Lowassa anapendwa ajabu duniani kote. Mvuto wa kinabii

    MH. MWAKYEMBE AMLIPUA LOWASSA. Mhe Mwakyembe amkaanga Lowassa kuhusu kadhia ya Richmond na kusema kuwa asikwepe maana tume ya Bunge ilimkuta na hatia na ikabidi ajiuzulu Uwaziri Mkuu. Ameeleza hayo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupitia CCM Mhe JOHN POMBE MAGUFULI leo huko Kyela...
  15. M

    Nimeamini Magufuli ana nyota ya kupendwa aise

    Jamaa hamuwezi kumzuia kwenda ikulu, huko ni mpanda
  16. M

    Nimeamini Magufuli ana nyota ya kupendwa aise

    Ukawa hamtaki kuongea ukweli, jamaa anadhihirisha kuwa yeye ni jembe anazoa watu kupita maelezo huko mikoani.Leo Dk Magufuli Yupo Mbeya, Afunika Sumbawanga Afuta Ada Kwa Wanafunzi
  17. M

    Nimeamini Magufuli ana nyota ya kupendwa aise

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Magufuri ni kiboko
  18. M

    Nimeamini Magufuli ana nyota ya kupendwa aise

    Hiyo ndio hali ilivyokuwa tunduma.
  19. M

    Ujasiriamali Haujaribiwi Aiseee

    Vijana wa Kitanzania waja na king'amuzi cha mtandaoni! – Bongo5.com
  20. M

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Kama kweli sisi ni wasomi tunaotaka mabadiriko ifike mahali tuje na hoja za msingi! njoo na ushahidi hapa kabla ya kutuletea jambo kujadiri, otherwise hatutakuwa na tofauti na mtu ambaye hajakwenda shule.:cool:
Back
Top Bottom