Search results

  1. Nanren

    Ushauri: Rais Samia naomba umfukuze kazi Mkurugenzi Mkuu wa TBS mara moja

    Kujifanya wajuaji ndio shida ya Wabongo wengi. Unakataa fortified rice kutoka US ila unafagilia cocacola na pepsicola na vyakula vya McDonalds na KFC pamoja na ARVs, ilhali vyote hivi vina some ingredients kutoka US.
  2. Nanren

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Mchunga ni Eruca vesicaria (Arugula)- google hili jina uone picha yake. Hiyo aliyoweka kama mchunga, sio wenyewe
  3. Nanren

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Na bado hapo Serikali haijamuibia huyo mfanyakazi kwa kupitia PAYE, magumashi ya bima ya afya, magumashi ya mafao na vikokotoo vyao. Inasikitisha.
  4. Nanren

    Angalia Waafrika Tulivyopitia Wakati Mgumu Sana

    Huo ndio ukweli. Hata wasio waafrika nao walifanyiwa hivyo hivyo.
  5. Nanren

    Tatizo la Yanga ni Engineer Hersi ..wamuangalie anawaangusha

    Mtag aliyeanzisha hii thread
  6. Nanren

    Daraja la Tanzanite au Kigongo Busisi liitwe Daraja la Ali Hassan Mwinyi

    Enzi zake, Mzee Mwinyi alizindua kivuko (daraja la waenda kwa miguu) cha manzese, ambacho kilikuwa cha kwanza nchini, kikiwa kimejengwa kwa pesa za msaada kutoka Japan. Hata hicho kivuko kinaweza kupewa jina lake.
  7. Nanren

    FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

    Ndio. Nimetumia matako ya mama yako.
  8. Nanren

    Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

    Hii ni maana halisi (ya kifalsafa) ya huo msemo. Lakini sio maana aliyomaanisha mzee MaROPE alipoongea katika mazingira na muktadha alipoongea. Ndio maana hata Mama SSH alimuombea msamaha kuwa "mzee aliteleza".
  9. Nanren

    FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

    Simba walipofungwa, walipewa pesa ili wacheze chini ya kiwango au walizidiwa tu?
  10. Nanren

    Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Sheria sio tu inakataza ndoa kati ya ndugu wa damu, hata mtoto uliyemuasili (adopted) pia inakatazwa kuwa mahusiano ya kingono.
  11. Nanren

    Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

    Watu wanafikiri it is OK kuvunja sheria yoyote ya nchi as long as unatafuta kipato. In fact wengi wa wahalifu wa namna hii, wakiwemo na majangili huwa hawako innocent na wanaona ni haki kupambana violently na watumishi wa serkali. Wakiumizwa wao ndio zinakuja hizi one-sided stories zikionesha...
  12. Nanren

    FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Kila la kheri mashemeji zangu, wana mangushi, wagosi wa kaya.
  13. Nanren

    Hivi viongozi wa Simba huu uwanja wa Majaliwa Stadium hamjauona mpaka mkachague Uwanja wa Jamhuri Morogoro mliwaza nini?

    Ni rahisi mashabiki wa Dar kwenda Morogoro na kurudi Dar kuliko kwenda Ruangwa.
  14. Nanren

    FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Mimi ni kolowitch kindakindaki lakini naiombea Yanga ishinde ile sisi koloz tujue umuhimu wa kusajili vizuri na sio kutegemea ulozi tu.
  15. Nanren

    Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

    Chochote unachofanya kinatakiwa kiendane na unywaji wa maji meeengi kila siku. Baada ya miezi kadhaa, hiyo hali itapotea au kupungua.
  16. Nanren

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    They can retract. Watasema they were not under oath. Walikuwa wanaongea utani tu. Kwanza chuo cha ardhi walichokitaja, hawakuspecify ARU. Inawezekana ni vyuo vya ardhi vya kati.
  17. Nanren

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Hello! Salama? Natafuta miche ya Tamarillo Mnaweza kuwa nayo?
  18. Nanren

    Tunauza miche ya matunda pamoja na vifaa vya umwagiliaji

    Natafuta miche ya Tamarillo? Mnaweza kuwa nayo?
Back
Top Bottom